Yes jaribu kutumia 5W30, angalizo oil hii bei yake ni mara mbili ya sae 40 kwa kampuni yoyote ile ya oil na mm ninazo ofsn kwangu kwa kampuni zote genuine
Kama ni matumizi ambayo ni ya kawaida sana angalau km 5000-8000 ila kama matumizi yako ni very roughly angalau km 3000-5000Okay...vp na nikiweka hii 5w30 nibadili kila baada ya km ngapi Mkuu???
Unauzaje Mkuu...huku mikoani tumezoea sae 40...Kama ni matumizi ambayo ni ya kawaida sana angalau km 5000-8000 ila kama matumizi yako ni very roughly angalau km 3000-5000
Kila kampuni na bei zake mfano kwa liquil moly ni 135,000 litre 5, total 70,000litre 4 castrol 120,000 litre 5, oryx 60,000 hizo ni kampuni ambazo ninazo ofsn kwanguUnauzaje Mkuu...huku mikoani tumezoea sae 40...
Naongezea, aende kilomita 5000- 8000 kama oil ni synthetic sio mineral oil. Kama ni mineral hapo ni 3000-5000. Kwa synthetic inakwenda km 10000 lkn kwa ajili ya wasiwasi wa driving conditions ndio mtu nashauri wa alifikisha km7000 amwage ila kama amefulia anaweza kwenda km 10000 bila shida ili mradi oilfilter ni genuineKama ni matumizi ambayo ni ya kawaida sana angalau km 5000-8000 ila kama matumizi yako ni very roughly angalau km 3000-5000
Mkuu hii castrol ni edge, gtx au magnatec?Kila kampuni na bei zake mfano kwa liquil moly ni 135,000 litre 5, total 70,000litre 4 castrol 120,000 litre 5, oryx 60,000 hizo ni kampuni ambazo ninazo ofsn kwangu
Magnatec haitumiki kwenye gari za Toyota wala Nissan nadhan kwa gari zinazotoka Japan ni Mazda tu ndo inatumia hii oil, zote ninazo ila gtx hawana 5w30 hivyo edge ndo inatumika kwenye Carina yako mkuuMkuu hii castrol ni edge, gtx au magnatec?
Watu wanaoweka genuine kwa bongo ni wachache sana tena wale wenye magari makubwa kama Prado cruiser nk ila hawa aanaomilik hizi saloon cars na suv wengi wao hawaelew neno genuine na hawataki kusikia kabisa sijui shida ni nnNaongezea, aende kilomita 5000- 8000 kama oil ni synthetic sio mineral oil. Kama ni mineral hapo ni 3000-5000. Kwa synthetic inakwenda km 10000 lkn kwa ajili ya wasiwasi wa driving conditions ndio mtu nashauri wa alifikisha km7000 amwage ila kama amefulia anaweza kwenda km 10000 bila shida ili mradi oilfilter ni genuine
Mkuu ahsante kwa elimu, umeniongezea. Nimetafuta sana GTX 5W30 puma zote hapa Dodoma nimekosa, kumbe hazipo kabisa. Mkuu last time niliweka magnatec kwenye runx, daah kumbe nilichemka vibaya. Tatizo edge 5w30 kuipata kwa Dom imekuwa ishu mkuu. Huko dar zipo??Magnatec haitumiki kwenye gari za Toyota wala Nissan nadhan kwa gari zinazotoka Japan ni Mazda tu ndo inatumia hii oil, zote ninazo ila gtx hawana 5w30 hivyo edge ndo inatumika kwenye Carina yako mkuu
Dunia sasa hivi ni kijij mkuu mm nina kila aina ya kilainish cha castrol, liquimoly total na oryx hizo edge 5w30 zipo nyingi tu japokua kuwa zile za litre 5 zimeisha zimebaki za litre moja moja ambayo @litre ni 30,000 elfuMkuu ahsante kwa elimu, umeniongezea. Nimetafuta sana GTX 5W30 puma zote hapa Dodoma nimekosa, kumbe hazipo kabisa. Mkuu last time niliweka magnatec kwenye runx, daah kumbe nilichemka vibaya. Tatizo edge 5w30 kuipata kwa Dom imekuwa ishu mkuu. Huko dar zipo??
Mi vitu vinavyohusiana na engine sitaki kabisa kuweka ambavyo sio genuine. Kitu chochote kinachogusa engine siweki feki.Watu wanaoweka genuine kwa bongo ni wachache sana tena wale wenye magari makubwa kama Prado cruiser nk ila hawa aanaomilik hizi saloon cars na suv wengi wao hawaelew neno genuine na hawataki kusikia kabisa sijui shida ni nn
Nikikosa Itabidi niagize hukoDunia sasa hivi ni kijij mkuu mm nina kila aina ya kilainish cha castrol, liquimoly total na oryx hizo edge 5w30 zipo nyingi tu japokua kuwa zile za litre 5 zimeisha zimebaki za litre moja moja ambayo @litre ni 30,000 elfu
Mkuu mm sio mtaalamu sana kwa kujua aina ya engine kulingana na magari husika but denso spark plug ninazo bei inaanzia 20,000 kwa moja ila zile za sindano ni 50,000 kwa mojaMi vitu vinavyohusiana na engine sitaki kabisa kuweka ambavyo sio genuine. Kitu chochote kinachogusa engine siweki feki.
Mkuu dukani kwako mnazo Denso Spark plug za Iridium Twin Tip za engine ya 1NZ FE? Mnauzaje?
Kama unaitaji usisite kunitafuta mkuu +255719263074 au ukiingia IG kwa jina la Jo_motors utaweza kuagiza na kuletewa mzigo wako na tunatuma kwenye gari ambayo unaichagua mwenyeweNikikosa Itabidi niagize huko
Yes hizi za sindano ndioMkuu mm sio mtaalamu sana kwa kujua aina ya engine kulingana na magari husika but denso spark plug ninazo bei inaanzia 20,000 kwa moja ila zile za sindano ni 50,000 kwa moja
Shukran mkuu, umejibu. Nachukua namba yako mkuuKama unaitaji usisite kunitafuta mkuu +255719263074 au ukiingia IG kwa jina la Jo_motors utaweza kuagiza na kuletewa mzigo wako na tunatuma kwenye gari ambayo unaichagua mwenyewe
Mkoa wowote ule kaka ilimradi wewe tu useme utumiwe mzigo kwenye gari ipi but kwenye kagarama ka usafiri hapo unalipia mwenyewe bossYes hizi za sindano ndio
TT ila sina hakika kama ni iridium, Kesho ukifika shop zicheki vizuri kama ni iridium. Nataka niagize nitakupa part number. Dodoma mnatuma??
Wewe utanitumia part no nione kama zipo nitakwambia mkuu na kama hazipo pia nitakwambia sinaYes hizi za sindano ndio
TT ila sina hakika kama ni iridium, Kesho ukifika shop zicheki vizuri kama ni iridium. Nataka niagize nitakupa part number. Dodoma mnatuma??
Pamoja sanaWewe utanitumia part no nione kama zipo nitakwambia mkuu na kama hazipo pia nitakwambia sina