Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha dah, CHAN wanacheza local players,INONGA hawezi cheza CHAN,Kumbe unazungumzia CHAN!?
CHAN hata Mapinduzi Balama anaweza kucheza.
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Unajua maana ya CHAN lakini?si ni vishindano ambavyo wanacheza wachezaji wanaojitafuta au wanaelekea kustaafu wamejirudisha home [emoji23][emoji23][emoji23] kama kina nyosso,shaban nditiLomalisa alikuwa mchezaji wa kutegemewa DR Congo walipochukua kombe la Chan 2016.
Cc Aden Rage.View attachment 2854943
Ni kawaida sana team kubwa kufungwa na team ndogo, Simba Sc kama Bayern tu.
Najua Inongwa ameleta makombe Korokoroni sivyo!Ukiachana na yote, jamaa wana players wengi ambao wapi kwenye ligi za ulaya.
Sasa kama hapo, Nzengeli ataingia kwa kipi, mbio zake? Lomalisa alivyo kichochoro namna ile atamtoa na ili akae yeye? Moroko nae alichonacho ni mbio zisizo na uelekeo kama kuku aliyekatwa kicha kisha akaachiwa.
Inonga ni beki haswa, kila mmoja analijua hilo unless mtu abishe kwa ujinga wake tu.
Kazi yake kule ninkiwakatikia wenzake vibuno wakati wamepumzika.Kambini humuita Kiumo bila mfupa.Inajulikana tu inonga ataenda kuwa muokotaji mipira......akiingia kucheza njoo geto unidai pesa
Simba kama Banyan? Ndo timu gan hiyo?Hahaaaaa umeniwahi kwa hii comment. Wazee wa kujitafutizia furaha hao.
Ndo utulize makalio Sasa, nimekwambia leta list ya wachezaji wa simba walioitwa timu zao za taifa hapa ili mshangilie vizuri kuitwa kwa inonga!Ivory coast hawajatoa majina rasmi,hiyo takataka yako haiwezi pata namba pale
Umesema kweli kaka na laiti inonga angekuwepo kwenye ile mechi ya derby tusingefungwa 5 na YANGAUkiachana na yote, jamaa wana players wengi ambao wapi kwenye ligi za ulaya.
Sasa kama hapo, Nzengeli ataingia kwa kipi, mbio zake? Lomalisa alivyo kichochoro namna ile atamtoa na ili akae yeye? Moroko nae alichonacho ni mbio zisizo na uelekeo kama kuku aliyekatwa kicha kisha akaachiwa.
Inonga ni beki haswa, kila mmoja analijua hilo unless mtu abishe kwa ujinga wake tu.
Max hafanani na okra kwasababu huyo max alitufunga mbili sasa hapo dada tunawafananishaje watu hawa?Okrah alimfunga Diarra lakini haikufanya mashabiki wa Simba waridhike na kiwango chake.
Wakati sisi tunajikita kum rate mchezaji kwa consistency performance, wenzetu mnam-praise mchezaji kwa kuifunga Simba.
Hiyo ndio tofauti ya maturity ya kisoka kati ya nyie na sisi.
Ushawahi kupigwa 5 kitandani?Wakibisha hao ni vyura..
a.k.a malimbukeni wa bao 5
Ndio umeandika nini hapa?Simba kama Banyan? Ndo timu gan hiyo?
Weka hapa mechi tatu alizo anza
Tangu mnara wa [emoji2393] G ufungwe pale msimbazi akili zimewarukamnara wa 5 g unawatesa sana makolo.
Alafu zikiwekwa utafanya nini?Weka hapa mechi tatu alizo anza
Umesema kweli kaka na laiti inonga angekuwepo kwenye ile mechi ya derby tusingefungwa 5 na YANGA