Endeleeni tu kutuficha ya 'Ki-Beat', ila tutaendelea Kuwatembelea Mahospitalini Kwao kuwapa Pole na 'Majeraha' yao makubwa

Nacheka kama mazuri ila mh hapana.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo magaidi wa kibiti wamerudi na wanajeruhi askari ?
 
Uko sawa kabisa mkuu, too bad ni kwamba hata namba 4 akucheka nao, yeye ndo alikuwa wa kwanza kuwatia nguvuni. 5 alikuwa aggressive tu kwenye kupambana nao ila file aliachiwa na namba 4. Huyu analeta malezi tu
Suala Kama Hilo siyo la rais mkuu,kwa muundo wa nchi hii,haiwezekani rais atie mkono wa kulizuwia Hilo,Hilo ni suala la vyombo vya ulinzi na usalama
 
Pole sana kwa ban mujarab
Nitukane tena kama juzi nikupe ban nyingine
 
Suala Kama Hilo siyo la rais mkuu,kwa muundo wa nchi hii,haiwezekani rais atie mkono wa kulizuwia Hilo,Hilo ni suala la vyombo vya ulinzi na usalama
Tunapo ongelea maswala nyeti muwe mnakaa kimya.
Vyombo vya ulinzi na usalama when it comes to national security matters, kazi yake ni briefings na kumpa ushauri tu kwa huyo namba 1 wenu. You are only provided with knowledge, utaifanyia nini sasa ni juu yako. Yule ndo commanding officer wa maswala yote ya national security provided that anakuwa supplied na all detailed intelligence and knowledge.
 
Ni rahisi tu! Sudan wako wapi? Tumejidai eti sisi ni wema sana, tunawasidia kusomesha vijan wao wa medicine, sijui digrii zingine walikwenda wapi!
 
Suala Kama Hilo siyo la rais mkuu,kwa muundo wa nchi hii,haiwezekani rais atie mkono wa kulizuwia Hilo,Hilo ni suala la vyombo vya ulinzi na usalama
Dah! Hivi bado wengi tunamuondoa rais kwenye mambo yanayomuhusu. Kama hilo siyo la rais, kazi yake ni ipi? Teuzi? Wewe hujui Usalama wa taifa unaripoti kwa nani? Hujui mkuu wa majeshi anaripoti kwa nani? Hujui Mkuu wa polisi anaripoti kwa nani?
btw., una cheti cha darasa la ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…