Jamani mbavu zangu...Lakini tuwaze tu hivi inawezekana mlango wa ndege ukawa sawa na wa Toyota allex ukipigwa Kasia unasambaratika......!
Hakuna mhudumu aliyefia kwenye ndegeKwahiyo huyo mhudumu baada ya bonyeza mlango afu na yeye aka amua afie ndani ya ndege? Tz ni Taifa la Wajinga hadi Ma Eng wa wasio weza tengeza hata Ufagio wa chooni.
Kaingia Bungeni atatokezea IKULU huyoooooo faya brigedi.....Aaah kijana amekua exaggerated ila waliosaidia ni wengi mnoo kuanzia Hostess aliyefungua emergency exit, raia wa china, wavuvi waliokuja na mitumbwi all in all Majaliwa sio kama alikua better ila kitendo Cha yeye manusura kupoteza maisha sababu ya kujaribu kumuokoa Rubani nadhani ndio wanamfutia machozi nacho.
Pia serikali wamemkuza Ili kuondoa maswali ya wananchi kwenye uzembe wa kuchelewa kuokoa Ili Sasa attention iwe kwenye SHUJAA!! but ukisikiliza manusura wote utaona msaada ulitolewa na watu wengi sana na sio mtu mmoja kuokoa watu 24!!
Wala hakufa mhudumu yeyote,wote wawili wali survive.Kwa kuandika story hamjambo utadhani mlikuwepo? Huyo mhudumu mbona ali kufa?
Kwa hiyo huyu Eng. Ndiye aliyewatoa watu 24 ziwani na kuwaleta nchi kavu? #Majaliwa shujaa.🙏🙏🙏Eng Victor amesema baada ya Ndege ya Precision Air kuanguka alijaribu mara 3 kufungua mlango Bila mafanikio ndipo akaja Muhudumu wa Ndege na kubonyeza mahali mlango ukafunguka
Victor anasema muda wote wa Uokoaji alikuwa ameuzuia mlango kwa mkono takribani Dakika 40-60 na baada ya kuhakikisha Watu wote wametoka aliuachia mlango Ukajifunga kwa sababu ni wa hydroulic
Kabla sijauachia mlango nilimtuma mvuvi mmoja " mdogo mdogo hivi" aokoe mabegi yanayoelea ndani ya Ndege na anitafutie na begi langu lakini begi langu hakuliona
Victor anasema anajisikia maumivu ya hapa na pale na amekubaliana na madaktari wa Bukoba aende Muhimbili kwa Uchunguzi zaidi
Victor anasema Wavuvi wote walimfata na kumkumbatia baada ya zoezi la uokoaji kukamilika naye aliwaambia Nguvu walizomuona nazo kule kwenye Maji siyo zake bali ni muujiza wa Mungu.
Victor alihojiwa na Wasafi tv akiwa ndani ya Ndege ya Precision Air alirejea DSM tayari kwenda Muhimbili
Source: WASAFI TV
Wote wawili walipona
Injinia MsaniiMaelezo ya Majaliwa yamenyooka ila huyu Injinia maswali ni mengi bwashee
Katika hatari kama ile nguvu ya kutafuta begi unaitoa wapi?
huenda huyo 'Air hostess' alifungua mlango baada ya majaliwa kuupiga kasia na ukalainika.lakini mbona hayo maelezo ya kumponda majaliwa yameibuka baada ya majaliwa kupata promo ya kutosha?hiyo day one injinia alikuwa wapi kutoa maelezo yake? kuna dalili ya wvu hapa dhidi ya majaliwaKwa waliopanda ndege, milango ya Ndege hufunguliwa tokea ndani, lakini kuna malalamiko mengitu ya kwamba Majaliwa alishirikiana na wavuvi wengine, wako abiria wanakiri aliyefungua mlango wa ndege nia "air hostess" TZ nchi ya dili, lakini si shangai munakumbuka issue ya "TETEMEKO HALIKULETWA NA SERIKSALI" Kagera Land of fire....
