Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,288
- 18,579
Kwani kasema hakusanyi kodi?
sawa hapo umenijibu vizuri. Nakumbuka mwaka 2010 wilaya yangu ilikua inakopa mishahara kwa Tajari wetu mmoja wa wilaya.tutaomba ulaya au kukopa kwa bakhresa🤣🤣🤣🤣🤣
Sijasikia sehemu kasema TRA iache kukusanya kodi. Huu uhuru wa kuandika kila mnachojisikia mngeweza kumkosoa JPM
Unaripa Kodi shillings ngapi?
Kuna mambo mengi ya policy yanatuingiza kwenye gharama bila sababu. Kama kweli sisi ni masiki:Upande wa matumizi pia ni vyema kuwa makini kuona fedha zinatumika vizuri. Kule bungeni kuna matumizi sabaya sana ya fedha; malipo kwa Wabunge yaangaliwe upya ili yafanane na kuwiana na malipo ya wananchi wengaine.
kuna majali mhe SSH amekataa kodi isikusanywe?Endapo hatutokusanya kodi kwa wingi Je tutapata wapi fedha za kuendeshea nchi?
Mfano naomba mnisaidie maswali haya.
1. Tutapata wapi fedha za kuwalipa wafanyakazi mishahara kila mwezi?
2. Tutapata wapi fedha za kuwakopesha wanafunzi wa vyuo vikuu mikopo ya elimu?
3. Tutapata wapi fedha za miradi? Miradi ya maji, barabara, umeme, shule na hospitali.
4. Tutapata wapi fedha za kununulia vifaa na madawa ya hospitalini.
Naombeni majibu ya haya maswali. Tiririka majibu yako kadri uwezavyo.
Kwani Kakwambia Hatakusanya Kodi au Kutumia nguvu na Kunyanganya watu malizao na Kubambikiana Mikodi ndio wewe uliona Utajenga nchi..
linawezekana sana. proper plans tu zinahitajika.Hilo la kodi bila kutumia nguvu halitokuja kuwezekana katika nchi zinazo endelea. Narudi tena halitokuja kuwezekana. Usilinganishe na nchi za ulaya ambazo ukusanyaji wa mapato unafanyika online.
Ova
Kwa wadangaji ilikuwa raha sana...
Mawigi ya kina wema yalikuwa 6millions[emoji16][emoji16]
Watu wanatakiwa kuwa serious kidogo..
Umekaririshwa kama vile inapigwa baoUkweli ni kwamba Magufuli alikuwa mnyanganyi, mporaji aliyeamini kila tajiri anatikiwa ateseke. Na kwa kauli yake alisema matajiri wataishi kama mashetani