Endeleeni kukariri kama mlivyofanya jana kwa Senegal, ila hata kwa Usiku huu Gwiji la Morocco nalo linaenda Kung'oka AFCON

Endeleeni kukariri kama mlivyofanya jana kwa Senegal, ila hata kwa Usiku huu Gwiji la Morocco nalo linaenda Kung'oka AFCON

Mnaobeti chukueni hii Morocco anatoka leo kwa kufungwa na South Africa Goli 1 sasa au Goli 1 katika dakika 30 za baadae kama wasipofungana au katika Penati ambako South Africa watafunga ila kwa Morocco watakosa nyingi na Safari yao kwa AFCON itaishia rasmi Usiku huu huu.
Salute salute mkuu,ulitabiri vema, siwapendi asilani Morocco, walitukana hawa, history &time mwamuzi wa haki
 
ndo maana nkasemaga juzi wewe ni mtu muhimu kwenye hili taifa 🍻 keo narudia tena huna mpizani mkuu pamoja na yote ww ni game chenja
Asante Mkuu na Ashukuriwe Mwenyezi Mungu kwa Kunibariki. GENTAMYCINE na Shani zake nyingi.
 
Basi unaViimMmbaa..
🤣🤣🤣🤣
 
Mnaobeti chukueni hii Morocco anatoka leo kwa kufungwa na South Africa Goli 1 sasa au Goli 1 katika dakika 30 za baadae kama wasipofungana au katika Penati ambako South Africa watafunga ila kwa Morocco watakosa nyingi na Safari yao kwa AFCON itaishia rasmi Usiku huu huu.
Mkuu GENTAMYCINE wewe ni mmoja wa Manabii ndani ya JamiiForums.....
 
Kwa mtu anayefuatilia mpira kwa kina kama wewe mtaalam GENTAMYCINE upo sahihi. Kile kikosi kimejaaa wachezaji wa mamelodi ambao kila siku wanawapiga waarabu nje ndani. Vile vijamaa ni vifupi, ila vinacheza pasi fupi fupi za haraka mno , na counter attack ndefu za haraka mno. Ila vile vijamaa vinakimbia sio poa dakika zote 90. Halafu vinajua kushikilia bomba.

Swali kwako mtaalam, huwa najiulizaga hao wachezaji wa mamelodi wanatoa wapi stamina ya kukimbia kama mshale mwanzo mpaka mwisho wa mechi?
 
Back
Top Bottom