OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Yaani giza kabisa. Aisee bongo tuna majitu ya hovyo. Halafu kaungisha tela la ignorant wenzie wanamwagika tuchangaule angalia huyu mwingine yani mtoa mada anaweza kuwa ana nafuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani giza kabisa. Aisee bongo tuna majitu ya hovyo. Halafu kaungisha tela la ignorant wenzie wanamwagika tuchangaule angalia huyu mwingine yani mtoa mada anaweza kuwa ana nafuu
Endapo Yanga watafungwa na Azam katika fainali ya kombe la FA moja kwa moja club ya Simba haitoshiriki kombe la club bingwa Afrika bali watashiriki kombe la shirikisho barani Afrika.
Utaratibu uliopo, Mshindi wa Ligi kuu pekee na mshindi wa FA cup ndiyo wanaopata tiketi ya kushiriki club bingwa moja kwa moja.Endapo mshindi wa Ligi kuu ndiye mshindi wa FA cup basi mshindi wa pili wa Ligi kuu huchukuliwa.Hivyo endapo Yanga atashinda fainali ya FA cup atakuwa mshindi wa Ligi kuu pamoja na FA cup hivyo kumfanya mshindi wa pili wa Ligi kuu ambaye ni Simba sc kushiriki CAFCL.Endapo Azam Fc watashinda FA cup basi yeye pamoja na mshindi wa Ligi kuu pekee ndiyo watakaoshiriki CAFCL
View attachment 2654236
Yani kwa ubongo wake anafikiria kuwa linapokuja swala la timu ipi ishiriki Club Bingwa na timu ipi ianzie shirikisho basi ye anajua jambo hilo huamuliwa na sheria za nchi husikaYaani giza kabisa. Aisee bongo tuna majitu ya hovyo
inaonesha jinsi gani huna akili. Tanzania inapeleka timu nne kimataifa kwa sababu ipo ndani ya ligi bora 12 Africa, hivyo timu mbili shirikisho, mbili champions league. Huyo azam hata akishinda mwisho wake ni shirikisho tu. Top 2 ya ligi ina nguvu kuliko Fa-Cup kwenye qualifications.Endapo Yanga watafungwa na Azam katika fainali ya kombe la FA moja kwa moja club ya Simba haitoshiriki kombe la club bingwa Afrika bali watashiriki kombe la shirikisho barani Afrika.
Utaratibu uliopo, Mshindi wa Ligi kuu pekee na mshindi wa FA cup ndiyo wanaopata tiketi ya kushiriki club bingwa moja kwa moja.Endapo mshindi wa Ligi kuu ndiye mshindi wa FA cup basi mshindi wa pili wa Ligi kuu huchukuliwa.Hivyo endapo Yanga atashinda fainali ya FA cup atakuwa mshindi wa Ligi kuu pamoja na FA cup hivyo kumfanya mshindi wa pili wa Ligi kuu ambaye ni Simba sc kushiriki CAFCL.Endapo Azam Fc watashinda FA cup basi yeye pamoja na mshindi wa Ligi kuu pekee ndiyo watakaoshiriki CAFCL
View attachment 2654236
Ndio atacheza kwasababu amesajiliwa ndani ya msimu wa dirisha kubwaHivi Feisal atacheza?
Kweli yanga wenye akili ni wawili.Swadaktaa na Hali ilivyo moja kwa moja makolo yanaangulia shirikisho msimu ujao. Sababu yanga haichukulii fainali hii siriaz sana kama azam. Kumbuka azam wako on fire refer to last match kamtundika mtu za kutosha tu.wakati yanga bado wako kwenye mood ya kushangilia ushindi wa ligi kuu.
Kweli huko kwenu wenye akili ni wawili tuKolowizard hawataki kabisa kusikia habari hizi Yanga ataacha afungwe ili Kolowizard wasiende kushiriki CAFCL [emoji2]
Kweli huko kwenu wenye akili ni wawiliYanga tufungwe mweee watajua tu umuhimu wetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah wana Yanga wenzangu mnaniangusha sana.
Acha bangi weweKwa mujibu wa utaratibu mpya wanaoshiriki CAF ni mshindi wa Ligi kuu na FA Cup, Hapo Yanga akipigwa Simba hawana chao CAFCL