English Medium mnawachosha watoto wetu.

English Medium mnawachosha watoto wetu.

Nia ya kuwafwata watoto mida mibovu ni kuficha ubovu wa magari yao ili traffic police wasiyaone na jambo lingine ni kuwa wawe huru kuwabananisha watoto wetu kwenye hizo bus zao kama viazi kwenye gunia kwa kuwa mida hiyo Traffic wanajiandaa kwenda barabarani
 
Ipo siku tutapata misiba watoto wame-suffocate
 
Huyo mtoto hadi akifika darasa la 4 kashachoka akili na mwili maana kuamka saa 10/11 alfajiri kila siku sio mchezo. Mtu mzima tu unachoka sembuse mtoto
Sema nini Mkuu hao Watoto wanaosoma hizo Shule wanakua na akili ya ziada ni wajanja sana, ni wabunifu sana alafu wapo straight kila siku wanapigwa home work ngumu ngumu wakafanye nyumbani kila wanaporudi kuondoka 11 asubuhi kurudi 11 jioni hapo ana home work za kutosha yaan akifika nyumbani sio kwamba anafika anakaa hapana anaanza kujiandaa upya Dada wa kazi ana kazi kwa hio atabrush viatu mtoto mwenyewe ataandaa nguo za shule mwenyewe mpaka saa 2 usiku kamaliza kila kitu akaoge ale akalale kesho tena saa 11 asubuhi yupo macho kwa Mimi sioni shida ni Jambo zuri linamjengea mtoto kua mchapakazi na sio mzeembe mzeembe japokua habebi kidumu mfagio
 
Sema nini Mkuu hao Watoto wanaosoma hizo Shule wanakua na akili ya ziada ni wajanja sana, ni wabunifu sana alafu wapo straight kila siku wanapigwa home work ngumu ngumu wakafanye nyumba kuondoka 11 kurudi 11 hapo ana home work za kutosha yaan akifika nyumbani sio kwamba anafika anakaa hapana anaanza kujiandaa upya Dada wa kazi ana kazi kwa hio atabrush viatu mtoto mwenyewe ataandaa nguo za shule mwenyewe mpaka saa 2 usiku kamaliza kila kitu akaoge ale akalale kesho tena saa 11 asubuhi yupo macho kwa Mimi sioni shida ni Jambo zuri linamjengea mtoto kua mchapakazi na sio mzeembe mzeembe japokua habebi kidumu mfagio
Ahh Kumbe! Ni sahihi mtoto kuamka asubuhi na kwenda kulala kwenye basi!?
 
Ipo siku tutapata misiba watoto wame-suffocate
Mbona tayari ajari ni nyingi zimeshatokea na pia tunawatesa watoto kwa sababu wapo katika stage ya kukua ubongo na mwili kwa ujumla ndio maana tunazaliwa tukiwa na stress na tunakufa nazo maana tuna mifumo isiyo rafiki na Afya zetu za akili.
Angalia China Kindagarten wenzetu wamesetiwa mafunzo vitendo mpaka mtoto anamiss shule akiwa likizo
 
Ahh Kumbe! Ni sahihi mtoto kuamka asubuhi na kwenda kulala kwenye basi!?
IPO hivi lengo si kwamba watoto wakalale kwenye Gari mtoto mpaka anaenda kusubiria Gari hana usingizi suala la kulala hata Wewe unaposafiri kutoka Dar kwenda Mwanza huwezi ukasafiri njia nzima Macho wazi kwa hio usikomliketi mambo
 
Nakubaliana na wewe ila jambo la kwamba mtoto awe kwenye usafiri saa 11 asubuhi, kiafya ni sawa!?
 
Nikwambie kitu hivyo unajua wale Watoto wana siku km sio 2 basi 1 imetengwa kwa ajili ya mazoezi tu unalijua hilo?
 
Una imani kuwa siku moja inatosha kujamiana na wenzake!? Socialization?!
 
Sema nini Mkuu hao Watoto wanaosoma hizo Shule wanakua na akili ya ziada ni wajanja sana, ni wabunifu sana alafu wapo straight kila siku wanapigwa home work ngumu ngumu wakafanye nyumbani kila wanaporudi kuondoka 11 asubuhi kurudi 11 jioni hapo ana home work za kutosha yaan akifika nyumbani sio kwamba anafika anakaa hapana anaanza kujiandaa upya Dada wa kazi ana kazi kwa hio atabrush viatu mtoto mwenyewe ataandaa nguo za shule mwenyewe mpaka saa 2 usiku kamaliza kila kitu akaoge ale akalale kesho tena saa 11 asubuhi yupo macho kwa Mimi sioni shida ni Jambo zuri linamjengea mtoto kua mchapakazi na sio mzeembe mzeembe japokua habebi kidumu mfagio
Hapo naona ni mateso tu kwa mtoto, hapati muda wa kupumzikq hata kuangalia cartoon arefresh mind.
 
IPO hivi lengo si kwamba watoto wakalale kwenye Gari mtoto mpaka anaenda kusubiria Gari hana usingizi suala la kulala hata Wewe unaposafiri kutoka Dar kwenda Mwanza huwezi ukasafiri njia nzima Macho wazi kwa hio usikomliketi mambo
Kwahiyo na watoto wana safiri kutoka dar kuenda mwanza? Mbono mfano wako hauna mantiki
 
Hivi ina make sense mtoto anaingia kwenye school bus saa 11 alfajiri kutoka Tabata kwenda Bunju analala mpaka shule?!
 
Mtoto kutoka tabata hadi Bunju ni takribani 45km kwa foreni za dar ni masaa 3, kuenda nakurudi 3, jumla masaa 6. Iko kwenye chombo cha usafiri ana tumia atakua amebakiza mda mchache wa kusomo, kula na kulala extra culcrrium activities hana mda, ndo madhara ya watoto wa siku hizi miaka 9 eti ana blood pressure, kisukali, stroke nk, mfumo wetu sio sahihi unamchosha mtoto kabla ya kukua.....sisi wazazi inatubidi tubadilike.
 
Kwahiyo na watoto wana safiri kutoka dar kuenda mwanza? Mbono mfano wako hauna mantiki
Hio Safari ya Dar-Mwanza nimetoa mfano TU kulala kwenye basi yoyote analala hata Wewe ukitoka Mbagara kwenda Kawe lazima upige usingizi kwenye Gari kabla hujakatisha Uhasibu
 
Hapo naona ni mateso tu kwa mtoto, hapati muda wa kupumzikq hata kuangalia cartoon arefresh mind.
Muda wa cartoon anapata akimaliza home work anakua na Muda mwingi tu kuanzia 12 mpaka saa 2 anakua free saa 3 kulala
 
Back
Top Bottom