Enyi Manabii wa kizazi kipya ni kweli mmepewa nguvu na Mwenyezi Mungu, au ni ushirikina tu?

Nabii wa kutabiri safari za Ulaya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nabii kazi yake kubwa ni kuonya, hizo kazi zingine ni minor.
Ukiona nabii hajabeba maonyo truely 200% ni muhuni
 
Kama ulilitambua hili habari za Yoshua na wana waisraeli zinakuhusu nini?
Yaani nini mantiki ya mstari ule unaozungumzia jamii fulani isiyokuhusu wewe na mungu wao?

Umeeelewa hapo?
β€’ kwa Wakristo kuna umuhimu mkubwa wa kusoma Biblia, ambayo sehemu kubwa yake iliandikwa na Wayahudi. Hii ni kwa sababu Biblia ina sehemu mbili kuu:-
Agano la Kale na Agano Jipya.

β€’Agano la Kale,
Sehemu hii ya Biblia inajumuisha maandiko matakatifu ya Wayahudi, kama vile Torati (Musa), vitabu vya manabii, na Zaburi. Kwa kusoma Agano la Kale, Wakristo wanaweza kuelewa historia ya uhusiano kati ya Mungu na watu wa Israeli na kupata msingi wa imani yao.

β€’ Agano Jipya,
Agano Jipya linahusu maisha na mafundisho ya Yesu Kristo na nyaraka zilizoandikwa na mitume. Ingawa mitume wengi walikuwa Wayahudi, ujumbe wa Agano Jipya unahusu wote, na ndiyo msingi wa imani ya Kikristo.
Kusoma Biblia yote kunatupa Wakristo ufahamu kamili wa mafundisho ya Kikristo na jinsi historia ya wokovu imeendelea kupitia Agano la Kale hadi Agano Jipya. Pia, kuelewa muktadha wa kihistoria na kitamaduni wa maandiko hayo kunaweza kuimarisha ufahamu wetu wa imani yetu.

Hata hivyo, Maandiko hayo yana tofauti kati ya Agano la Kale na Agano Jipya, na mafundisho ya Kikristo yanalenga zaidi kwenye Agano Jipya, hasa maisha na mafundisho ya Yesu Kristo.(baadhi ya wazigua na makabila mengine )
 
Nabii wa kutabiri safari za Ulaya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nabii kazi yake kubwa ni kuonya, hizo kazi zingine ni minor.
Ukiona nabii hajabeba maonyo truely 200% ni muhuni
πŸ˜€πŸ˜€, hataki kutabiri safari za sumbawanga,
 
That is emotional intelligence.
Ukichanganya fact na faults tegemea either of the one to be unique.
Tatizo watu wanavutwa kila Kona ....siasa......michezo hasa ushabiki wa Mpira wa miguu......Dini.......michango ya sherehe......vyama za kukopa na michezo ya upatu.....betting.....ushabiki wa mitandaoni.....kujipendekeza/uchawa.....utajili wa haraka.....matambiko....
 
β€’ Kukushawishi imani(mungu) ni jambo lenye changamoto, Kwa maana mungu anasema mimi ni roho, mimi ni nafsi niliyopo mioyoni mwenu hamta niona kwa macho yenu ya damu. kwani imani mara nyingi ni suala la kibinafsi, kiroho, Kumbuka, kila mtu ana safari yake ya kiroho,(Waamini mungu yupo)

1.....….…. Binadamu wanaweza kujisifia kuhusu uwepo wa Mungu kwa njia mbalimbali, kulingana na imani zao na uzoefu wa kibinafsi. Baadhi ya mambo ambayo watu wanaweza kujisifia ni pamoja na:-

β€’ Kuona Miujiza, Baadhi wanaweza kuelezea matukio ya kipekee au miujiza ambayo wanahisi ni ishara ya uwepo wa Mungu katika maisha yao.

β€’ Kutambua Njia za Mungu, Wengine wanaweza kujisifia kwa kutambua na kuelewa miongozo na njia wanazohisi zinaongozwa na Mungu katika maamuzi yao.

