We unaishi nchi gani? Au ukilaza unakusumbua?Kwani ni lini hii nchi ilikusanya kodi kwa wingi?
We unaishi nchi gani? Au ukilaza unakusumbua?Kwani ni lini hii nchi ilikusanya kodi kwa wingi?
Kama una uhakika alisema hivyo, kwanini aseme uamuzi wake utasababisha mapato yapungue kwa miezi mwili au mitatu halafu tutakaa sawa. Tokea lini kuongeza wigo wa kodi kukapunguza mapato? Tukubali hapa mama kaingia kwenye mtego.Mheshimiwa Rais kasema tutumie akili zaidi kuliko nguvu kwenye kukusanya kodi, hilo lina tatizo kwako?! Anajua umuhimu wa kodi na haja sema zisikusanywe, nadhani tuendelee kuchapa kazi!
Nani kakwambia taifa halikusanyi kodi?Endapo hatutokusanya kodi kwa wingi Je tutapata wapi fedha za kuendeshea nchi?
Mfano naomba mnisaidie maswali haya:
1. Tutapata wapi fedha za kuwalipa wafanyakazi mishahara kila mwezi?
2. Tutapata wapi fedha za kuwakopesha wanafunzi wa vyuo vikuu mikopo ya elimu?
3. Tutapata wapi fedha za miradi? Miradi ya maji, barabara, umeme, shule na hospitali.
4. Tutapata wapi fedha za kununulia vifaa na madawa ya hospitalini.
Naombeni majibu ya haya maswali. Tiririka majibu yako kadri uwezavyo.
Ilikusanya kodi kwa mijerediKwani ni lini hii nchi ilikusanya kodi kwa wingi?
Moja naamini wewe sio mfanyabiashara ingekuwa kwene hii tasnia ungeelewa Nini maana ya Kodi ya dhulma wakati wa magufuli Kodi ya dhulma ilitawala, ndo Yale mtu kapewa tax clearance unakuja baada ya miaka mitano alete mahesabu ya miaka 10 wakati taasisi hyohyo impa clearence certificate...sikumbuki Kama Kuna awamu hii nchi iliacha kukusanya Kodi, wafanyabiashara wapo tayar kulipa Kodi ila watozwe kihalali kulingana na uwezo wao kitedha kihalali mbona wakati wa JK kulikuwa hamna bugudha nyingi pamoja na Kodi ilikuwa inapotea kwa rushwa za watendaji wa tra lakini Kodi ilikusanywaDuniani kote pale mheshimiwa rais nchi ili iweze kujiendesha lazima ikusanye kodi kwanamna yoyote ile kodi ilikuwepo tangu zama za mitume.
Hakuna mfanyabiashara yoyote yule atakuwa anautayari kulipa kodi bila kumuwekea sheria na utaratibu na aisipo ufuata sheria itachukua mkondo wake na akisema anafunga kwakuwa ananyanyasika sawa na aende tu...Nibora ukawa na wafanyabiashara kumi wanolipa kodi kuliko kuwa na wafanya biashara mia wasiolipa kodi.
kuna mambo jana uliyaongea mpaka unashangaa hivi mama samia kaamua kuwa upande wa matajiri na wafanya biashara angalia haya kwa uchache:-
KODI ZA DHULUMA HUTAKI
Yani maana yake nikwamba Magufuli alikuwa anadhulumu wafanyabiashara kiasi kwamba walikuwa wanafunga biashara zao.
Mama kudai kilichochako nidhuluma na hiyo dhuluma unayoisema kwa msingi wako kuwa wanatishiwa siyo kweli.
WAFANYABIASHARA WENGI WAMEFUNGA BIASHARA
Wengi waliofunga walikuwa hawalipi kodi na wezi na wengine walikuwa ni wauza unga lazima watafunga tu.
Mbona bakhresa yupo hajafunga mo yupo hajafunga sayona wapo peps wapo coka wapo n.k mbona hawa wajafunga au wao siyo wafanya biashara ni mainjinia.
Hao wengi ndiyo wale waliokuwa wameuwa flow meter,ndiyo hao walikuwa hawatoi risiti,ndiyo hao walikuwa hawalipi kodi bandarini sasa watafunga tu kwa msimamo wa magufuli.
