Enock Inonga Baka ni Mkongomani pekee anayecheza Tanzania aliyeitwa kwenda AFCON

Kwa hiyo ndo kusema SIMBA ni bora kuliko CONGO au??😁😁
 
Lomalisa alikuwa mchezaji wa kutegemewa DR Congo walipochukua kombe la Chan 2016.
Unajua maana ya CHAN lakini?si ni vishindano ambavyo wanacheza wachezaji wanaojitafuta au wanaelekea kustaafu wamejirudisha home [emoji23][emoji23][emoji23] kama kina nyosso,shaban nditi
 
Najua Inongwa ameleta makombe Korokoroni sivyo!
 
Ivory coast hawajatoa majina rasmi,hiyo takataka yako haiwezi pata namba pale
Ndo utulize makalio Sasa, nimekwambia leta list ya wachezaji wa simba walioitwa timu zao za taifa hapa ili mshangilie vizuri kuitwa kwa inonga!
 
Umesema kweli kaka na laiti inonga angekuwepo kwenye ile mechi ya derby tusingefungwa 5 na YANGA
 
Max hafanani na okra kwasababu huyo max alitufunga mbili sasa hapo dada tunawafananishaje watu hawa?
 
Limalisa ana kombe na medali ya gold ya Africa .
Baka Hana chochote Mpaka sasahivi .

Percy Tau mwenyewe anamuheshimu lomalisa .
 

Attachments

  • A82E50F5-9D58-49E6-A78B-710F7FDAD304.jpeg
    78.8 KB · Views: 1
Umesema kweli kaka na laiti inonga angekuwepo kwenye ile mechi ya derby tusingefungwa 5 na YANGA

Hakuna maajabu yoyote kwenye swala la team kubwa kufungwa na team ndogo, ni wasiojua mpira pekee ndio ambao watalibebelea hilo kama maajabu. Hata hivyo, kama wapo watu wa aina hiyo (wasiojua mpira) ninawashauri wajikite kwenye sekta nyingine kama vile udaku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…