jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,540
- 25,834
- Thread starter
- #81
Wewe upo kwenye kundi la “wachunga ng’ombe” badala ya kuwaelimisha wananchi haki zao?Duh...!. What is manufaa kwa taifa, is relative na kufuata kanuni za relativity, kwa mtu mwingine, ukiwa na LL.B with honours, kwake manufaa kwa taifa ni kuwa wakili, kutetea watu mahakamani, na kulipwa pesa ndefu, kuvaa suti nyeusi, na kuishi maisha bora, kuendesha ma VX, Vogue, na Benzi, kuchagia kodi kubwa serikalini. Haya ndio manufaa kwa taifa.
Kwa mwingine possession ya LL.B with honours, ni just to have just a broad knowledge ya sheria, hivyo kuendelea kufanya Programs za uelimishaji umma mambo mbalimbali ya kisheria na wananchi kujua haki zao. Ukiwa kwenye kundi hili, utaishi maisha ya kawaida ya kilofa, usafiri wako ni public transport, Bajaj na Bodaboda, hivyo watu wa yale makabila wanaojisikia, ambao kwao pesa ndio kila kitu, lazima watakucheka na kukushangaa, kama una room ya kupiga pesa ndefu kuwatetea mafisadi, why uishi maisha ya kilofa kuwaelimisha wananchi Wajua haki zao?. Kwako ni getting the satisfaction from doing what you love most and not necessarily making big bucks!.
Ni kama ilivyo kwa ganda la mua la jana, mwingine kalimenya na kutupa, mwingine ni kivuno cha mlo wa wiki nzima!.
P
Inaonyesha kuwa unayoyafanya, unayafanya kwa ufahamu wa kutosha kabisa, ni excuse!
Halafu siyo kweli kwamba wewe siyo mkabila. You can run, but you can never hide.
Tabia za watu wengine, huonekana wanapopata nafasi flani flani hivi...