SOKA MARUU-KOMBO -TAPA
Member
- Oct 3, 2020
- 57
- 75
Kama ni kweli tuombe Mungu sanaMaccm ni mendawazimu kabisa kasoro kuvua nguo , eti mmiliki wa St jude aliambiwa na maCCM wakati wa kampeni awavalishe wafanyakazi wote na wanafunzi wote sare za ccm , wapelekwe kujaza uwanja akakataa ndio akapelekewa deni la tra bilioni Saba la kubumba .Shule yenyewe inasaidia watoto wanaotoka familia maskini . Wamiliki Ni wazungu mambo ya kuvunja sheria wao huwa hawana .