onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,113
NakaziaNa uzuri unachangiamo.
Sawa Ed ana sura personal sana ya kizungu plus na zile nywele.
Kama Shivo.
Hapana kwa kweli.
My yes to Enrique.
Mana wote wana sauti nzuri, mashairi mazuri.
Enrique ana swags halafu.
Ed mzungu wa Mashariki ya Mbali mno banaaa.
Kwamba tushirikiane kumuua Ed wa watu?Nakazia
Huo wimbo ulinipa mke buashee, maana nilikua nafanya kumuimbia kabisa, demu akaona huyu sio ndio hero mwenyewe, nikaweka ndani mazima mpaka leo ni my wife wangu na tuna watoto wawili
Waoh!!Yes ndugu, Mungu amenijalia sauri nzuri ya kuimba, sasa huyu mama nilikua nampenda na nilijua udhaifu wake alikua anapenda sana soft songs, nikajisogeza karibu, siku moja ilikua birthday yake nikamwomba twende out, hapo alikua ananizungusha bado mara staki nataka, nikasema ngoja nijitose tu liwalo na liwe, baada ya dinner nikamwambia nina zawadi yako ya birthday, halafu nikashusha hilo songi, demu mpaka mavhozi yakamtoka, basi kuanzia hiyo siku nikaanza kula kimasikhara, akikasirika tu namwimbia anatulia mpaka leo ni lovely wife with beautful kids bro
Naunga mkonoJapo ni mwanamuziki wa nyakati mbili tofauti, Enrique is β€
Nqa uzuri unachangiamo.
Ed ana sura personal sana ya kizungu plus na zile nywele.
Kama Shivo.
Hapana kwa kweli.
My yes to Enrique.
Mana wote wana sauti nzuri, mashairi mazuri.
Enrique pamoja na Umri kwenda ana swags (runs in the family naona.babake alikuwa anasumbua na yeye)
Ed mzungu wa Mashariki ya Mbali mno banaaa.
Hahahhahahahaha kwamba nimewakilisha mawazo ya kina Eva wengi.Naunga mkono
Hivi majuzi alikasirika, sikua na lugha ya kuomba msamaha mkuu maana kosa nililomfanyia halisameheli kirahisi, nilivorudi kutoka job nikamkuta amelala analia tu, nikaenda kuoga kwanza halafu nikapiga msosi, nikaingia chumbani nikakuta amelala sasa sijui kama alikua amelala au anajifanyisha, nikaanza kuimba ule wimbo wa boyzone "Baby can i hold you tonigh" baada muda nikaona anasmile halafu nikamwambia am sorry, akajisemesha hapo kalalamika na vilio vingi nikambembeleza yakaishaBado unamwimbia?
Karibu Yna2Waoh!!
Enrique is something menJapo ni mwanamuziki wa nyakati mbili tofauti, Enrique is [emoji173]
Nqa uzuri unachangiamo.
Ed ana sura personal sana ya kizungu plus na zile nywele.
Kama Shivo.
Hapana kwa kweli.
My yes to Enrique.
Mana wote wana sauti nzuri, mashairi mazuri.
Enrique pamoja na Umri kwenda ana swags (runs in the family naona.babake alikuwa anasumbua na yeye)
Ed mzungu wa Mashariki ya Mbali mno banaaa.
Jamani..jamani.. Enrique ππ acheni bwana..wa juu anasura ya watu wa zamaniπKwamba sisi wadada tuchague nani mwanamuziki mzuri kati ya hawa wawili.
Kuna kitu mnatutafuta.
Tumuue tuKwamba tushirikiane kumuua Ed wa watu?
Bado mbichi kabisa yule,bonge la bwana[emoji1787][emoji1787]Hahahhahahahaha kwamba nimewakilisha mawazo ya kina Eva wengi.
Enrique issa snack aseeh.
He is
Af hata hajazeeka
Hivi kati ya Enrique Iglesias na Ed Sheeran nani zaidi kwenye mziki(hasa hits na sauti)
Unamaanisha Homo Sapiens?Jamani..jamani.. Enrique ππ acheni bwana..wa juu anasura ya watu wa zamaniπ
NdiwoooooooooooBado mbichi kabisa yule,bonge la bwana[emoji1787][emoji1787]
HahahahhahahhahahaKuna mwanaume anaweza akawa amekukosea..ila akikuangalia tu na kuanza kuongea..wallah utajikuta wewe ndiyo waomba msamaha sasa bado hajaanza kukuimbia..uwiii!!..mnyevuko na vichururuuuπ...mwanaume mfano wa Enrique unamkaziaje kwa mfano..!!!ππππππ