Endapo Yanga watafungwa na Azam katika fainali FA. Simba watadondokea moja kwa moja kombe la shirikisho Afrika

Endapo Yanga watafungwa na Azam katika fainali FA. Simba watadondokea moja kwa moja kombe la shirikisho Afrika

Endapo Yanga watafungwa na Azam katika fainali ya kombe la FA moja kwa moja club ya Simba haitoshiriki kombe la club bingwa Afrika bali watashiriki kombe la shirikisho barani Afrika.
Utaratibu uliopo, Mshindi wa Ligi kuu pekee na mshindi wa FA cup ndiyo wanaopata tiketi ya kushiriki club bingwa moja kwa moja.Endapo mshindi wa Ligi kuu ndiye mshindi wa FA cup basi mshindi wa pili wa Ligi kuu huchukuliwa.Hivyo endapo Yanga atashinda fainali ya FA cup atakuwa mshindi wa Ligi kuu pamoja na FA cup hivyo kumfanya mshindi wa pili wa Ligi kuu ambaye ni Simba sc kushiriki CAFCL.Endapo Azam Fc watashinda FA cup basi yeye pamoja na mshindi wa Ligi kuu pekee ndiyo watakaoshiriki CAFCL

View attachment 2654236

Nawaona simba wanaanza mfungo wa maombi kuitakia yanga Mema
 
Uto mmeshachungulia kwa babu mmeona mambo magumu!!!!.
 
Hii sheria naona kama umeitoa CAF, kwamba unaamini CAF wana uwezo wa kutupangia nani ashiriki wapi?

Utopolo bana.
 
Endapo Yanga watafungwa na Azam katika fainali ya kombe la FA moja kwa moja club ya Simba haitoshiriki kombe la club bingwa Afrika bali watashiriki kombe la shirikisho barani Afrika.
Utaratibu uliopo, Mshindi wa Ligi kuu pekee na mshindi wa FA cup ndiyo wanaopata tiketi ya kushiriki club bingwa moja kwa moja.Endapo mshindi wa Ligi kuu ndiye mshindi wa FA cup basi mshindi wa pili wa Ligi kuu huchukuliwa.Hivyo endapo Yanga atashinda fainali ya FA cup atakuwa mshindi wa Ligi kuu pamoja na FA cup hivyo kumfanya mshindi wa pili wa Ligi kuu ambaye ni Simba sc kushiriki CAFCL.Endapo Azam Fc watashinda FA cup basi yeye pamoja na mshindi wa Ligi kuu pekee ndiyo watakaoshiriki CAFCL

View attachment 2654236
inaonesha jinsi gani huna akili. Tanzania inapeleka timu nne kimataifa kwa sababu ipo ndani ya ligi bora 12 Africa, hivyo timu mbili shirikisho, mbili champions league. Huyo azam hata akishinda mwisho wake ni shirikisho tu. Top 2 ya ligi ina nguvu kuliko Fa-Cup kwenye qualifications.
 
Hivi Feisal atacheza?
Ndio atacheza kwasababu amesajiliwa ndani ya msimu wa dirisha kubwa

Angekuwa amesajiliwa kipindi cha dirisha dogo asingecheza, kutokana na kwamba Yanga walishawasilisha jina lake CAF.
 
Swadaktaa na Hali ilivyo moja kwa moja makolo yanaangulia shirikisho msimu ujao. Sababu yanga haichukulii fainali hii siriaz sana kama azam. Kumbuka azam wako on fire refer to last match kamtundika mtu za kutosha tu.wakati yanga bado wako kwenye mood ya kushangilia ushindi wa ligi kuu.
Kweli yanga wenye akili ni wawili.
JamiiForums1139775186.jpg
 
Kwa mujibu wa utaratibu mpya wanaoshiriki CAF ni mshindi wa Ligi kuu na FA Cup, Hapo Yanga akipigwa Simba hawana chao CAFCL
 
Back
Top Bottom