Endeleeni tu kutuficha ya 'Ki-Beat', ila tutaendelea Kuwatembelea Mahospitalini Kwao kuwapa Pole na 'Majeraha' yao makubwa

Situation is not Xtreme ikifikia huko watasagisha si unaona wameanza na waliowatanguliza 🤣🤣
 
Atavuta shuka wakati jua limeshachomoza
Mluguru wa Watu anamwambia Kizimkazi Paje Queen akubali awafanyizie Kikatili kama ambavyo Bosi wake Mstaafu Msukuma alivyomwambia Aliyeondoka Mazima na Israeli Yeye anatanguliza Huruma na Imani wakati Watu wanapukutika na kujeruhiwa vibaya tu huko Ki-Beat area.
 
Ngoja ni download taarifa kutoka kwenye satelite yangu inayofuatilia mambo yanavyoenda pande hizo ili niweze kuhakiki.
Uzuri hakuna habari itapita bila ya kuwa captured na vinasio vyangu.
 
Kwaa kwaa kwani Kuna Habari gani jamani hahahaha...!
Na Wageni wa huko Ki-Beat wa safari hii wanaonekana wameiva vyema kwa Shabaha, kwani wanalenga vyema Usoni, Kifuani upande wa ulipo Moyo na Magotini na wakikujia kwa nyuma wanafumua Kisogo na Ubongo kabisa.

Napeleka Uji tukutane LMH leo Jioni.
 
Mzee wa msoga alichakata na kufikia wapi? Tumefikia hatua ya kulea uharifu kwa dini, eti ni wenzetu. Wenzenu wa wapi?

Naelewa ubaguzi wa ndani ulivyo; hakuna mwarabu anayeamini afrika ya weusi kuna mdini wao wa maana. Z'bar nao wanaamini bara hakuna mdini wao wa maana. Pwani nao wanaamini bara hakuna mdini wao wa maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…