Sema nini Mkuu hao Watoto wanaosoma hizo Shule wanakua na akili ya ziada ni wajanja sana, ni wabunifu sana alafu wapo straight kila siku wanapigwa home work ngumu ngumu wakafanye nyumbani kila wanaporudi kuondoka 11 asubuhi kurudi 11 jioni hapo ana home work za kutosha yaan akifika nyumbani sio kwamba anafika anakaa hapana anaanza kujiandaa upya Dada wa kazi ana kazi kwa hio atabrush viatu mtoto mwenyewe ataandaa nguo za shule mwenyewe mpaka saa 2 usiku kamaliza kila kitu akaoge ale akalale kesho tena saa 11 asubuhi yupo macho kwa Mimi sioni shida ni Jambo zuri linamjengea mtoto kua mchapakazi na sio mzeembe mzeembe japokua habebi kidumu mfagio