Eng Victor: Namshukuru Mungu kwa Ujasiri alionipa wa kujiokoa na kuokoa wengine kwenye Ndege, naelekea Muhimbili kwa matibabu zaidi

[emoji3][emoji3][emoji28]
 
Mkuu kwa hili suala hata mtoto wa vidudu hawezi kukubali.
 
Mkuu toka mwanzo tuliokuwa tunapinga utapeli huu tulionekana wachochezi
 
Mkuu kinachotufanya wengi tudoubt washiriki wa kuokoa they were so many kwanini amulikwe mvuvi mmoja tu??
 


Shujaa Majaliwa Awahi Kule Chogo Handeni, Tanga Ambako Chuo Kipo Vinginevyo Wasanuaji Wanamwaga Mboga Mchana Kweupe!!!

 
Siku si nyingi utaona mtu kajitolea Toyota Alllex yake inapigwa mlango kwa kasia
 
Ni ngumu sana mtu aliye ndani ya ndege kukumbuka haya anayosema....hao akina dada dada aliojadiliana afungue mlango karkari ya taharuki ....labda atusaidie kama rubani walitoa tangazo la tatizo lolote kwenye ndege na kuamua kutua au ndege ilianguka ghafla bila taarifa...je marubani walipotezaje maisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukumbukwa mabegi wakati Watu hawajaokolewa wote?!!

Injinia akili zake kama Daudi Mchambuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…