mbenge
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 4,864
- 10,483
Huku kuna "press button" ya mmojawapo wa "air hostess" kutokana na maelezo ya Eng. Victor, kule kuna "pigo la kasia" kutoka kwa dogo Majaliwa, ila jambo moja lenye kukubalika ni kuwa mlango ulifunguliwa na baadhi ya abiria kuweza kuokolewa.Eng Victor amesema baada ya Ndege ya Precision Air kuanguka alijaribu mara 3 kufungua mlango Bila mafanikio ndipo akaja Muhudumu wa Ndege na kubonyeza mahali mlango ukafunguka
Source: WASAFI TV