Sasa kwa huo uamuzi wako tutawarudisha tena wezi.
TUTAYUMBA
Umekiri kwakusema kwa uamuzi uliochukua ndani ya miezi mitatu tutayumba ila tutakuja kukaa sawa.
Jamani mama hiyo unacheza kamali isipokaa sawa yaani inamaana ndani ya miezi mitatu tutakuwa tunakusanya kodi ndogo ili kubembeleza wafanyabiashara.
Mie yangu macho waziri wako hana muda utamtumbua maana hapo umetoa uhuru watu kukumbia leo tumepata mia mbilinkumbe alipata elfu nyengine kabania.
NIBORA UKAWA NA WALIPAKODI WATATU WANAOKULIPA VIZURI KULIKO KUWA NA NA MIA WASIO NA FAIDA.
Hicho kipindi wafanyabiashara wanakimbia wanafungabishara tuliona ndege,barabara , elimu bure, madaraja sasa ngoja tuone ila nakuapia mpaka unaondoka madara hutaleta kitu kipya...Na siku ukiacha madaraka tu hao hao wataanza kukuponda ngoja muda uongee.
Mama anataka atengeneze mfumo wa ulipaji Kodi mzuri na sio kutengeneza ukamuaji wa walipa Kodi kwa maslahi ya miradi wakati ur killing ur own people mbona Kuna nchi SA,Botswana wako mbali Sana angalia walivo namifumo mizuri yaulipa Kodi hukuti ubabe wakijinga Kama wanaofanya tra asa kwene awamu ya tano.....mama anataka atengeneze mfumo dhabiti wa walipa Kodi kwa moyo na kihalaliKama una uhakika alisema hivyo, kwanini aseme uamuzi wake utasababisha mapato yapungue kwa miezi mwili au mitatu halafu tutakaa sawa. Tokea lini kuongeza wigo wa kodi kukapunguza mapato? Tukubali hapa mama kaingia kwenye mtego.
Hivi unapomgundua mtu alikua anakwepa kodi unatakiwa kumfanya nn? Hakuna nchi iliyoendelea inacheza na kodi wala kuchekeana na wafanyabiashara. Acheni ujinga, hii nchi tusipoangalia tutarudi tulipotoka. Mabarabara, miundombinu ilijengwa kila kona kwasbbu ya hizi kodi. Watanzania hatuna ShukraniTusipotoshe alichoongea Mama Samia, amesema ikusanywe kodi ya haki, sasa unakwenda kumkaba mtu unampora then anafunga biasahara. hio kodi utaipata wapi next time? Ukienda TRA kaangalie idadi ya biashaar zilizofungwa VS idadi ya biashara zilizofunguliwa
Yes kwa miezi michache itapungua kwasabab tra kawakataza kwenda kuwafungua watu account zao na kukwapua hela, kakataza kwenda kutishia case za uhujumu uchumi ili mtu aogope na atoe hela atakama anaonewa...unahisi mama hayo ayajui ww unayajua zaidi huyu mama kawa makamu wa raisi kwa miaka 6 anajua matatizo yte na namna ilivokuwa hata zaidi yako weweKama una uhakika alisema hivyo, kwanini aseme uamuzi wake utasababisha mapato yapungue kwa miezi mwili au mitatu halafu tutakaa sawa. Tokea lini kuongeza wigo wa kodi kukapunguza mapato? Tukubali hapa mama kaingia kwenye mtego.
