Habari wadau
Mimi kama mwanayanga usajili wa israel mwenda umeniumiza sana.
Mwanzo wa msimu tulikuwa tunawaza kutwaa ubingwa wa africa. ila engineer katugeuka mapema sana
Engineer amebadilika kama zuwena
Nawaza wale wa Brazil wa Esperence kweli ndio wakakabwe na israel mwenda.
Nawazaa winga wa Al Ahly na kina Percy Tau ndio wakakabwe na Kibabage kweli?
Yao yao ni mfupi halafu bado unasajili watu wa kucheza namba yake wafupi kama yao yao tena.. halafu wenye kiwango kisichoendana na ligi ya mabingwa