Eng. Hersi Said: Mimi sio mfanyakazi wa Yanga, Sipo kwenye orodha ya wanaolipwa na Yanga

Hii mbona ipo wazi kitambo? Wenyeviti wa CCM wote hawana mishahara, ila makatibu wana mishahara kwa sababu ni waajiriwa!
Umeongea nini? Mwenyekiti wenu wa Serikali ya mtaa kamuulize halipwi pale Ofisini na km halipwi hela ya kujilipa anatoa Wapi? Msiongee ushubwada
 
Watu wenye akili hawatazami mtu anachokisema wanatazama namna ya utendaji kazi
 
Watu wenye akili hawatazami mtu anachokisema, wanatazama namna ya utendaji kazi
Anafanya kazi Vipi km halipwi? Tusichanganyane Mzee Magoma alikua anaonekana km Mwehu kumbe ana akili
 
Ndio afafanue sasa atasema ameajiriwa na Tajiri GSM sema hivyo Mzee Magoma achukue point 3
 
Anafanya kazi Vipi km halipwi? Tusichanganyane Mzee Magoma alikua anaonekana km Mwehu kumbe ana akili
Nyinyi ndio huwa mnatolewa relini na wake zenu

Mke akibwabwaja muache tu aropoke muhimu awe anafuata maagizo yako basi...
Kelele zake unamuachia yeye mwenyewe
 
Hivi huyu baba alisoma Engineering, course ipi? Nataka sana kujua. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anacheza na akili ndogo tu

Kipimo cha akili hupimwa katika vitendo na si maneno
 
Rais wa Yanga ni mtendaji wa kila siku wa majukumu ya timu ndiyo maana credit za mafanikio yote ya Yanga kuanzia usajili hadi performance ya timu uwanjani anapewa yeye kwanza kabla ya huyo CEO. Yale yale ya GSM, mnamuimba kama ndiyo kila kitu hapo utopoloni ila mkibanwa kwenye udhamini wa vilabu vingine mnamruka kuwa hana influence yoyote klabuni, eti ni mdhamini mdogo tu.

Tatizo Yanga mna ile wanasema "you want to have your cake and eat it too". Kama wewe ni msomi kama unavyojinasibisha utaelewa hiyo kauli ina maana gani.
 
Bosi iko hivi, siku zote inategema na aina ya organization setup. Kwa mfumo wa Yanga ulivyo it has just happened kuwa Eng. Hersi yupo active na sababh kubwa ya nature ya organization kama yanga kwa sababu yeye anachaguliwa na wananchama na lazima aonekane anawawakilisha vizuri kuisimamia management ya Yanga. So hakuna tatizo bosi. Sema wengi wetu uelewa ni mdogo kwenye governance za vilabu au mashirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…