Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,834
- 5,310
Kwa pointi hii tu inatosha kukuita wewe ni Zezeta.KODI ZA DHULUMA HUTAKI
Mama kudai kilichochako nidhuluma na hiyo dhuluma unayoisema kwa msingi wako kuwa wanatishiwa sio kweli.
Kwa pointi hii tu inatosha kukuita wewe ni Zezeta.KODI ZA DHULUMA HUTAKI
Mama kudai kilichochako nidhuluma na hiyo dhuluma unayoisema kwa msingi wako kuwa wanatishiwa sio kweli.
Tutakopa kwa mabeberu Kama alivyokuwa anafanya jkEndapo hatutokusanya kodi kwa wingi Je tutapata wapi fedha za kuendeshea nchi?
Mfano naomba mnisaidie maswali haya.
1. Tutapata wapi fedha za kuwalipa wafanyakazi mishahara kila mwezi?
2. Tutapata wapi fedha za kuwakopesha wanafunzi wa vyuo vikuu mikopo ya elimu?
3. Tutapata wapi fedha za miradi? Miradi ya maji, barabara, umeme, shule na hospitali.
4. Tutapata wapi fedha za kununulia vifaa na madawa ya hospitalini.
Naombeni majibu ya haya maswali. Tiririka majibu yako kadri uwezavyo.
hahahaah mkuu Mapank kheshima yako..Mama anahubiri TRA kuongeza wigo wa kukusanya kodi keyboard warrior mmoja asiejua kuhusu kodi anasumbua vidole tu. MATAGA kwa taarifa yenu tutamtetea Mama yetu kwa wivu mkubwa saaanaaaaa.
Mataga ficha ujinga wako msitumie ada kuwanyonya watanzania Jk alikuwa anatoa mkopo mpaka wenye div 3,na hakua anakwapua Kodi za dhuluma Kama mwendazaketulia baada ya miezi kadhaa zianze ada kwa wanafunzi ...wapuuzi wachache wanaona ni sawa
Nahisi kama kuna chama cha upinzani kinazaliwa na hakitokani na vyama upinzani vilivyokuwepo...tulia baada ya miezi kadhaa zianze ada kwa wanafunzi ...wapuuzi wachache wanaona ni sawa
mama yko mzazi mwambie afiche use...ngeMataga ficha ujinga wako msitumie ada kuwanyonya watanzania Jk alikuwa anatoa mkopo mpaka wenye div 3,na hakua anakwapua Kodi za dhuluma Kama mwendazake
mtauza kwa shilingi ngapi. Mishara ya wafanyakazi ni shilingi ngapi kwa mweziTutauza uwanja wa chato na mapangaboi yanayo liingizia taifa hasara ili pesa ipatikane.
Na bado mtanyooka tu kenge nyiemama yko mzazi mwambie afiche use...nge
Hilo la kodi bila kutumia nguvu halitokuja kuwezekana katika nchi zinazo endelea. Narudi tena halitokuja kuwezekana. Usilinganishe na nchi za ulaya ambazo ukusanyaji wa mapato unafanyika online.Kodi itakusanywa kwa wingi kuliko hata ya sasa endapo akili itatumika kuliko nguvu. Ongeza idadi kubwa ya walipa kodi,punguza utiriri wa urasimu katika mamlaka mbalimbali, wawekezaji wataongezeka na utakusanya kodi nyingi kwa kutumia akilia na sio bunduki
Mmeshapaniki..! Tulieni dawa iingie, mama kasema mkimzingua na yeye anawazingua! Zama zenu zimeshapita!mama yko mzazi mwambie afiche use...nge
Hakuna aliyesema kodi isikusanywe kwa wingi. Ikusanywe kwa AKILI/WELEDI na si MAGUVU.
Unaripa Kodi shillings ngapi?Ndio maana rais ssh katoa agizo wakaongeze wigo wa ukusanyaji kodi...kwa ustaarabu