bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,337
- 2,339
Ana wapangaji wapangaji huyo mwilini mwake, wasiopatana na udichumbani kwangu UDI ni mahala pake... Ila cha ajabu niliingia Na mpenz akasema ooh harufu inampa kizunguzungu, Mara anajihis kuzimia Mara ooh anajihis kubanwa pumzi.... Ikabidi aondoke, MSAADA TAFADHALI mana mi natumiaga tu sijui zina athari kwa wengine
Duh kaz ipo!Ana wapangaji wapangaji huyo mwilini mwake, wasiopatana na udi
Asante mkuu. Najua inabidi kale ka 'ingredient' muhimu sana ka "imani" kawepo pia.
Serious?Ana wapangaji wapangaji huyo mwilini mwake, wasiopatana na udi
Hapana,Duu ila huugui?
Mmh itakua mm kichwa ngumu bado sjakusoma kabisa umemanisha nini hemu naomba unifafanulie kidgTatizo sio udi tatizo ni harufu yake
Udi usio na harufu ni sawa na makapi tuu... Harufu ile ndani ya yale makapi ikichomwa na kutoa moshi, moshi ule wenye harufu ndio huvutia nguvu za giza kusogea moshi ulikoMmh itakua mm kichwa ngumu bado sjakusoma kabisa umemanisha nini hemu naomba unifafanulie kidg
Kwaiyo hata mke wangu akichoma kwa lengo la harufu mzur inavutia hizo nguvu za giza ??Udi usio na harufu ni sawa na makapi tuu... Harufu ile ndani ya yale makapi ikichomwa na kutoa moshi, moshi ule wenye harufu ndio huvutia nguvu za giza kusogea moshi uliko
Ouk ......nimekusoma mkuu ila kuna uzi nimetoa kwamba jana nilipanda daladala moja na wewe hemu toa uthibitisho kidgNdio lakini kwa degree tofauti
Hayo Mapepo Wanaokuja Baada Ya Uchomaji Wa UDI Ni Mapepo Wazur Au Wabaya Je Unaweza Kuwaamlisha Kufanya Chochote Na Wanakafanya....?Ndio lakini kwa degree tofauti
That means UDI is for good things and UVUMBA for bad things according to your explanation.Ukimkosa kwa UDI utampata kwa uvumba yani maana yake ni kwa mbinu zote halali na haramu