kikubwa ni lugha.huko za kayumba hakuna Cha elimu au hiyo lugha.Maarifa mengi hapo kwenye lugha za kimataifa ikiwemo hicho kiingereza ambacho mwanafunzi wa kayumba ni kama ardhi na mbingu kukimuduSasa kinachofuatwa ni hiyo lugha au elimu?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kikubwa ni lugha.huko za kayumba hakuna Cha elimu au hiyo lugha.Maarifa mengi hapo kwenye lugha za kimataifa ikiwemo hicho kiingereza ambacho mwanafunzi wa kayumba ni kama ardhi na mbingu kukimuduSasa kinachofuatwa ni hiyo lugha au elimu?!
Unaweza kueleza jinsi nyama ni bora kuliko maharage. kwa nini samaki isiwe bora ila myama ? Kwa nini mayai yasiwe bora ?Its a battle between spending money vs saving money kuna jamaa angu moja anapinga sanaa kununua mbonga ya Nyama anasema ni hatari kwa afya ya binaadamu yeye kwake ni mboga za majani na dagaa tu........eti haoni tofauti kati ya mboga ya nyama na maharage.
Swala sio pesa, ila unaona kabisa unapoteza pesa, bora uspend theb uone hapa kuna kitu, mara 100 hata nikope nisomeshe International school ijulikane naspendi kwa haki.Its a battle between spending money vs saving money kuna jamaa angu moja anapinga sanaa kununua mbonga ya Nyama anasema ni hatari kwa afya ya binaadamu yeye kwake ni mboga za majani na dagaa tu........eti haoni tofauti kati ya mboga ya nyama na maharage.
Hakuna lugha pale, kaa na mtoto wako alie maliza standar seven mpe dictations au mchalange uonekikubwa ni lugha.huko za kayumba hakuna Cha elimu au hiyo lugha.Maarifa mengi hapo kwenye lugha za kimataifa ikiwemo hicho kiingereza ambacho mwanafunzi wa kayumba ni kama ardhi na mbingu kukimudu
Hizi english medium zimejaa sanaa, shida sio kwamba sina pesa za kulipia ila naona kabisa fika hakuna value for money zaidi ya sanaaKwa mfano, Shule ya Msingi ya Chang'ombe inaburuzwa na kayumba Mgulani
Ni kweli mkuu. Nyama hsina loloteIts a battle between spending money vs saving money kuna jamaa angu moja anapinga sanaa kununua mbonga ya Nyama anasema ni hatari kwa afya ya binaadamu yeye kwake ni mboga za majani na dagaa tu........eti haoni tofauti kati ya mboga ya nyama na maharage.
Wapi wana ajiri kwa sababu una mudu kingereza ? Wapi huko wanaojua kingereza wana upendeleo maalumu au ni tabia tu iliojizukia kuhusudu kingereza wakati matumizi yake ni madogo sana hapa nchini. Ukiondoa huko mashuleni wapi utendaji wao unapimwa kwa kingere,a ?English medium zinajitahidi kuliko hizi za kayumba hasa lugha ya kiingereza watoto wanakuwa na uwezo wa kukimudu Kwa ufasaha tofauti na WA kayumba.Ingekuwa shule za serikali zinatumika kiingereza kufundishia hapo ilikuwa sawa maana mfumo wa elimu yetu umetatizwa na kutokutimia lugha za kimataifa.Mwanasiasa anayekuhamasisha usomeshe mwanao kwenye hizi kayumba yeye mwanae anampeleka international schools Kama ist,isi,ism n.k.kama unakipato Cha afadhali jitahidi angalau mwanao asomekwenye hizi medium zinasaidia sana Kwa upande wa kumudu lugha.Zinapunguza matumizi mengi ya ze,ze,ze Kwa watanzania
Sikiliza swala sio uwezo, swala ni hakuna kitu pale, swala sio uwezo mimi nalipaga ada ya mwaka mzima, ila hakuna maajabu pale.Live within your means. Mambo ya kutaka English Medium huku uwezo ni Kayumba ni kujitafutia matatizo yasiyo ya lazima.