β€’ Uhusiano wa Kibinafsi na Mungu, Watu wanaweza kujisifia kwa kuwa na uhusiano wa kibinafsi na Mungu kupitia sala, ibada, na kusoma maandiko.

β€’ Mabadiliko ya Kiroho, Kujisifia kwa mabadiliko chanya katika tabia na maisha wanayoyaona kama matokeo ya uwepo wa Mungu.

β€’ Imani katika Maana na Madhumuni, Baadhi wanaweza kujisifia kwa kuwa na imani ya kwamba uwepo wa Mungu unawapa maana na madhumuni katika maisha yao.

β€’ Haya ni baadhi ya maneno au matamko ya binadamu mbali mbali, yakitoa ushuhuda baada ya kuomba kupitia neno la mungu, baba, uliye juu, ibariki kazi ya mikono yangu.. Na mambo yao yakaenda vizuri πŸ™πŸ™.
Sitaki kuongea habari za imani, nataka fact. Imani hata uongo unaweza kuamini, unaruhusiwa kuamininuongo, ni hakibyako ya kikatiba kuamini uongo, ni haki yako ya kiutu kuami uongo, ipo katika Universal Declaration of Human Rights haki hii ya kuamini hata uongo.

Sasa, kwa nini tunaongelea imani bado?

Mimi nataka tuangalie facts.

Imani kila mtu ana haki ya kuamini anavyotaka, wala si jambo la busara kujadiki imani za watu.

Tuangalie ukweli uko wapi? Vitu ambavyo vimepita imani tu vimekaaje?

Nakuuliza uthibitishe kimoja, Mungu yupo, unarukia habari nyingine ambayo huwezi kuithibitisha, roho.

Unaongeza tu mzigo wa uthibitisho.

Thibitisha Mungu yupo, thibitisha roho ipo.
 
1......……. Hapa kuna wa "WADAI WA MUNGU" na "KUTUMWA KWAKO ." Ikiwa unarejelea msaada wa Mungu kwa binadamu, kuna mitazamo mingi kutoka kwa dini tofauti. Hapa kuna maoni kadhaa:

β€’ Mitume na Manabii, Katika imani ya Kikristo, Wakristo wanafundishwa kwamba Mungu ametuma mitume na manabii kutoa mwongozo, mafundisho, na ufunuo wa mapenzi yake.

β€’ Wakala wa Mungu, Mara nyingine, watu huamini kwamba malaika ni wajumbe wa Mungu wanaosaidia kuleta ujumbe, ulinzi, na mwongozo kwa binadamu.

β€’Kazi ya Roho Mtakatifu, Wakristo wengine wanafundishwa kuamini kwamba Roho Mtakatifu, ambaye anachukuliwa kama mmoja wa utatu wa Mungu, ni mwongozo na msaidizi anayeishi ndani ya waumini.

β€’ Viongozi wa Kidini, Kulingana na dini, viongozi wa kidini wanaweza kuwa wajumbe wa Mungu wanaotumwa kufundisha na kuongoza waumini. ( lakini si manabii wa kizazi kipya)

2........….. kwa nini Mungu asifanye kazi yeye mwenyewe, tunaweza kugundua sababu kadhaa zinazotolewa:

β€’ Kupitia Binadamu na Viumbe, Katika imani, Mungu anachagua kufanya kazi yake kupitia binadamu au viumbe vyake ili kuonyesha upendo wake na kuweka msisitizo wa ushirikiano kati yake na mwanadamu.

β€’ Utekelezaji wa Mpango wa Mungu, ikiwa tunachukulia Mungu kuwa ni mwenye hekima na mwenye mpango, kuna dhana kwamba kufanya kazi kupitia viumbe ni sehemu ya mpango wake mkamilifu.

β€’ Kuimarisha Imani, Kwa mujibu wa mafundisho ya kidini, Mungu anaweza kuchagua kufanya kazi kupitia binadamu ili kuimarisha imani yao na kuwapa fursa ya kujitolea kwa hiari.