Wakati wa kikwete Kodi ilikuwa haikusanywi na ilikuwa inakusanywa vipi,wakati wa mkapa je? Yani njoo nikwambie wafanyabiashara Kodi watalipa tu ila tu mfumo wakulipa Kodi uwe huru na amani wakati wa jpm kulikuwa Kuna mambo yakijinga Sana ya tra ili mradi tu wa meet target walikuwa wanakamua wananchi..sio Siri Kodi wakati wa jpm ilikuwa inapanda kwasababu almost parefu haikuwa ya halali watu wanatishia kufunguliwa case, mtu ulipewa tax clearance leo baada ya mwaka unaitwa unaambiwa unadaiwa mil 400 haha tuseme ukweli maguful hakutaka kutengeneza mfumo wa ulipaji Kodi Tanzania ila alitaka hela ipatikane kwa namna yyte ile private sector wakati wa jpm ilidrop sanaunajitekenya pumbavu ni mfanyabiashara gani atalipa kodi kwa kubembelezana
Ili waendelee kuua private sector hivi nyie mnaoongea ni wafanyabiashara yani kabisa haaha amjui yaliyoendelea wakati wa jpmYaani kwenye kodi ANGEWAACHA TRA waka fanya yaooo
Hatuhitaji fedha za kujenga chato tena fedha zitakazokusanywa zitatosha.Endapo hatutokusanya kodi kwa wingi Je tutapata wapi fedha za kuendeshea nchi?
Mfano naomba mnisaidie maswali haya:
1. Tutapata wapi fedha za kuwalipa wafanyakazi mishahara kila mwezi?
2. Tutapata wapi fedha za kuwakopesha wanafunzi wa vyuo vikuu mikopo ya elimu?
3. Tutapata wapi fedha za miradi? Miradi ya maji, barabara, umeme, shule na hospitali.
4. Tutapata wapi fedha za kununulia vifaa na madawa ya hospitalini.
Naombeni majibu ya haya maswali. Tiririka majibu yako kadri uwezavyo.
Umewaza vyema kabisa.Endapo hatutokusanya kodi kwa wingi Je tutapata wapi fedha za kuendeshea nchi?
Mfano naomba mnisaidie maswali haya:
1. Tutapata wapi fedha za kuwalipa wafanyakazi mishahara kila mwezi?
2. Tutapata wapi fedha za kuwakopesha wanafunzi wa vyuo vikuu mikopo ya elimu?
3. Tutapata wapi fedha za miradi? Miradi ya maji, barabara, umeme, shule na hospitali.
4. Tutapata wapi fedha za kununulia vifaa na madawa ya hospitalini.
Naombeni majibu ya haya maswali. Tiririka majibu yako kadri uwezavyo.
unapo mgundua mtu halipi kodi sheria ziko wazi nn kifanyike. TRA wanafahamu hili.Hivi unapomgundua mtu alikua anakwepa kodi unatakiwa kumfanya nn? Hakuna nchi iliyoendelea inacheza na kodi wala kuchekeana na wafanyabiashara. Acheni ujinga, hii nchi tusipoangalia tutarudi tulipotoka. Mabarabara, miundombinu ilijengwa kila kona kwasbbu ya hizi kodi. Watanzania hatuna Shukrani
Hakuna kodi ya ustaarabu dunia yote, bali kuna muda inabidi ubanane nao walipa kodi ingawa inatakiwa kujua hali halisi ya mlipa kodi kabla ya kumchukulia hatua.Ndio maana rais SSH katoa agizo wakaongeze wigo wa ukusanyaji kodi...kwa ustaarabu
Tutakopa. Deni letu bado ni stahimilivu.Endapo hatutokusanya kodi kwa wingi Je tutapata wapi fedha za kuendeshea nchi?
Mfano naomba mnisaidie maswali haya:
1. Tutapata wapi fedha za kuwalipa wafanyakazi mishahara kila mwezi?
2. Tutapata wapi fedha za kuwakopesha wanafunzi wa vyuo vikuu mikopo ya elimu?
3. Tutapata wapi fedha za miradi? Miradi ya maji, barabara, umeme, shule na hospitali.
4. Tutapata wapi fedha za kununulia vifaa na madawa ya hospitalini.
Naombeni majibu ya haya maswali. Tiririka majibu yako kadri uwezavyo.
Kwani nani kasema tusikusanye kodi? TRA wameambiwa waweke mazingira rafiki ya kuwafanya wafanya biashara waliokimbia nchi warudi ili walipe kodi. Waliopo wasinyanyaswe ili walipe kodi vizuri. Kwa sasa kodi inayokusanywa ni ndogo sana ndiyo maana mama analalamika. Hana hela zakutosha kuendesha nchi.Endapo hatutokusanya kodi kwa wingi Je tutapata wapi fedha za kuendeshea nchi?