Eng. Hersi ajiuzulu nafasi yake ya urais kwa kututusi sisi wanayanga!

Hapana, Dr Slaa ndiye aliyesema anashindia mihogo na maharage hivyo hajaongwa, akimaanisha anaishi Maisha ya kimaskini. Ndipo hapo chadema wakaanza kumuita Dr Mihogo.

[,QUOTE="wa kupuliza, post: 44203806, member: 88736"]
Dr. Slaa mwenyewe alivyoondoka CHADEMA then wanachadema walianza kumuita ni Dr. Mihogo.

Labda aliiheshimisha Mihogo.
[/QUOTE]
O
 
Ndivyo alivyomaanisha na mashangazi wa simba wameanza kutukebehi kuwa sisi ni wala mihogo kama nguruwe inauma sana kama nyinyi mlipoitwa mbumbumbu!
Kwani uwongo hamli mihogo? Huyu hapa mwenzenu Tati Mkuu anadumisha mila na desturi ya utopolo
 
Kula mihogo ni tusi?
 
Kama GSM mwenyewe ametulia na anakula mabaga,mapiza,mayonaizi ,makoronya,matambi,ma eggs chop,makababu na machapati chapati na amewekeza Bs ametulia tuli iweje wewe mla mihogo unalalamika?
Uto mnadeka sana aisee
Kwani hamli mihogo bana?

GENTAMYCINE ni lini mgongowazi waliacha kula mihogo?
 
Club wameiweka mfukoni sahv
Lazima wawadharau,hv nyie wanachama mnatoa nini

Ova
 
Nyie hmn la kufanya
Wao ndy matajir wenu

Ova
 
Fair play haina unafiki na kushoboka.
Wewe si ulisema kinanuka soon Avic?
Pumbavu nilisema Kinanuka Soon au nilisema kuwa ndani ya Wiki Moja baada ya Mechi yao ya Juzi na Club Africaine mpaka ile ya marudiano Jijini Tunis nchini Tunisia tarehe 9 Novemba Kocha Nabi lazima atafukuzwa tu?

Je, Mechi hiyo ya marudiano imeshapita? Kusema soon Kwako Wewe damn Fool ni Kumaanisha Siku hiyo hiyo? Huniamini na Unanichukia lakini bado kila Siku ( 24/7 ) ukiwa hapa ( Log In ) hapa JamiiForums ni lazima tu usome Mada ( Threads ) zangu.

Kumbe nikiwa Nawadharau mno huwa sikosei na nakuwa sahihi 100% kabisa.
 
Huna jipya.
 
Hersi alitakiwa kuwaomba radhi wana Yanga.
Unasema tu

samahanini kwa kauli yangu hakika sikudhamilia kuwadhihaki

Mambo yanaisha.
Kati ya watu wenye jeuri ni wale wasioweza kuomba msamaha

Msamaha unaombwa hata kama hujakosea, una angalia tu jamii imechukuliaje neno au tendo lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…