β€’ Uwezo wa Kuchagua, Mungu anaamini katika uhuru wa kuchagua, basi kutoa nafasi kwa viumbe wake kufanya kazi ni njia ya kuheshimu uhuru na utashi wao.
Hamna ulichojibu...if mungu angekuwepo na ni mmoja tusingeona dini na madhehebu zaidi ya buku... tusingeona biblia Ina mikanganyiko ndani yake, tusingeona wakristo wanabishana kuhusu dini Yao...haya yote ni proof kwamba dini ni man made Hamna Cha utume unabii Wala uwakala...hio tactic ndo wazungu walitumia kututawala saa hivi watu ndo Wanatumia kuwatapeli...eti mungu kamtokea yeye ili atuambie sisi Cha kufanya, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚wenzetu washatoka huko ndo maana wanaendelea
 
β€’ Kukushawishi imani(mungu) ni jambo lenye changamoto, Kwa maana mungu anasema mimi ni roho, mimi ni nafsi niliyopo mioyoni mwenu hamta niona kwa macho yenu ya damu. kwani imani mara nyingi ni suala la kibinafsi, kiroho, Kumbuka, kila mtu ana safari yake ya kiroho,(Waamini mungu yupo)

1.....….…. Binadamu wanaweza kujisifia kuhusu uwepo wa Mungu kwa njia mbalimbali, kulingana na imani zao na uzoefu wa kibinafsi. Baadhi ya mambo ambayo watu wanaweza kujisifia ni pamoja na:-

β€’ Kuona Miujiza, Baadhi wanaweza kuelezea matukio ya kipekee au miujiza ambayo wanahisi ni ishara ya uwepo wa Mungu katika maisha yao.

β€’ Kutambua Njia za Mungu, Wengine wanaweza kujisifia kwa kutambua na kuelewa miongozo na njia wanazohisi zinaongozwa na Mungu katika maamuzi yao.

β€’ Uhusiano wa Kibinafsi na Mungu, Watu wanaweza kujisifia kwa kuwa na uhusiano wa kibinafsi na Mungu kupitia sala, ibada, na kusoma maandiko.

β€’ Mabadiliko ya Kiroho, Kujisifia kwa mabadiliko chanya katika tabia na maisha wanayoyaona kama matokeo ya uwepo wa Mungu.

β€’ Imani katika Maana na Madhumuni, Baadhi wanaweza kujisifia kwa kuwa na imani ya kwamba uwepo wa Mungu unawapa maana na madhumuni katika maisha yao.

β€’ Haya ni baadhi ya maneno au matamko ya binadamu mbali mbali, yakitoa ushuhuda baada ya kuomba kupitia neno la mungu, baba, uliye juu, ibariki kazi ya mikono yangu.. Na mambo yao yakaenda vizuri πŸ™πŸ™.
Unatofautishaje kitu ambacho ni kiroho(hakionekani, hakiskiki, hakihisiki, hakishkiki) na kitu ambacho hakipo...huoni kwamba hili ni Chaka la kujifichia
 
Infropreneur,

. Kwa mfano, Yoshua 24:15 (NIV) inasema, "Lakini mimi na watu wangu tutamuhudumia Bwana."

. Wakati mwingine Biblia inahimiza watu kumgeukia Mungu. Mathayo 4:17 (NIV) inasema, "Tubuni, maana ufalme wa mbinguni umekaribia."

. Biblia inasisitiza upendo wa Mungu kwa wanadamu wote, bila kujali imani zao. Yohana 3:16 (NIV) inaeleza, "Kwa maana Mungu aliupenda ulimwengu hivi, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele."

. Maandiko pia yanaelezea mawazo ya hukumu, lakini hatua ya mwisho na hukumu iko mikononi mwa Mungu. Mathayo 25:31-46 inaonyesha mada ya hukumu ya siku ya mwisho.

Kupitia vifungu hapo unaweza kuona kabisa mungu yupo
Kupitia movie ya endgame tunaprove kwamba Thanos yupo kwa sababu ya quotes zake nzuri
 
β€’ kwa Wakristo kuna umuhimu mkubwa wa kusoma Biblia, ambayo sehemu kubwa yake iliandikwa na Wayahudi. Hii ni kwa sababu Biblia ina sehemu mbili kuu:-
Agano la Kale na Agano Jipya.

