Endapo kuna mtu au kikundi cha watu kipo juu ya Sheria na Katiba, basi Taifa halipo huru

Kwenye Taifa huru, “no one is above the law”
Tz, raisi, jaji mkuu, muendesha mashtaka wa serikali, spika, waziri mkuu, m/ kiti wa NEC, mawaziri, wakuu wa mikoa/ wilaya, wakurugenzi wa halmashauri, wakuu wa vyombo vya usalama, wote hawa wamejitungia sheria ya kuwafanya wawe juu ja sheria.
 
Tz, raisi, jaji mkuu, muendesha mashtaka wa serikali, spika, waziri mkuu, m/ kiti wa NEC, mawaziri, wakuu wa mikoa/ wilaya, wakurugenzi wa halmashauri, wakuu wa vyombo vya usalama, wote hawa wamejitungia sheria ya kuwafanya wawe juu ja sheria.
Na ndiyo maana hatuko huru. Hata polisi wenyewe wako juu ya sheria! Wanafanya wanalotaka. Mahakama nazo zipo hadi utakapoingialia maslahi ya mtu au kikundi hicho.
 
Hivi wewe unadhani ni anayo hiyo shida unayoizungumzia? Yani umefikiria wee! Ulipoona hauna hoja haswa kwenye propaganda yako ya “sovereignty”, sasa unaleta viroja!

Nilifahamu tokea mwanzo kabisa kuwa haya yaliyopo saaa ndiyo yatakuwa matokeo yenyewe! Kuna ambao tulikuwa tukiamini kabisa kuwa bila katiba mpya, hakutakuwa na jipya!

Tatizo sikuchukuwa hatua kama zako. If anything, nilidhani vijana ni waelewa. Kumbe wengi ni watoto tu ambao bado wako majumbani mwa wazazi wao wakitunzwa. Wengine wa mitaani tayari wameshajaa jela na kwenye vituo vya polisi.

Unaponipa pole, unaonyesha ni kwa jinsi gani uko shallow minded! Pole ya kazi gani? As if Mimi ndiyo ninaumia na siyo Taifa?

Mawazo kama ya kwako ni mfu na hatari kabisa kwa usalama na mustakabali wa Taifa letu kwa sasa na wakati ujao!

Mawazo kama haya, yanaonyesha ni kwa jinsi gani mlivyokuwa “a disgrace to our nation”! Unaongea kiushabikishabiki tu.

Haujawaanda watu kisaikolojia, bali umeshiriki uovu ili kuhakikisha unakubalika na kuwa ni jambo la kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…