onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,113
Kwa enrique kuwa tu fwalaHahahahhahahhahaha
Nacheka huku kama fwaaaala
Tunaangalia vyote bhana kwann hits na sauti tu[emoji2][emoji2]Sa unaongopaje wallahi.
Kuna these eyes hakyamama.
Ziko na piercing feelings flaaaaan hivi.
Weeee, walisema tuangalie hits na sauti.
Best kwako mwenyeweAm not blowing my own horn or anything [emoji28] but am the best ...
Nakazia mkuuEnrique Iglesia ni legend!
Huyu Ed Sheeran ashindane na watoto kama Khalid na Shawn Mendez!
Hongera wengine tuna sauti ya zege tukiimba bora kuongeaYes ndugu, Mungu amenijalia sauri nzuri ya kuimba, sasa huyu mama nilikua nampenda na nilijua udhaifu wake alikua anapenda sana soft songs, nikajisogeza karibu, siku moja ilikua birthday yake nikamwomba twende out, hapo alikua ananizungusha bado mara staki nataka, nikasema ngoja nijitose tu liwalo na liwe, baada ya dinner nikamwambia nina zawadi yako ya birthday, halafu nikashusha hilo songi, demu mpaka mavhozi yakamtoka, basi kuanzia hiyo siku nikaanza kula kimasikhara, akikasirika tu namwimbia anatulia mpaka leo ni lovely wife with beautful kids bro
La pili ndo jibuππBado unamuimbia?
Au ulikua utoto
Suati ya 7 kama yanguHongera wengine tuna sauti ya zege tukiimba bora kuongea
This dude is yummie tu jamani watuache kidogoKwa enrique kuwa tu fwala
So yummieThis dude is yummie tu jamani watuache kidogo
Na mie nasura kama ya Enrique π₯ΈJamani..jamani.. Enrique ππ acheni bwana..wa juu anasura ya watu wa zamaniπ
Umeongea ukweli mtupu.. tena umetoka moyoni.. sura beberu acha wapambane na hali zao π₯ΈKuna mwanaume anaweza akawa amekukosea..ila akikuangalia tu na kuanza kuongea..wallah utajikuta wewe ndiyo waomba msamaha sasa bado hajaanza kukuimbia..uwiii!!..mnyevuko na vichururuuuπ...mwanaume mfano wa Enrique unamkaziaje kwa mfano..!!!ππππππ
ππππ Unajipigia pande au siyoNa mie nasura kama ya Enrique π₯Έ
,ππππππππUmeongea ukweli mtupu.. tena umetoka moyoni.. sura beberu acha wapambane na hali zao π₯Έ
Ebu sikia haka kidogo.. ukiniona tu unaweza jikuta mlowo huo βΊβΊππππ Unajipigia pande au siyo
Na hii kidogo.. hapa leo nalala na hit songs zake,ππππππππ
,ππππππππ
Ebu sikia haka kidogo.. ukiniona tu unaweza jikuta mlowo huo βΊβΊ
View attachment 1648190
Ngoja nizisikize..na ka weekend kalivyo katam Sasaπ
Safi sana.. hapa sijutii kupitia huu uzi wa Twin wangu Enrique π₯Έπ₯ΈNgoja nizisikize..na ka weekend kalivyo katam Sasaπ
Embu nione kapicha kama Kweli ni twin wa enriqueπ