β€’Agano la Kale,
Sehemu hii ya Biblia inajumuisha maandiko matakatifu ya Wayahudi, kama vile Torati (Musa), vitabu vya manabii, na Zaburi. Kwa kusoma Agano la Kale, Wakristo wanaweza kuelewa historia ya uhusiano kati ya Mungu na watu wa Israeli na kupata msingi wa imani yao.

β€’ Agano Jipya,
Agano Jipya linahusu maisha na mafundisho ya Yesu Kristo na nyaraka zilizoandikwa na mitume. Ingawa mitume wengi walikuwa Wayahudi, ujumbe wa Agano Jipya unahusu wote, na ndiyo msingi wa imani ya Kikristo.
Kusoma Biblia yote kunatupa Wakristo ufahamu kamili wa mafundisho ya Kikristo na jinsi historia ya wokovu imeendelea kupitia Agano la Kale hadi Agano Jipya. Pia, kuelewa muktadha wa kihistoria na kitamaduni wa maandiko hayo kunaweza kuimarisha ufahamu wetu wa imani yetu.

Hata hivyo, Maandiko hayo yana tofauti kati ya Agano la Kale na Agano Jipya, na mafundisho ya Kikristo yanalenga zaidi kwenye Agano Jipya, hasa maisha na mafundisho ya Yesu Kristo.(baadhi ya wazigua na makabila mengine )
Hakuna ulichojibu sielewi kam unapata ugumu wa kusoma au ni vipi.
 
Kwa hiyo hawa wa kizazi kipya, ni wapigaji tu na waliofungamana na ibirisi??
Manabii wa Maji na Mafuta ya Upako na Vifaa vya Kiroho. Tena ya Kununua. Nenda Kawe pale uone Shehena na Mafuta ya Upako vinavyouzwa
 
Faza, Faza, Fazaaa

Ijumaa ya tareh 15 hapo mjini Tanganyika Packers kuna mkesha wa buldozer boi. Siku ya vibaka kuvuna, unakaribishwa
 
That is emotional intelligence.
Ukichanganya fact na faults tegemea either of the one to be unique.
Tatizo watu wanavutwa kila Kona ....siasa......michezo hasa ushabiki wa Mpira wa miguu......Dini.......michango ya sherehe......vyama za kukopa na michezo ya upatu.....betting.....ushabiki wa mitandaoni.....kujipendekeza/uchawa.....utajili wa haraka.....matambiko....
Okay mkuu, ila siyo wote wanao jichanganya kwenye hayo mambo...
 
Hamna ulichojibu...if mungu angekuwepo na ni mmoja tusingeona dini na madhehebu zaidi ya buku... tusingeona biblia Ina mikanganyiko ndani yake, tusingeona wakristo wanabishana kuhusu dini Yao...haya yote ni proof kwamba dini ni man made Hamna Cha utume unabii Wala uwakala...hio tactic ndo wazungu walitumia kututawala saa hivi watu ndo Wanatumia kuwatapeli...eti mungu kamtokea yeye ili atuambie sisi Cha kufanya, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚wenzetu washatoka huko ndo maana wanaendelea
β€’ Madhehebu mengi ya dini yanaweza kuchangiwa na tofauti za kitamaduni, kihistoria, na tafsiri ya mafundisho ya dini. Wanadamu wana tabia ya kuelewa na kuabudu mungu kulingana na muktadha wao wa kitamaduni na kijamii, hivyo kutokea kwa madhehebu mbalimbali. Pia, mivutano ya kisiasa na kijamii imechangia kutokea kwa madhehebu mengi katika historia ya dini.

β€’ Biblia inaweza kuonekana kuwa na mikanganyiko kwa sababu imeandikwa na watu mbalimbali katika muktadha tofauti, kwa lugha tofauti, na kwa wakati tofauti. Pia, tafsiri na maelezo ya Biblia yanaweza kutofautiana kulingana na wakati na utamaduni wa watafsiri. Wakati mwingine mikanganyiko hiyo inaweza kutatuliwa kwa kuzingatia muktadha wa kihistoria na kitamaduni wa maandiko hayo au kwa kuzingatia lugha ya awali iliyotumika. Watu pia wanaweza kuwa na tafsiri tofauti za maandiko, na hii inaweza kuchangia kuonekana kwa mikanganyiko.