Injinia anatafuta kuganga njaa,lkn uki-connect dots maelezo yake yanaleta mashaka makubwaSasa yeye alivyowashikilia mlango wenzie kwann akusubilia watoke wote....hafu kwann amtume mvuvi akamchukulie begi lake...na kama mlango audrolic huyo mvuvi aliyemtuma alipitia wapi....Njaaa zingine zitawaua anapepeta mdomo tu ..labda anahisi nae atapewa fulsa aliyopata dogo.
Aache ushamba ...
ni kweli hiyo hutokea, unakuwa na nguvu na ujasiri wa ajabu - hata yeye Victor ukimuuliza nguvu na ujasiri alitoa wapi hawezi kujua.Eng Victor amesema baada ya Ndege ya Precision Air kuanguka alijaribu mara 3 kufungua mlango Bila mafanikio ndipo akaja Muhudumu wa Ndege na kubonyeza mahali mlango ukafunguka
Victor anasema muda wote wa Uokoaji alikuwa ameuzuia mlango kwa mkono takribani Dakika 40-60 na baada ya kuhakikisha Watu wote wametoka aliuachia mlango Ukajifunga kwa sababu ni wa hydroulic
Kabla sijauachia mlango nilimtuma mvuvi mmoja " mdogo mdogo hivi" aokoe mabegi yanayoelea ndani ya Ndege na anitafutie na begi langu lakini begi langu hakuliona
Victor anasema anajisikia maumivu ya hapa na pale na amekubaliana na madaktari wa Bukoba aende Muhimbili kwa Uchunguzi zaidi
Victor anasema Wavuvi wote walimfata na kumkumbatia baada ya zoezi la uokoaji kukamilika naye aliwaambia Nguvu walizomuona nazo kule kwenye Maji siyo zake bali ni muujiza wa Mungu.
Victor alihojiwa na Wasafi tv akiwa ndani ya Ndege ya Precision Air alirejea DSM tayari kwenda Muhimbili
Source: WASAFI TV
Kale kamajaliwa ni kukuchapa viboko kabisaKwahio Majaliwa alipiga mlango upi kwa kasia ukafunguka? Au kulikuwa na milango miwili?
Kwenye dots hakuna utata, sababu majaliwa baada ya kufungua mlango kwa nje na Engineer kuendelea kuushikilia usijifunge basi Majaliwa alichumpa kwenda kwa marubani na kuanza kurukushani ya kufungua mlango wao hadi pale alipoambiwa mamlaka zinawasiana nao asivunje, so Majaliwa hakuwa na la kufanya bali kuwapungia mkono wa buriani Marubani hao. (Sasa kama unacheki muvi hapa ndipo lazima utoke machozi)Bwashe huu uzi una kila dalili ya uchochezi. Wenye Majaliwa wao unataka kuwaambia nini?
Huyu ni Injinia ana proffesion yake, hiyo milion tano ni ndogo sana kwake na ajira ya zima moto haiendani na taaluma yake, he is better than thatWampe na yeye ajira zima moto na milion 5, ndo anachokitafuta
Tungeona wivu kwa Big Majaliwa (waziri mkuu)huenda huyo 'Air hostess' alifungua mlango baada ya majaliwa kuupiga kasia na ukalainika.lakini mbona hayo maelezo ya kumponda majaliwa yameibuka baada ya majaliwa kupata promo ya kutosha?hiyo day one injinia alikuwa wapi kutoa maelezo yake? kuna dalili ya wvu hapa dhidi ya majaliwa
Kwahio Majaliwa alipiga mlango upi kwa kasia ukafunguka? Au kulikuwa na milango miwili?
Wivu ili kiwe nini?huenda huyo 'Air hostess' alifungua mlango baada ya majaliwa kuupiga kasia na ukalainika.lakini mbona hayo maelezo ya kumponda majaliwa yameibuka baada ya majaliwa kupata promo ya kutosha?hiyo day one injinia alikuwa wapi kutoa maelezo yake? kuna dalili ya wvu hapa dhidi ya majaliwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]Victor kasema Hata yule mtoto mdogo alimuokoa kwa kumshika na kidole
Ndio sababu anamtukuza Mungu
[emoji3][emoji3]Kale kamajaliwa ni kukuchapa viboko kabisa