Ulitaka asijaliwe nani Kwa wachezaji wa ndani
Peleka CV yako uwe coachhakukuwa na haja ya kufanya usajili wa ndani wa mtu kama mwenda.
kibwana shomari yupo na hatumiki.. why usajili mwenda
timu yenye malengo ya kutwaa ubingwa wa africa haiwezi msajili mtu kama mwenda
Huyo Kocha wenu anazidiwa uwezo wa kufundisha na mleta uzi.P
Peleka CV yako uwe coach
Nakuheshimu sana Mzee hebu acha kufananisha pilau na githeri [emoji1787]Acheni dharau ufupi wa beki hauna uhusiano wwte na ubora wake hata uko ulaya Kuna mabeki wengi tu wafupi na kazi wanapiga.
-Lisadro Martinez
-Jordi Alba
-A Cole
-Cucurela nk
Esperance na Al Ahyl wanacheza na Yanga kombe ganiHabari wadau
Mimi kama mwanayanga usajili wa israel mwenda umeniumiza sana.
Mwanzo wa msimu tulikuwa tunawaza kutwaa ubingwa wa africa. ila engineer katugeuka mapema sana
Engineer amebadilika kama zuwena
Nawaza wale wa Brazil wa Esperence kweli ndio wakakabwe na israel mwenda.
Nawazaa winga wa Al Ahly na kina Percy Tau ndio wakakabwe na Kibabage kweli?
Yao yao ni mfupi halafu bado unasajili watu wa kucheza namba yake wafupi kama yao yao tena.. halafu wenye kiwango kisichoendana na ligi ya mabingwa
amvimbie nani vile? Edit majina yao ufiche ujinga wako.Eti nwenda na kibabage wamvimbie aiyamn ashour na Al mouluda
Wachezaji wa ndani wa south africa wana uwezo mkubwa kuliko hata wachezaji wa kimataifa wanaosajiliwa hapa tanzania usifananishe kifo na usingizi.Al Ahly wametafuta sare kwa Orlando ikiwa na wachezaji wengi wa ndani hizi mambo za kuamini wachezaji wa Nje na wanakuja na viwango vya kawaida sio sawa huyu Mwenda ni beki mzuri akipata nafasi na akajiamini basi kinachowaferisha Watanzania wengi ni kutokujiamini na kutowaamini wengine basi..
Zimbwe jrNitajie beki mwenye kumkaribia ubora alionao bila kuchuja/kushuka kiwango kwa miaka mitano mfululizo! Kibwana shomari, majeraha yaliyomuweka nje kwa muda mrefu ndiyo yaliyosababisha kuporomoka kiwango chake. Ni mambo mawili tu kibwana anatakiwa kufanyiwa, eitha apewe muda,au akatafute malisho mengine. Yote kwa yote,mwenda ni beki mwenye kiwango bora na chenye mwendelezo. Karibu mwenda.