β€’ Bishano miongoni mwa Wakristo mara nyingine unaweza kuchangiwa na tofauti za tafsiri na ufahamu wa mafundisho ya dini. Wakati mwingine, watu wanaweza kuwa na mitazamo tofauti kuhusu mafundisho ya Biblia au jinsi ya kuyaelewa. Hali kadhalika, masuala ya kisiasa yanaweza kuathiri mitazamo ya kidini na kusababisha mabishano.
 
Unatofautishaje kitu ambacho ni kiroho(hakionekani, hakiskiki, hakihisiki, hakishkiki) na kitu ambacho hakipo...huoni kwamba hili ni Chaka la kujifichia
Ukiwa tayari unaimani, malaika pamoja na Mwenyezi mungu, watakua pamoja nawe, ila kama huna imani na Mwenyezi mungu huwezi kuona roho takatifu ndani yako. Bali utakumbana na mikosi isiyo isha hapa duniani.
 
Manabii wa Maji na Mafuta ya Upako na Vifaa vya Kiroho. Tena ya Kununua. Nenda Kawe pale uone Shehena na Mafuta ya Upako vinavyouzwa
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, Mambo ni mengi sana, ila mda ni mchache kuona yaliyopo duniani..
 
Faza, Faza, Fazaaa

Ijumaa ya tareh 15 hapo mjini Tanganyika Packers kuna mkesha wa buldozer boi. Siku ya vibaka kuvuna, unakaribishwa
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, hao ni manabii wa kisasa, siwezi nikaenda, Maana najua kabisa hawatumii nguvu za Mwenyezi Mungu.
 
Sitaki kuongea habari za imani, nataka fact. Imani hata uongo unaweza kuamini, unaruhusiwa kuamininuongo, ni hakibyako ya kikatiba kuamini uongo, ni haki yako ya kiutu kuami uongo, ipo katika Universal Declaration of Human Rights haki hii ya kuamini hata uongo.

Sasa, kwa nini tunaongelea imani bado?

Mimi nataka tuangalie facts.

Imani kila mtu ana haki ya kuamini anavyotaka, wala si jambo la busara kujadiki imani za watu.

Tuangalie ukweli uko wapi? Vitu ambavyo vimepita imani tu vimekaaje?

Nakuuliza uthibitishe kimoja, Mungu yupo, unarukia habari nyingine ambayo huwezi kuithibitisha, roho.

Unaongeza tu mzigo wa uthibitisho.

Thibitisha Mungu yupo, thibitisha roho ipo.

β€’ πŸ€”πŸ€”πŸ€”, Kwa maelezo yako hapo, unataka umuone mungu mubashara??

β€’ Sasa kama huamini utamuonaje??, unataka kuona kitu kwa kulazimisha, bila kuwa na hiari kutoka rohoni mwako??
 
Wapi nimesema nataka kumuona Mungu mubashara?

Na kuona kitu mubashara ndiyo kunamaanisha kipo?

Mbona watu jangwani wanaona mirage mubashara, wakiona chemchemi za maji zipo mbele yao, wakati kiukweli hazipo, ni mwanga tu unafanya paonekane kwamba kuna chemchemi, unaelewa hiyo mirage ya jangwani ni nini?

Mbona ukitoka usiku na kuangalia angani unaziona nyota nyingi tu mubashara, na unafikiri kuwa kwa kuwa unaziona mubashara, basi zipo, wakati nyota hizo zilishaungua katika supernovae mamilioni ya miaka iliyopita, na wewe unaona mwanga wa nyota unaokufikia leo wakati nyota yenyewe haipo?

Sasa, ukimuona huyo unayemsema Mungu mubashara, utajuaje ni Mungu kweli na si mirage tu?
 
. πŸ˜€πŸ˜€Aloo we jamaa ni mbishi.. Kwa hiyo unaamini hata nyota hazipo??, Kwa vile tu Mirage huwa zinatokea, kuhusu Mirage hilo ni tatizo la ubovu wa macho si vinginenvyo.

Kwa mwenendo huu, kuamini mungu yupo kunahitaji maombi ya hali ya juu.
 
Back
Top Bottom