elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
nadhan hapa hatukuwaelewa!! mwisho wa dunia?? je ni dunia ipi?? kuna hawa ndugu zetu aka freemason wanaamini kwamba mwisho wa dunia ilikua jana (21/12/12) hiki kitu hata mkubwa einstain alitabiri lakini tujiulize wanaposema mwisho wa dunia wanamaanisha nini?? bila sahaka mtakua mnafaamu kitu kuhusu new worl order(N.W.O) sasa kwa imani zao ni kwamba imeanzishwa jana na hiki ni kipindi wanachoamini kwamba nimzunguko mpya au mzunguko wa pili na from jana wao wanaamini rais wa kwanza wa USA ni mr obama!!! sasa embu tujaribu kufikiri zaid hii NWO itakua na effects gani katika maisha yetu hasa sisi watu wa dunia ya tatu!! hatuna budi KUSHIKILIA NA KUAMINI,NA KUTUNZA IMANI ZETU,MUNGU YUPO NA YU AJA!
Do you believe in NWO, mara ngapi tumesikia watu kibao wakija na evidences na kujaribu kuunga dots kuwa new world order imeanza au uwa kila mwaka inaanza upya nini?
kwa mantiki hiyo unajaribu kusema sidhani kama kina ukweli. Freemasons kila mtu anawaongelea anavyohisi yeye kwa hiyo imegeuka kuwa kitendawili kama kinachofuata baada ya mtu kufa hakuna mwenye hakika bali aliyekufa ndiye anajua na hivyo hivyo kuwa freemasons ndipo utajua ukweli wa freemasons
