Eng Victor: Namshukuru Mungu kwa Ujasiri alionipa wa kujiokoa na kuokoa wengine kwenye Ndege, naelekea Muhimbili kwa matibabu zaidi

Eng Victor amesema baada ya Ndege ya Precision Air kuanguka alijaribu mara 3 kufungua mlango Bila mafanikio ndipo akaja Muhudumu wa Ndege na kubonyeza mahali mlango ukafunguka


Source: WASAFI TV
Huku kuna "press button" ya mmojawapo wa "air hostess" kutokana na maelezo ya Eng. Victor, kule kuna "pigo la kasia" kutoka kwa dogo Majaliwa, ila jambo moja lenye kukubalika ni kuwa mlango ulifunguliwa na baadhi ya abiria kuweza kuokolewa.
 
Yeye ndiye aliyeleta boti ya uokoaji?
 
Kwahiyo huyo mhudumu baada ya bonyeza mlango afu na yeye aka amua afie ndani ya ndege? Tz ni Taifa la Wajinga hadi Ma Eng wa wasio weza tengeza hata Ufagio wa chooni.
 
Lakini tuwaze tu hivi inawezekana mlango wa ndege ukawa sawa na wa Toyota allex ukipigwa Kasia unasambaratika......!
Tuwaze zaidi ”kama ni hivyo je siku hizo ndege zikikutana na wingu kubwa huko juu si zitawamwaga abiria wote chini?"

Naona na aliyetoa hii report ni engineer hope ni mtu anayezijua ndege,maana kwa kauli kwamba mlango wa ndege ulipigwa kasia ukafunguka sidhani kama angethubutu kupanda tena ndege za hilo shirika kurudi Dar kwa matibabu.
 
Kwa kuandika story hamjambo utadhani mlikuwepo? Huyo mhudumu mbona ali kufa?
 
Mmesahau kitu kimoja, kwamba Mhudumu alipofungua mlango, Abiria mmoja aliruka kwenye Maji, nakuanza kuogelea kwenda nchi kavu, akakuta Mtumbwi usio na mwenyewe, akaja nao akipiga Kasia kuja kuwaokoa Abiria wenzake!

Kama mlifungua Mlango mara baada ya ajari, basi kina Majaliwa wangewakuta Mmeshajitosa majini na Life jacket zenu.

Mnakosa Shukrani hata kidogo, Kwa hiyo ule Mtumbwi wa kina Majaliwa ulikua wa Shangazi yenu!?
 
Ahsante....

Ndiyo maana Abiria kwenye ajali wanaibiwa maana shukrani hakuna...
 
Acha bana Majaliwa ndio keshaupiga mwingi. Bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi
 
Sawa Eng.[emoji3]

Ila kumbuka mazingira ya ajali lolote linaweza kutokea..
 
Eti msikie huyu abiria alivosema;

Jamani ajali!! ni ajali tu hata Mshedede hausimami lkn sometimes hali huwa tofauti! ni hivi yaani wakati wa ile ajali bana! liji-Mama lili nikumbatia hilo mwee!

basi kwa raha zile zote niipata nguvu za ajabu! sasa nikasisitiza anikumbatie kwa nguvuuu mbele huku! basi weee!!
na kwambiaaa jamani uokoaji ni mzuri sana ukiwa na ke! yaani nilikuwa mwepesiiiii

mie naona yale mafuta mafuta ya wowo! ! ya yule mdada/ mji mama yalisaidia tuelee! naona maajabu sana yaani nikatupiwa boya la wavuvi mara tatu! nikalikataa!...sijui ilikuwaje vile???

hata zile nguvu na utaalamu wa kuelea sijui niliutoa wapi........ila kuna jamaa moja zamiaji... lilinikemea nkadhania mumewe nini???kuuumbe lilikuwa linaona wivu tu! ke sijui wana nini yani wao wanatuambukiza maguvu ushujaaa uuu!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…