financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Akisikia hii comment atalia sana😄😄Majukumu gani mengine ambayo hapo Yanga bado hayana nafasi?
Au upishi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akisikia hii comment atalia sana😄😄Majukumu gani mengine ambayo hapo Yanga bado hayana nafasi?
Au upishi?
Umechoka kutumia jf unataka nikupige ban ili ukafungue I'd nyingine?Leo kafiri umeongea pointi. 😀😃😄😁, kwenye Yanga dei alitokota sana pia
Sisi tenaa?? Akuuu...Hahaaaaaa acha roho mbaya wr binti. Unataka akale wapi manara wa watu?
Mpokeeni hapo Ukoloni.
😄🤣😂😆😄 nakuchomekea tu mkuu. Tuendelee na issue ya manara.Umechoka kutumia jf unataka nikupige ban ili ukafungue I'd nyingine?
Nipo kwenye muda wa majaribio usije kusema mi ni dikteta baada ya kukulamba ban😄🤣😂😆😄 nakuchomekea tu mkuu. Tuendelee na issue ya manara.
KurujuanMajukumu gani mengine ambayo hapo Yanga bado hayana nafasi?
Au upishi?
Umemachua yani ume advance la mama...unashinda twita X kwa wasomi...njoo tuu ujionee mambo ni mengi muda mchache...😄Weeh!! Siku hizi nashinda sana Twitter (X) kwenye space hata insta sijaingia, nikipata muda nikajionee mie nisipitwe ubuyu wenyewe huu kabisa 😹
Haki hii ni zaidi ya machuadi yani nashinda twita na kwenye space naomba mic sio shida zangu, tena space za wakenya nzuri sana..Umemachua yani ume advance la mama...unashinda twita X kwa wasomi...njoo tuu ujionee mambo ni mengi muda mchache...😄
Sure ..😀😀😀Haki hii ni zaidi ya machuadi yani nashinda twita na kwenye space naomba mic sio shida zangu, tena space za wakenya nzuri sana..
Kuna time tunapunguza umbea ili mzani ubalance 😂😂
Nilijua tu.Kwa hiyo Manara ni mfanyakazi hewa? Lol
Ova
Lucha michezo ya kuchomekewa imeanza lini?😄🤣😂😆😄 nakuchomekea tu mkuu. Tuendelee na issue ya manara.
Ndo unalolitaka hilo? Ungekuwa wew ndo manara mnara ungesoma 4G? Hiv nyinyi kudindisha na stres mnaona suala dogo?Hizo hasira zote leo atazimaliza kwa Zaylissa
Huwezi amini, mbwembwe zote zile kumbe ni yeye peke yake pale Yanga ndiye hana majukumu. Hadi anafanya kutafutiwa pa kuwekwa.Nilijua tu.
Hiyo ni Laana ya kumkejeri muwekezaji MO mbele ya halaiki siku ya
Yanga Day.
Dunia hii usishindane na tajiri.
Matajiri huwa wanakutanaga na kuongea kwenye
Club zao.
Maskini unatakiwa kuwa mpole dhidi ya tajiri