Hashimu lwenje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 415
- 361
Mkuu, una umri gani?Ni lini hii nchi iliongozwa kwa kodi pekee?
Jibu swali umri wangu ndio nilichouliza?Mkuu, una umri gani?
Mama anahubiri TRA kuongeza wigo wa kukusanya kodi keyboard warrior mmoja asiejua kuhusu kodi anasumbua vidole tu. MATAGA kwa taarifa yenu tutamtetea Mama yetu kwa wivu mkubwa saaanaaaaa.Kama umegundua Tz ikiombewa mabaya hua hayatokei.
Alianza Lisu...