Eng. Hersi: Haji Manara sio Msemaji wa Yanga, tunaangalia majukumu mapya ya kumpa

Eng. Hersi: Haji Manara sio Msemaji wa Yanga, tunaangalia majukumu mapya ya kumpa

Sisi wanachama wa Yanga tunamuhitaji Haji sana kuliko Ally Kamwe
 
Weeh!! Siku hizi nashinda sana Twitter (X) kwenye space hata insta sijaingia, nikipata muda nikajionee mie nisipitwe ubuyu wenyewe huu kabisa 😹
Umemachua yani ume advance la mama...unashinda twita X kwa wasomi...njoo tuu ujionee mambo ni mengi muda mchache...😄
 
Umemachua yani ume advance la mama...unashinda twita X kwa wasomi...njoo tuu ujionee mambo ni mengi muda mchache...😄
Haki hii ni zaidi ya machuadi yani nashinda twita na kwenye space naomba mic sio shida zangu, tena space za wakenya nzuri sana..
Kuna time tunapunguza umbea ili mzani ubalance 😂😂
 
Haki hii ni zaidi ya machuadi yani nashinda twita na kwenye space naomba mic sio shida zangu, tena space za wakenya nzuri sana..
Kuna time tunapunguza umbea ili mzani ubalance 😂😂
Sure ..😀😀😀
 
Huyo Jamaa siku ya Yanga day yeye na wenzake wawili waliharibu sana. Kiprotokali haikuwa sawa ukizingatia kulikuwa na raia namba mbili WA nchi
 
Hiyo ni Laana ya kumkejeri muwekezaji MO mbele ya halaiki siku ya
Yanga Day.
Dunia hii usishindane na tajiri.
Matajiri huwa wanakutanaga na kuongea kwenye
Club zao.
Maskini unatakiwa kuwa mpole dhidi ya tajiri

Matajiri huwa wanakunywa bia na kahawa pamoja

Matajiri Wanajuana Shule wamemesoma pamoja IST.

Watoto wao wanajuana
 
Kwa kauli hii unaweza kuhisi kuwa hata kufungiwa kwake kama na uongozi ulifurahi na kupumua
 
Back
Top Bottom