End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

nadhan hapa hatukuwaelewa!! mwisho wa dunia?? je ni dunia ipi?? kuna hawa ndugu zetu aka freemason wanaamini kwamba mwisho wa dunia ilikua jana (21/12/12) hiki kitu hata mkubwa einstain alitabiri lakini tujiulize wanaposema mwisho wa dunia wanamaanisha nini?? bila sahaka mtakua mnafaamu kitu kuhusu new worl order(N.W.O) sasa kwa imani zao ni kwamba imeanzishwa jana na hiki ni kipindi wanachoamini kwamba nimzunguko mpya au mzunguko wa pili na from jana wao wanaamini rais wa kwanza wa USA ni mr obama!!! sasa embu tujaribu kufikiri zaid hii NWO itakua na effects gani katika maisha yetu hasa sisi watu wa dunia ya tatu!! hatuna budi KUSHIKILIA NA KUAMINI,NA KUTUNZA IMANI ZETU,MUNGU YUPO NA YU AJA!

Do you believe in NWO, mara ngapi tumesikia watu kibao wakija na evidences na kujaribu kuunga dots kuwa new world order imeanza au uwa kila mwaka inaanza upya nini?
kwa mantiki hiyo unajaribu kusema sidhani kama kina ukweli. Freemasons kila mtu anawaongelea anavyohisi yeye kwa hiyo imegeuka kuwa kitendawili kama kinachofuata baada ya mtu kufa hakuna mwenye hakika bali aliyekufa ndiye anajua na hivyo hivyo kuwa freemasons ndipo utajua ukweli wa freemasons
 
Ni suala la kifalsafa. ni kweli kwako kwa sababu unaamini hivyo. The proverbial ostrich sticks its head in the sand and believes there is no sandstorm. mhmm! to put it in another way you stick to your belief in stories based on kijiweni narratives and refuse to see evidence. Hence: amini uaminicho. na si evidence, sivyo?QUOTE=LORDVILLE;5369755]hujashikiwa bakora...we amini uaminicho!![/QUOTE]
 
Ni suala la kifalsafa. ni kweli kwako kwa sababu unaamini hivyo. The proverbial ostrich sticks its head in the sand and believes there is no sandstorm. mhmm! to put it in another way you stick to your belief in stories based on kijiweni narratives and refuse to see evidence. Hence: amini uaminicho. na si evidence, sivyo?QUOTE=LORDVILLE;5369755]hujashikiwa bakora...we amini uaminicho!!
[/QUOTE]
sijakuelewa unataka maanisha nini hapa!!!!
 
Do you believe in NWO, mara ngapi tumesikia watu kibao wakija na evidences na kujaribu kuunga dots kuwa new world order imeanza au uwa kila mwaka inaanza upya nini?
kwa mantiki hiyo unajaribu kusema sidhani kama kina ukweli. Freemasons kila mtu anawaongelea anavyohisi yeye kwa hiyo imegeuka kuwa kitendawili kama kinachofuata baada ya mtu kufa hakuna mwenye hakika bali aliyekufa ndiye anajua na hivyo hivyo kuwa freemasons ndipo utajua ukweli wa freemasons
i can never believe in NWO,God himself is the one whom i trust!!!! lakin mbona haupo marekani na mabo ya marekani unayajua??sasa hayo mambo mengi ni ya kusikika,na hata kama yapo yanafanyika kwa siri mno na siri hizo huwaga zinavuja,na hayo mimi nimeyasikia toka kwa hao hao ndio nliyoyaandika hapo!!!
 
I have an experience to share with you guys. Once I was in a remote place, my signal in my phone got jammed, i thought the problem would be with my service provider. After coming back home i gave black and blues to my customer care highlighting my issue. They pleaded me saying that the problem is not with them. Then i browsed through the search engine regarding my issue, i got a remedy for my cell phone, there i came to know the problem called signal jamming that is experienced in most cell phones. They have a product called cell phone jammer could be very useful to get rid of these problems. Check out the details here cell phone jammer and hope this information would be beneficial. Hope that u would pass this information to all your friends, so that they too would benefited, Stay safe, Cheers
 
Watu wakinywa na kulewa mvinyo mpya, huwa wanaota mambo kama haya! Tuwasamehe!
 
Sasa hapa naona nitasulubiwa kwa maoni yangu lakini nataka niwatetee hawa wa waMaya.


Katika kalenda zetu za sasa mwaka unakwisha December 31 kwa sababu dunia itakuwa imemaliza mzunguuko wake wa jua.

Mwaka wa waMaya ulikuwa unamalizika Dec 21, 2012 kwa kuwa walikuwa wanapima mwaka wao hivi: Kuna blackhole (gravitational center) kwenye galaxy yetu (milkway) ambayo jua letu linaizunguuka (kama dunia inavyozunguuka jua letu). Mwaka wa Mayans ulianza na kuisha wakati: dunia, jua, na blackhole (center of milkway) vikiwa kwenye mstari mmoja. Hii inachukua karne nyingi kukamilika lakini ilitimia December 21 2012. Sasa sisi mbumbumbu tulipoiona ile kalenda ya waMaya tukafikiria ni mwisho wa dunia - NO. Tunaanza tu mchakato wa mwaka mpya wa waMaya.

Be nice in your response.
 
Kwa wale wanaofuatilia mambo ya utabiri wa Nostradamus na hata wa watu wa Mayan kule South America wanasema Dunia inaweza kufika kikomo mwaka 2012 karibu na tarehe 21 Dec.

