Endeleeni tu kutuficha ya 'Ki-Beat', ila tutaendelea Kuwatembelea Mahospitalini Kwao kuwapa Pole na 'Majeraha' yao makubwa

pamoja kamanda
 
Aise , Vazi la ugaidi tulisikie tu.
Ila naamini hatua zinachukuliwa kimya kimya. Kozi za TPDF zinatakiwa ziwe updated sasa, yale mambo ya kuvimba na mstimu na magogo usiku kucha yapungue watu waive kwenye UJANJA PORINI na wafundishwe intelligensia yenye manufaa.
 
Upo nje ya mada asante
 
Na Wageni wa huko Ki-Beat wa safari hii wanaonekana wameiva vyema kwa Shabaha, kwani wanalenga vyema Usoni, Kifuani upande wa ulipo Moyo na Magotini na wakikujia kwa nyuma wanafumua Kisogo na Ubongo kabisa.

Napeleka Uji tukutane LMH leo Jioni.
Duuuh Mkuu hao wadunguaji Sasa Ni hatari..! Ngoja tuendelee kula mtori nyama ziko chini..[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