Nitampeleka ya juu zaidi ila huko ni sanaa hakuna elimu, shida mmeaminishwaUsilazimishe hujashikiwa kiboko.....acha kulalamika.....mtoe mtoto wako huko peleka kayumba kimya.....period
hakuna kingereza pale mkuu, nazani hukai na watoto wako ukawafanhia assesmentTunasomesha kule watoto ili wajue kingereza, lugha ya kimataifa
Kabisa na ndio shida inaanzia hapo, Ila ukweli hakuna elimu kama elimu English medium hakuna cha utafauti mtoto anatoka nacho pale.Tatizo watz wengi ni kudhani kuwa kujua English ndo kuelimika.
Kila mtu Yuko huru kusomesha anakopna kunafaa.kuna mwingine atapeleka international,medium mwingine hizo zenu za kayumba ambazo vibaka wengi hutokea hukoHakuna lugha pale, kaa na mtoto wako alie maliza standar seven mpe dictations au mchalange uone
sio kampeni naongea fact, mmeaminishwa sana, ila ipo siku mtaelewaMake Kayumba School Great Again Campaign
Ukiwa na akili unazo tu na bahati mabay elewa kwamba shuleni watoto wananda na akili zao na pale ni kufanya zile akilo zao zifikiria au kuthink, Ukiwa na akili hata ukisomea chini, tumesoma shule za msingi hazina madawati ila tulitoka.Kayumba hizi hizi amba dawati moja wanakaa watoto 8?
Tembeleeni hata madarasa myaone yalivyochakaa, hii itakufanya uwe na uamuzi sahihi wa wapi umpeleke mwanao.
Hali ngumu sana!
Hizo ni Internatiinal school sio English medium usijifariji, English medium ni local schools tu.Unajua ukisema English Medium inajumuisha International School Moshi, na nyinginezo maarufu!
Una akili wewe? Kweli?????
Huuo wa kwako anaue soma English medoum ikotoa ile kupanda basi anabaki na nini cha kushow? UsijifarijiHao hawajui wanacho ongelea neendeni vkjijini mjionee hizo shule zakayumba, shule ya watoto 800 ina waalimu watatu matundu ya choo mawili madawati ni tofari za majengo very poor learning environment kama kweli una huruma na mwanao mtafutie shule ya private.
Mfumo wa elimu umechezwa sana, utapeli umeachwa uingie kwenye elimu, watu tunapigwa na tunajifariji. Kuna utapeli mkubwa sana kwenye elimu.Kuna ukweli.
Serikali inapaswa kulaumiwa kwa kuacha mfumo wa elimu uchezewe na Watu wabinafsi kwa manufaa binafsi huku Taifa likieama kama Chadema ya Mbowe.
Wabongo wanafuata Lugha na Lugha yenyewe ipo basi? kwenye elimu ni sawa na kayumba tu, sasa tunafuata Lugha.Sasa kinachofuatwa ni hiyo lugha au elimu?!
Tatizo umejifungia.serikali haiwezi kuajiri watu wote.Kujua lugha ya kiingereza inampa fursa kubwa mwanafunzi kuanzia kibiashara au hata kisiasa.lugha ya kimataifa utaenda Nchi yeyote na ikawa rahisi kwako kunufaika tofauti na wewe na kiswahili chako labda ujikite kuwa chawa hapa nyumbani ili upate teuzi tofauti na hapo soko la ajira litakuwa linakupita tuNi kweli mkuu. Nyama hsina lolote
Wapi wana ajiri kwa sababu una mudu kingereza ? Wapi huko wanaojua kingereza wana upendeleo maalumu au ni tabia tu iliojizukia kuhusudu kingereza wakati matumizi yake ni madogo sana hapa nchini. Ukiondoa huko mashuleni wapi utendaji wao unapimwa kwa kingere,a ?