Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Kumbe mnamkubali jembe letu samia, hongereniii saaanaa kwa kumuuunga mkonooBaada ya kuona teuzi zinapita na uvccm mnapigwa chini mmeamua kuja kupotosha alichosema mama
Wahaini nyinyi
Tusipotoshe alichoongea Mama Samia, amesema ikusanywe kodi ya haki, sasa unakwenda kumkaba mtu unampora then anafunga biasahara. hio kodi utaipata wapi next time? Ukienda TRA kaangalie idadi ya biashaar zilizofungwa VS idadi ya biashara zilizofunguliwaEndapo hatutokusanya kodi kwa wingi Je tutapata wapi fedha za kuendeshea nchi?
MATAGA na SUKUMA-GANG wanatafuta pa kutokea, kwani nyerere na hao wote waliopita kodi zilikuwa hazikusanywi? huyu "mwendazake" kaja na staili ya "kupora kodi" na si kukusanya!Tusipotoshe alichoongea Mama Samia, amesema ikusanywe kodi ya haki, sasa unakwenda kumkaba mtu unampora then anafunga biasahara. hio kodi utaipata wapi next time? Ukienda TRA kaangalie idadi ya biashaar zilizofungwa VS idadi ya biashara zilizofunguliwa
Kwani enzi za JK polisi na TISS walikuwa wanakusanya Kodi?
Na mbona Tanzania ya kikwete ilikuwa raha?
MATAGA bado wanahisi wapo na yule aliye "rest in peace"Wapi wamesema pesa isikusanywe kwa wingi?
Kipindi cha MAgu, Sukumagang mlicheka sana, sasa ni wakati wa kununa, nchi inaponywaKwa wadangaji ilikuwa raha sana...
Mawigi ya kina wema yalikuwa 6millions[emoji16][emoji16]
Watu wanatakiwa kuwa serious kidogo..