BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Nasomesha Englisha Medoum ila ukweli ni kwamba sijawaji zikubali hizi shule, Shule zimejaa janja janja nyingi sana kuliko kutoa elimu ni full hadaa na wanajua fika kucheza na akili za wazazi wajinga
Sijawaji amini kwamba kuna elimu bora kwenye shule za English medoum, kuna elimu ya kawaida sana na tofauti yake na shiule za Serikali mimi sioni kabisa ukitoa sisi kuwa Barainwashed.
Niliwahi sema humu Baadhi ya hizi shule huwa hazina mtoto wa mwisho yaani kama Darasa lina wanafunzi 40 huwezi ona mtoto wa 40, wanaishia namba 10 na na wanadaia wamefungana. Namba 1 unaweza kuta watoto 10 huu mchezo wazazi hawajaushitukia.
Ukiondoa kupanda Mabasi asubuhi hakuna kingine ambacho nakiona kwa hizi shule. Wengi wanapondea shule za Serikali kwenda na Mifahia na vidumu vya maji ila ni sehemu ya kufundisha watoto na sio adhabu. Ni wazazi wajinga ndio wanao na mtoto kubeba fahioa kwrnda nao shule ni adhabu au ushamba.
Watoto wanakuwa legelege sana, mtoto wa shule ya Serikali anaweza panda Daladala na akenda shule mwenyewe umbali wa km 15 hapa ni mtoto mdogo darasa la 3, hii mtoto wa English medium hawezi, ni sawa na kuku wa Broiler tu. Matoto yanakuwa legelege tu.Basi la shule likiharibika hakuna kwenda shule.
English medium zimejaa janja janja sana, kuanzia kutoa elimu na hadi michango yao ya kihuni. Hakuna Englisha ya maana inafundishwa pale,watoto wanatoka pale wako kawaida sana hakuna maajabu pale.
Kucheza na akili za Wazazi na ziara zao za kwenda vijwana vya ndege kupigisha watoto picha kule ni full ujinga.Wanakuambia ziara za mafunzo, mtoto yuko Baby class anatakiwa atoe sh 50,000 ya ziara ya mafunzo.
Unatoa 50,000/ wanawanunulia watoto chips kavu, biskut na juice za azam, hapo 50,000/ imakata na ni ziara ya ndani ya mkoa. Mtoto anarudi nyumbani full njaaa ukiuliza mtoto anakuambia walitupatia juice, chips na biscut tu.