Enyi Manabii wa kizazi kipya ni kweli mmepewa nguvu na Mwenyezi Mungu, au ni ushirikina tu?

Enyi Manabii wa kizazi kipya ni kweli mmepewa nguvu na Mwenyezi Mungu, au ni ushirikina tu?

Uthibitisho unapatikana kwa logical consistency.

Mtu anakwambia kuna Mungu, mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, lakini Mungu huyo, aliyeweza kuumba ulimwengu usioruhusu mabaya by fiat, kwa neno tu, bila gharama yoyote, hakuumba ulimwengu huo ambao mabaya hayawezekani, kaumba ulimwengu huu ambao mabaya yanawezekana.

Hapo tunaona contradiction, ambayo tukiichimba sana inatupa hitimisho kwamba Mungu huyu hayupo na hawezi kuwapo, ni muhusika wa hadithi z akutungwa na watu tu.
. Logical constency! , kivipi?

. Je ukiachana kuwa mungu hayupo hapa duniani, je, hizo natural laws zimekujaje bila ya usaidizi wote wa kinguvu kwenye uundaji wake?

. Kama mungu hayupo sisi binadamu tulitengenezwa vipi? ( au na sisi tupo ki natural laws kama unavyo sema)?
 
Wewe umetoka wapi?
Mimi ni nini kwanza?

Baiolojia ya mwili wangu imeanzia kwa wazazi wangu na kuchangiwa na lishe yangu.

Saikolojia ya mawazo yangu imeanzia kwa wazazi wangu na kuendelea kwa niliyojifunza maishani.

Kwa nini swali hili ni muhimu katika mazungumzo haya?
 
Unafanya nini duniani?
 
. Logical constency! , kivipi?

. Je ukiachana kuwa mungu hayupo hapa duniani, je, hizo natural laws zimekujaje bila ya usaidizi wote wa kinguvu kwenye uundaji wake?

. Kama mungu hayupo sisi binadamu tulitengenezwa vipi? ( au na sisi tupo ki natural laws kama unavyo sema)?
1. Logical consistency kwa maana ya kuwepo kwa mantiki isiyojikanganya wala kupingika kwa kuonekana ina uongo. Kwa mfano, tukijua kuwa square root ya 2 ni Lazima iwe ndogo kuliko 2, ukiPewa jibu lolote lililo kubwa kuliko 2 kama square root ya 2, jibu hilo litakosa logical consistency na kanuni hiyo ya kwamba square root ya 2 ni kazima iwe ndogo kuliko 2.

2. Natural laws si Lazima zihitaji usaidizi wowote, kwa sababu tushaona kuwa, kwa mfano wa Quantum Causal Loop, natural laws zinaweza kuwa self sustaining in a cyclical way, 1 isababishe 2, na 2 ambayo imesababishwa na 1, iwe sababu ikiyofanya 1 kuwepo. Katika mfumo huo, ulimwengu hauhjtaji mwanzo, na natural laws hazihitajibkuqa na mwanzo, zinaweza juwa zimekuwapo katika mifumo mbalimbali bila yabkuwa na nwanzo.

3. Sisi ni byproduct ya natural laws tu.
 
Yaani umezaliwa ili?
Nimezaliwa ili wazazi wangu wawe na mtoto, walipenda kuendeleza kizazi.

Ili wawe na mrithi. Ili wasiwe wapweke.Ili watimize saikolojia ya mategemeo ya jamii ya kuwa watu wanatakiwa kuwa na watoto.

Kama swali lako ni "What is your purpose?"

Mimi mtu ambaye sikubali uwepo wa Mungu sikubali kwamba kuna sababu maalum (kama swali lako ni purpose) ya watu kuzaliwa, kwa muktadha wa "purpose". Ila, watu wakishazaliwa, wao wenyewe ndio wanaweza kuyapa maisha yao purpose.

Na mimi nina purpose niliyojipa mwenyewe ,sijazaliwa ili nifanye hivi, haya ni mambo niliyojipangia mwenyewe baada ya kuzaliwa.

Ningependa kupunguza ujinga, umasikini, maradhi, maumivu kwa jamii yangu na dunia.

Nimeanza kwa kumsomesha daktari mpaka akahitimu huko Tanzania, nchi ambayo mara ya mwisho nilivyoangalia daktari mmoja alikuwa anahudumia watu 20,000. Sasa kasoma zaidi na kuanzisha kituo cha afya, anasaidia watu wengi sana. Kwa kupitia mwanzo wa kusomeshwa nami, amefikia kusaidia watu wengi zaidi.

Nimesaidia watu kuanzisha biashara na kuweza kupata biashara za kujikimu wenyewe.

Natumia muda mwingi hapa JF kujadiliana kuhusu mambo ya kifalsafa yanayosaidia kuleta mwanga na kuondoa giza la superstition.
 
Nimezaliwa ili wazazi wangu wawe na mtoto, walipenda kuendeleza kizazi.

Ili wawe na mrithi. Ili wasiwe wapweke.Ili watimize saikolojia ya mategemeo ya jamii ya kuwa watu wanatakiwa kuwa na watoto.

Kama swali lako ni "What is your purpose?"

Mimi mtu ambaye sikubali uwepo wa Mungu sikubali kwamba kuna sababu maalum (kama swali lako ni purpose) ya watu kuzaliwa, kwa muktadha wa "purpose". Ila, watu wakishazaliwa, wao wenyewe ndio wanaweza kuyapa maisha yao purpose.

Na mimi nina purpose niliyojipa mwenyewe ,sijazaliwa ili nifanye hivi, haya ni mambo niliyojipangia mwenyewe baada ya kuzaliwa.

Ningepend akupunguza ujinga, umasikini, maradhi, maumivu kwa jamii yangu na dunia.

Nimeanza kwa kumsomesha daktari mpaka akahitimu huko Tanzania, nchi ambayo mara ya mwisho nilivyoangalia daktari mmoja alikuwa anahudumia watu 20,000.

Nimesaidia watu kuanzisha biashara na kuweza kupata biashara za kujikimu wenyewe.

Natumia muda mwingi hapa JF kujadiliana kuhusu mambo ya kifalsafa yanayosaidia kuleta mwanga na kuondoa giza la superstition.
Safi mkuu..

Natumai unaelewa kingereza?
 
Mark this day brother..pia nakubali kwa sababu wewe siyo mtu wa dini wala madhehebu..upo sahihi kabisa kwasababu unaenda kuelewa kila kitu.
This is neither here nor there.

Kuelewa kila kitu kutanifanya niwe Mungu, na mimi siamini katika kuwapo Mungu.

Natural laws zinakataza kuelewa kila kitu.

Heisenberg's Uncertainty Principle. Double Helix Experiment. Spooky Action At a Distance. Quantum Entanglement. Quantum Causal Loop.
 
Back
Top Bottom