Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Wee yametoka wap? Swali halijakaa sawa, hebu liweke sawa kwanza.Wewe yametoka wap?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee yametoka wap? Swali halijakaa sawa, hebu liweke sawa kwanza.Wewe yametoka wap?
Wewe umetoka wapi?Wee yametoka wap? Swali halijakaa sawa, hebu liweke sawa kwanza.
. Logical constency! , kivipi?Uthibitisho unapatikana kwa logical consistency.
Mtu anakwambia kuna Mungu, mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, lakini Mungu huyo, aliyeweza kuumba ulimwengu usioruhusu mabaya by fiat, kwa neno tu, bila gharama yoyote, hakuumba ulimwengu huo ambao mabaya hayawezekani, kaumba ulimwengu huu ambao mabaya yanawezekana.
Hapo tunaona contradiction, ambayo tukiichimba sana inatupa hitimisho kwamba Mungu huyu hayupo na hawezi kuwapo, ni muhusika wa hadithi z akutungwa na watu tu.
Mimi ni nini kwanza?Wewe umetoka wapi?
Unafanya nini duniani?Mimi ni nini kwanza?
Baiolojia ya mwili wangu imeanzia kwa wazazi wangu na kuchangiwa na lishe yangu.
Saikolojia ya mawazo yangu imeanzia kwa wazazi wangu na kuendelea kwa niliyojifunza maishani.
Kwa nini swali hili ni muhimu katika mazungumzo haya?
1. Logical consistency kwa maana ya kuwepo kwa mantiki isiyojikanganya wala kupingika kwa kuonekana ina uongo. Kwa mfano, tukijua kuwa square root ya 2 ni Lazima iwe ndogo kuliko 2, ukiPewa jibu lolote lililo kubwa kuliko 2 kama square root ya 2, jibu hilo litakosa logical consistency na kanuni hiyo ya kwamba square root ya 2 ni kazima iwe ndogo kuliko 2.. Logical constency! , kivipi?
. Je ukiachana kuwa mungu hayupo hapa duniani, je, hizo natural laws zimekujaje bila ya usaidizi wote wa kinguvu kwenye uundaji wake?
. Kama mungu hayupo sisi binadamu tulitengenezwa vipi? ( au na sisi tupo ki natural laws kama unavyo sema)?
Unamaanisha nini unapouliza ninafanya nini?Unafanya nini duniani?
Yaani umezaliwa ili?Unamaanisha nini unapouliza ninafanya nini?
Nimezaliwa ili wazazi wangu wawe na mtoto, walipenda kuendeleza kizazi.Yaani umezaliwa ili?
Safi mkuu..Nimezaliwa ili wazazi wangu wawe na mtoto, walipenda kuendeleza kizazi.
Ili wawe na mrithi. Ili wasiwe wapweke.Ili watimize saikolojia ya mategemeo ya jamii ya kuwa watu wanatakiwa kuwa na watoto.
Kama swali lako ni "What is your purpose?"
Mimi mtu ambaye sikubali uwepo wa Mungu sikubali kwamba kuna sababu maalum (kama swali lako ni purpose) ya watu kuzaliwa, kwa muktadha wa "purpose". Ila, watu wakishazaliwa, wao wenyewe ndio wanaweza kuyapa maisha yao purpose.
Na mimi nina purpose niliyojipa mwenyewe ,sijazaliwa ili nifanye hivi, haya ni mambo niliyojipangia mwenyewe baada ya kuzaliwa.
Ningepend akupunguza ujinga, umasikini, maradhi, maumivu kwa jamii yangu na dunia.
Nimeanza kwa kumsomesha daktari mpaka akahitimu huko Tanzania, nchi ambayo mara ya mwisho nilivyoangalia daktari mmoja alikuwa anahudumia watu 20,000.
Nimesaidia watu kuanzisha biashara na kuweza kupata biashara za kujikimu wenyewe.
Natumia muda mwingi hapa JF kujadiliana kuhusu mambo ya kifalsafa yanayosaidia kuleta mwanga na kuondoa giza la superstition.
Kiingereza nakielewa cha kujifunza ukubwani.Safi mkuu..
Natumai unaelewa kingereza?
Siyo mbaya,naamini utaelewa nachotaka uelewe.Kiingereza nakielewa cha kujifunza ukubwani.
Unachotaka kusema ni kipi? Sema tu.Siyo mbaya,naamini utaelewa nachotaka uelewe.
Weka alama hii siku,weka alama hii siku
Mark this day brother..pia nakubali kwa sababu wewe siyo mtu wa dini wala madhehebu..upo sahihi kabisa kwasababu unaenda kuelewa kila kitu.Unachotaka kusema ni kipi? Sema tu.
This is neither here nor there.Mark this day brother..pia nakubali kwa sababu wewe siyo mtu wa dini wala madhehebu..upo sahihi kabisa kwasababu unaenda kuelewa kila kitu.
Fungua PM. Au nitextThis is neither here nor there.
Kuelewa kila kitu kutanifanya niwe Mungu, na mimi siamini katika kuwapo Mungu.
PM yangu haijawahi kufungwa tangu nijuinge JF.Fungua PM. Au nitext
Sawa..ngoja nishughulike nayoPM yangu haijawahi kufungwa tangu nijuinge JF.
Ni Mungu na sio mungu ndugu.Kwa uhai tulio nao tu, mungu tayari yupo ✍️✍️
Naona PM inakataa mkuu..PM yangu haijawahi kufungwa tangu nijuinge JF.
Watu pekee wasioweza kunitumia PM labda ni walio kwenye ignore list yangu, na wewe hupo huko, ndiyo maana naona posts zako.