GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Unaongeza idadi na sasa mtakuwa 178. Asante Kwako na Asanteni kwa wale wengine Wote mnaonifolo GENTAMYCINE hapa JamiiForums.Ndo hapo sasa
Ngoja nikufollow mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongeza idadi na sasa mtakuwa 178. Asante Kwako na Asanteni kwa wale wengine Wote mnaonifolo GENTAMYCINE hapa JamiiForums.Ndo hapo sasa
Ngoja nikufollow mimi
Salute salute mkuu,ulitabiri vema, siwapendi asilani Morocco, walitukana hawa, history &time mwamuzi wa hakiMnaobeti chukueni hii Morocco anatoka leo kwa kufungwa na South Africa Goli 1 sasa au Goli 1 katika dakika 30 za baadae kama wasipofungana au katika Penati ambako South Africa watafunga ila kwa Morocco watakosa nyingi na Safari yao kwa AFCON itaishia rasmi Usiku huu huu.
Unastahili mkuuUnaongeza idadi na sasa mtakuwa 178. Asante Kwako na Asanteni kwa wale wengine Wote mnaonifolo GENTAMYCINE hapa JamiiForums.
Asante.Salute salute mkuu,ulitabiri vema, siwapendi asilani Morocco, walitukana hawa, history &time mwamuzi wa haki
HATERS wangu najua Wanaumia mno.Unastahili mkuu
Worry not👍
Asante Mkuu na Ashukuriwe Mwenyezi Mungu kwa Kunibariki. GENTAMYCINE na Shani zake nyingi.ndo maana nkasemaga juzi wewe ni mtu muhimu kwenye hili taifa 🍻 keo narudia tena huna mpizani mkuu pamoja na yote ww ni game chenja
Foolish HATER.Huna lolote. Wewe ni mtabiri fake kama alivyokuwa fake TB Joshua tu.
You're such a Daft / Witless HATER.Basi unaViimMmbaa..
🤣🤣🤣🤣
Acha wahate tuuh hakuna namnaHATERS wangu najua Wanaumia mno.
Mkuu GENTAMYCINE wewe ni mmoja wa Manabii ndani ya JamiiForums.....Mnaobeti chukueni hii Morocco anatoka leo kwa kufungwa na South Africa Goli 1 sasa au Goli 1 katika dakika 30 za baadae kama wasipofungana au katika Penati ambako South Africa watafunga ila kwa Morocco watakosa nyingi na Safari yao kwa AFCON itaishia rasmi Usiku huu huu.
Hivi huyu moroco mara ya mwisho kubeba afcon ni lini?Kudadadeki Goli la Pili sasa. Nilisema mapema kuwa endeleeni tu Kukariri ila leo Gwiji lingine la Afrika Morocco linaenda Kung'oka.