Engineer Hersi analeta utani, kweli Kibabage na Israel Mwenda ndio wakakabe mawinga wa Esperence wakiwa wanatafuta goli? Yanga tunatapeliwa na gsm

MELEKAHE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2023
Posts
1,340
Reaction score
5,588
Habari wadau

Mimi kama mwanayanga usajili wa israel mwenda umeniumiza sana.

Mwanzo wa msimu tulikuwa tunawaza kutwaa ubingwa wa africa. ila engineer katugeuka mapema sana

Engineer amebadilika kama zuwena

Nawaza wale wa Brazil wa Esperence kweli ndio wakakabwe na israel mwenda.

Nawazaa winga wa Al Ahly na kina Percy Tau ndio wakakabwe na Kibabage kweli?

Yao yao ni mfupi halafu bado unasajili watu wa kucheza namba yake wafupi kama yao yao tena.. halafu wenye kiwango kisichoendana na ligi ya mabingwa
 
Ulitaka asijaliwe nani Kwa wachezaji wa ndani

hakukuwa na haja ya kufanya usajili wa ndani wa mtu kama mwenda.

kibwana shomari yupo na hatumiki.. why usajili mwenda

timu yenye malengo ya kutwaa ubingwa wa africa haiwezi msajili mtu kama mwenda
 
P

Peleka CV yako uwe coach
 
Eti nwenda na kibabage wamvimbie aiyamn ashour na Al mouluda
 
Kimwenda kilivyo kifupi kama fridge ya aborder kikamkabe fundi wa muda wote el shahat au mkali wa tebazi yani sasse au mkali wa ini abu ali?

Engineer wa mchongo anatuzingua kama vp atuachie timu yetu.
 
Acheni dharau ufupi wa beki hauna uhusiano wwte na ubora wake hata uko ulaya Kuna mabeki wengi tu wafupi na kazi wanapiga.

-Lisadro Martinez
-Jordi Alba
-A Cole
-Cucurela nk
 
Habari wadau

Mimi kama mwanayanga usajili wa israel mwenda umeniumiza sana.

Mwanzo wa msimu tulikuwa tunawaza kutwaa ubingwa wa africa. ila engineer katugeuka mapema sana

Engineer amebadilika kama zuwena

Nawaza wale wa Brazil wa Esperence kweli ndio wakakabwe na israel mwenda.

Nawazaa winga wa Al Ahly na kina Percy Tau ndio wakakabwe na Kibabage kweli?

Yao yao ni mfupi halafu bado unasajili watu wa kucheza namba yake wafupi kama yao yao tena.. halafu wenye kiwango kisichoendana na ligi ya mabingwa
Esperance na Al Ahyl wanacheza na Yanga kombe gani
 
Daaaa acha reserve my comments.....muda utajibu yote
 
Al Ahly wametafuta sare kwa Orlando ikiwa na wachezaji wengi wa ndani hizi mambo za kuamini wachezaji wa Nje na wanakuja na viwango vya kawaida sio sawa huyu Mwenda ni beki mzuri akipata nafasi na akajiamini basi kinachowaferisha Watanzania wengi ni kutokujiamini na kutowaamini wengine basi..
 
Nitajie beki mwenye kumkaribia ubora alionao bila kuchuja/kushuka kiwango kwa miaka mitano mfululizo! Kibwana shomari, majeraha yaliyomuweka nje kwa muda mrefu ndiyo yaliyosababisha kuporomoka kiwango chake. Ni mambo mawili tu kibwana anatakiwa kufanyiwa, eitha apewe muda,au akatafute malisho mengine. Yote kwa yote,mwenda ni beki mwenye kiwango bora na chenye mwendelezo. Karibu mwenda.
 
Hao Mawinga wa Esperence na Al Ahly mtakutana nao wapi? Wakati leo mnasokomezwa mkiani zaidi game ya Dar mnasokomezwa nje ya mashindano kwa mwendo wa ngiri mkia juu kinyeo nje
 
Al Ahly wametafuta sare kwa Orlando ikiwa na wachezaji wengi wa ndani hizi mambo za kuamini wachezaji wa Nje na wanakuja na viwango vya kawaida sio sawa huyu Mwenda ni beki mzuri akipata nafasi na akajiamini basi kinachowaferisha Watanzania wengi ni kutokujiamini na kutowaamini wengine basi..
Wachezaji wa ndani wa south africa wana uwezo mkubwa kuliko hata wachezaji wa kimataifa wanaosajiliwa hapa tanzania usifananishe kifo na usingizi.

Tanzania hakuna kama
Teboho mokoena
Mofokeng
Kulisu mudau
Temba zwane
Ronwen williams
Mvala
Morena

Hao wote niliowataja unaweza kuwafananisha na
Mwenda
Kibu denis
Mzinze
Balua
Kibwana
Mwamnyeto

Ficha ujinga wako watu wasiuone

Are u sweet potato?
 
Nitajie beki mwenye kumkaribia ubora alionao bila kuchuja/kushuka kiwango kwa miaka mitano mfululizo! Kibwana shomari, majeraha yaliyomuweka nje kwa muda mrefu ndiyo yaliyosababisha kuporomoka kiwango chake. Ni mambo mawili tu kibwana anatakiwa kufanyiwa, eitha apewe muda,au akatafute malisho mengine. Yote kwa yote,mwenda ni beki mwenye kiwango bora na chenye mwendelezo. Karibu mwenda.
Zimbwe jr
Kapombe
 
Back
Top Bottom