Mkuu
jmushi1, huu ndio uzuri wa jf, kila mtu yuko free kuji express his/her opinion freely, kama mmoja anaweza kutumia ujinga kuwaburuza wasioelewa, na mwingine akazuia ujinga huo usipite kwa kutokunyamaza, what matters most is the end results, kama hoja za huyo mburuza wasioelewa ndizo zinazo materialise, the end justifies the means, hoja za ukweli ni zile zinazo tokea, hata kama ni za kijinga, lakini ndio ukweli wenyewe.
Mfano mzuri ni huu uchaguzi Mkuu wa juzi, tangu ile 2015, nimekuwa nikisema 2020 ni CCM, and CCM only, nimekuwa nikipingwa humu!. Kabla ya uchaguzi nikawawekea watu humu matokeo
Wana JF, Maadam JF ni ukumbi wetu, na sisi humu JF, tuko members wengi, na tumefanya mengi, hivyo mimi member mwenzenu Pascal Mayalla, naomba niwe wa kwanza, kuwajulisha wana JF wenzangu, ili kuwapa ile JF advantage ya wewe kama Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio inakwenda kushinda...
www.jamiiforums.com
Japo watu humu walipinga kuwa ni uongo, ukisema uongo, halafu huo uongo ndio ukatokea, then huo uongo uliousema, ndio ukweli wenyewe!.
Na kiukweli nimesaidia wengi kwa kuwaandaa kisaikolojia, kupokea matokeo, maana mtu ukiwa na too great expectations kuwa fulani atashinda, kusipotokea mtu yoyote akakuambia ukweli kuwa huyo fulani wako, hawezi kushinda, matokeo yakitoka emeshindwa, uta despair na kupata mshtuko, unaweza hata kupata pressure, depression, heart attack kwa kutoamini macho na masikio yako kwa kilichotokea!.
Lakini kitendo tuu cha kuambiwa ukweli kuwa mtu wako hawezi kushinda, hata kama umeambiwa uongo, na huamini kuwa atashindwa, na unaupuuzia uongo huo kuwa mtu wako atashindwa, unaendelea kuamini atashinda. Matokeo yakitoka mtu wako ameshindwa, the impact won't be drastic, because you knew, you were informed, japo ulidharau na kupuuza kuwa ule ulikuwa ni uongo, kwa matokeo hayo, uongo ule ndio ukweli, hivyo mabandiko yangu humu, yamesaidia wengi kupunguza impact ya kipigo au kuchapo hata kama ni bao la mkono, the end justifies the means, mshindi ni aliyetangazwa kashinda, and the winner takes it all!.
Pole!..
P