Endapo Yanga watafungwa na Azam katika fainali FA. Simba watadondokea moja kwa moja kombe la shirikisho Afrika


Nawaona simba wanaanza mfungo wa maombi kuitakia yanga Mema
 
Uto mmeshachungulia kwa babu mmeona mambo magumu!!!!.
 
Hii sheria naona kama umeitoa CAF, kwamba unaamini CAF wana uwezo wa kutupangia nani ashiriki wapi?

Utopolo bana.
 
inaonesha jinsi gani huna akili. Tanzania inapeleka timu nne kimataifa kwa sababu ipo ndani ya ligi bora 12 Africa, hivyo timu mbili shirikisho, mbili champions league. Huyo azam hata akishinda mwisho wake ni shirikisho tu. Top 2 ya ligi ina nguvu kuliko Fa-Cup kwenye qualifications.
 
Hivi Feisal atacheza?
Ndio atacheza kwasababu amesajiliwa ndani ya msimu wa dirisha kubwa

Angekuwa amesajiliwa kipindi cha dirisha dogo asingecheza, kutokana na kwamba Yanga walishawasilisha jina lake CAF.
 
Kweli yanga wenye akili ni wawili.
 
Kwa mujibu wa utaratibu mpya wanaoshiriki CAF ni mshindi wa Ligi kuu na FA Cup, Hapo Yanga akipigwa Simba hawana chao CAFCL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…