Eng. Hersi Said: Mimi sio mfanyakazi wa Yanga, Sipo kwenye orodha ya wanaolipwa na Yanga

Sasa kama wewe ni rais wa Yanga halafu unasema siyo mfanyakazi wa Yanga maana yake nini?

Kama wewe siyo mfanyakazi wa Yanga basi Yanga ni mfanyakazi wako!

"Mimi sifanyi kazi Yanga. Mimi ni Rais wa Yanga". Hii kauli inabeba mengi sana.

Hivi wafanyakazi wanachukuliwaje nchi hii? Kwa hiyo "kazi" anayopewaga na anayojipaga credit kuifanya Yanga tuipe jina gani?
 
Wanatuchukulia mafala
 
Yanga mnajilinganisha na utendaji wa chama cha siasa? Kwanza Hersi ni mwenyekiti wa nini?

Kama unataka upewe definition ya full time basi mjadala huu haukuhusu.
Usikimbie, jibu maswsli niliyokuuliza, vinginevyo huna uwezo wa either kuchangia mjadala au kukosoa.
 
Hersi anasema halipwi hata 100 ila chawa wake wanajaribu kumtetea kwa kusema analipwa posho. Hawajui posho inaweza kuwa ni kubwa sana kulinganisha na wanaolipwa mshahara.
 
Kumbe unaotea!

Pia kukuweka sawa, Yanga haina hiyo unayoita bodi ya wakurugenzi
 
Mihemko inawasumbua! Nasema mwajiriwa analipwa mshahara. Bodi inalipwa posho siyo mshahara. Kama huwezi kutofautisha posho na mshahara basi Ubarikiwe tu, haya mambo siyo level yako kama ambavyo naona SAYVILLE na Bueno wasivyokuwa waeleawa. Mshahara lazima ukatwe PAYEE ambayo calculator yake ni hii hapa PAYEE Calculator
 
Mihemko inawasumbua! Nasema mwajiriwa analipwa mshahara. Bodi inalipwa posho siyo mshahara. Kama huwezi kutofautisha posho na mshahara basi Ubarikiwe tu, haya mambo siyo level yako kama ambavyo naona SAYVILLE na Bueno wasivyokuwa waeleawa
Tangu lini Yanga ina bodi?
 
Sasa kama wewe ni rais wa Yanga halafu unasema siyo mfanyakazi wa Yanga maana yake nini?

Kama wewe siyo mfanyakazi wa Yanga basi Yanga ni mfanyakazi wako!
Kikwete ni mkuu wa chuo cha Dar (University chancellor), lakini yeye si mfanyakazi wa UDSM.
 
Kikwete ni mkuu wa chuo cha Dar (University chancellor), lakini yeye si mfanyakazi wa UDSM.
Mwajiriwa wa UDSM Mkuu wa Chuo lazima kuna kazi azifanye Wewe Maandazi kabisa Wewe
 
Mm! Wewe kwa kulazimisha kile unachokifahamu bila kuacha mwanya wa maarifa mapya hatujambo.
 
Wajinga ndio waliwawo, kekundu kiupe cc FaizaFoxy
 
Hakika wengi hamuelewi governance. Hata board mbalimbali za makampuni kuna hao wakurugenzi wa bodi ambao siyo waajiriwa, sasa mnashangaa nini?????
Wakuregenzi wa bodi zote duniani huwa wanalipwa posho za kuhudhuria vikao, unono wa posho unategemea ukubwa wa taasisi, Marais wa timu zote duniani (kasoro Yanga) wanalipwa mishahara ya kila mwezi. Hata Florentino Perez wa Madrid analipwa mshahara.
 
Ukifuatlia hii post makolo ndio wanalalamika sijui hata ni nini kina wauma maskini…!!!
 
Hakika wengi hamuelewi governance. Hata board mbalimbali za makampuni kuna hao wakurugenzi wa bodi ambao siyo waajiriwa, sasa mnashangaa nini?????
Yes, huwa hawalipwi mshahara Bali kuna directors fees na alawanse ya makalio/sitting allowances n etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…