Kumekuwa na documentaries nyingi kutoka History channel zikielezea matukio mbalimbali yanayoashiria ujio wa tukio hilo. Je wewe binafsi unaamini huo ndio utakuwa mwisho wa dunia au waliotafsiri maandiko ya Nostradamus na Mayan wameshindwa kung'amua ukweli?

Kumbuka kuna utabiri wa matukio mbalimbali ambao ulifanywa na hawa watu ukiwa na ukweli ndani yake na hayo matukio yalitokea kweli.

UPDATES:

December 03, 2012:

The World Will Not End In 2012 - NASA
If this were true then we must be living in afterlife now!
For all I care I am alive and kicking as of today.

Talk of fallacies!
 
End of the world is when you kick the bucket!
Thats the very end, everything else goes on, and on, and on!
 
biblia inasema,kwa mtini jifunzeni mfano huu...basi muyaonapo hayo,mjue ule mwisho u karibu!ni dalili tu na mwenendo wa mambo ndio utatusaidia kujua mwisho u karibu.tutajua tu tunakaribia mwisho lakini siku yenyewe exactly anaijua MZEE WA SIKU peke yake!sie tuwe na hekima ya kuzisoma nyakati tu nakujua tuko wapi na tunatakiwa tufanye nini.hekima hiyo inapatikana ktk vitabu vitakatifu.yapo mengi yameelezwa humo kiasi kwamba ukiyajua unaweza kuisoma dunia vizuuri na ukajua inakoelekea na ukahisi ukaribu wa matukio.december 21 si mwisho wa dunia maana kuna dalili nyingi hazijatokea kama vile vita kuu ya tatu ya dunia.ila ukiona uongo unaenezwa kwa kasi sana ujue kuna ajenda ya shetani nyuma yake.tutegemee mabadiliko mengi duniani kuanzia hiyo dec 21 na kuendelea miaka michache ijayo tutayaona kwa uwazi,mabadiliko ambayo nategemea yatakuwa na lengo la kudhoofisha imani za watu kwa MUNGU na pia ustawi sahihi wa ubinadamu.itakuwa mwanzo wa vurugu ambazo mwanadamu hajawahi kuzishuhudia.napenda kusema hivi,"december 21"ni mwanzo wa mwisho wa dunia!

wakuu mnaukumbuka huu uzi?hebu someni post hii niliyoquote hapo juu halafu tutafakari kwa pamoja tangu december 21 hadi leo Jan 2014 mnaonaje hali ya mambo duniani?mkuu Geeque jamaa sasa wamehamia mwaka 2032 ndio wanasema mwisho wa dunia.Mimi bado nasisitiza kuwa naamini hili tukio la dunia kupigwa na kimondo(KT EXTINCTION) lipo kwa sababu biblia imetabiri lakini tusilipangie tarehe na halitakuwa mwisho wa dunia.Dunia itasurvive lakini katika hali ngumu sana kwa wakazi wake.The reason is that tukio hili litatokea kwa divine authority ambayo inatazama "kiburi" cha mwanadamu kikivuka mipaka,ndio maana Yesu akasema tufuatilie ishara na si tarehe.Kuna maana kubwa hapo.Hili litatokea lakini tusilipangie muda,tufanye sehemu yetu kuwabadili binadamu kuwa wema ili kizazi chetu kiepuka zahma hii isitokee hadi pale kitakapotokea kizazi kingine kiovu kiasi cha kutimiliza unabii huu.Hivyo mkuu ningeshauri heading yako iwe "dunia kupigwa na kimondo".
 
Last edited by a moderator:
MWISHO WA DUNIA WATAJWA



WAKATI binadamu wakiendelea na mipango yao ya kuifanya dunia kuwa sehemu salama ya kuishi kimazingira, kiulinzi na usalama, utabiri mpya wa kutisha unaonesha kuwa mwaka 2032 ndiyo mwisho wa sayari hii ya tatu katika mfumo wa jua.
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali katika mitandao ya internet, sayari iitwayo Nibiru, ambayo kisayansi inafahamika kama Planet X ipo njiani kuigonga dunia na hivyo kusababisha majanga mbalimbali kutokea.
ITAONEKANA ANGANI KAMA MWEZI
Kwa mujibu wa mitandao hiyo ya kisayansi, sayari hiyo ambayo inaisogelea dunia kwa kasi kubwa, itaonekana kubwa na angavu wakati wa usiku angani na kuwa katika umbo la mwezi na hivyo kufanya miezi ionekane miwili...read more at
 
Huwa sizipendi habari hiziii!!!! Hivi si walisema kiama kingetokea mwaka Jana? Mbona mpaka tunalisongesha? hiyo wanayoiita Sayansi kwa sasa nishaitoa maanani.
 
Mleta Uzi: Join Date : 14th January 2014 - Unatafuta kutukanwa wewe subiri waje wenyewe!
 
Mleta Uzi: Join Date : 14th January 2014 - Unatafuta kutukanwa wewe subiri waje wenyewe!

Wewe naye hovyoooo. Sijui watu wengine mkoje kila siku join date ili? wewe changia alicholeta hutaki tambaa.
Usione mtu kajiunga karibuni ukamuona kuwa ndio mgeni. Mfano mimi baada ya kupoteza password imenibidi nikae kwanza nije nijiunge tena kwa jina lingine.

Mwanzo nilikuwepo toka 2011. Nikajiunga tena mwaka huu sasa muache hizo tabia na kujifanya JF ina wenyewe. Nyie wenye tabia hizo mnaboa.
 
Back
Top Bottom