Enyi Manabii wa kizazi kipya ni kweli mmepewa nguvu na Mwenyezi Mungu, au ni ushirikina tu?

Asante sana mkuu, Taarifa Imefika, ingawa ni wale wale, tunao wa zungumzia sasa..
Ndg huyu Ndacha siyo rongo rongo; kwa Wakiristo na Waislam wanaotaka kupambana kati ya ukweli na Uongo, ni msaada Mkubwa sana. Fuatilia mafundisho yake kwenye YouTube
 
Nabii,neno la kiarabu ambalo kiswahili kimekopa,maana yake ni mtu aliyechaguliwa na mungu akiwasiliana nae kumpa maagizo ayafikishe kea watu,wanafunzi wa yesu hawakuwa nabii,hao mbuzi wanajiita manabii
ahahaaaaaa!!! umekasirika mpaka umewaita mbuzi!!!!!!,,,,da!! ikukuu zimefika,,,inabidi 2wageuze supu mkuu!!
 
Ndg huyu Ndacha siyo rongo rongo; kwa Wakiristo na Waislam wanaotaka kupambana kati ya ukweli na Uongo, ni msaada Mkubwa sana. Fuatilia mafundisho yake kwenye YouTube
• Asante sana mkuu, Kuamini ni kuipa roho uhuru kwa kuitumikia.... Lakini kwa sasa nipo kwenye utafiti kwanza wa kujua hawa manabii wa kizazi kipya wamekuja kwa njia gani???

• kama utanijibu swali langu hapo juu, nitaungana na wewe kwenye hiyo ibada 🙏🙏.
 
Una mihemko kijana , tuliza wenge alafu urejee tena.
MUNGU YUPO, KAMA HAYUPO HEBU TAJA KITU KIMOJA TU AMBACHO HAKIPO DUNIANI KIMOJA TU. UKISHAKIJA JICHO KITU ÀMBACHO HAKIPO AU HAKIJAUMBWA, ITABIDI WEWE AU UNAEMJUA WEWE AKIUMBE NDIPO TUTAAMINI KUMBE MUNGU HAYUPO NA YEYOTE ANAWEZA KUWA MUNGU.

WEWE NA BABAAKO MMEKUTA NDIZI TAYARI ZIPO, KUKU TAYARI WAPO WATU TAYARI TUPO,SIMBA WAPO, MAJI YAPO N.K. DOGO MUNGU KAMA HEWA UNAIVUTA LAKINI HUOONI NI MFANO TU.

SASA KUUMBA NAJUA HUWEZI, BASI TAJA TU BADO KITU GANI DUNIANI HAKIPO TUJUE MUNGU NAYE HAYUPO, NIKO PALE UKITAJA NAKUFA!

MKISHAVUTA BANGI ZA HANANG MNAHARISHA UHARO MDOMONI NAAALABUKU.. [emoji32][emoji32][emoji32]
 
😀😀😀, Kitu ambacho hakipo duniani,?!! ¡!?????? ¿???, Dahh
 
🚮🚮
 
. 😀😀Aloo we jamaa ni mbishi.. Kwa hiyo unaamini hata nyota hazipo??, Kwa vile tu Mirage huwa zinatokea, kuhusu Mirage hilo ni tatizo la ubovu wa macho si vinginenvyo.

Kwa mwenendo huu, kuamini mungu yupo kunahitaji maombi ya hali ya juu.
Mbona unakuwa mgumu wa kuelewa?

Wapi nimesema nyota hazipo?

Mwanga wa nyota unachukua muda mrefu kutufikia, hivyo, nyota nyingi tunazoziona leo kama zipo, hazipo, kwa sababu mwanga wake umechukua maelfu ya miaka (hata mamilioni na mabilioni ya miaka kama unatumia telescopes) kutufikia na inawezekana mwanga wa nyota kutufikia leo, wakati nyota yenyewe ilishatoweka maelfu (mamilioni na mabikioni ya miaka kwa telescooe) ya miaka iliyopita. Usichoelewa ni kipi hapo?

Nyota iliyo karibu kabisa na sisi, ukiondoa jua, ni Proxima Centauri, iliyopo 4.246 light years away. Katika mfumo wa Alpha Centauri.

Maana yake ni kwamba, unapoiangalia nyota iliyo karibu kabisa na mfumo wa jua, huioni nyota hiyo ilivyo sasa hivi, unaiangalia kama ilivyokuwa mwezi wetu wa September mwaka 2019.

Maana yake, nyota iliyo karibu kabisa na sisi inaweza kuwa imetoweka miaka minne iliyopita, lakini sisi hatujajua tu bado kwa sababu mwanga wake unatumia miaka 4.246 kutufikia.

V276 Cas in Cassiopeia iko 16,308 light years away. Maana yake tukiiangakia leo, hatuioni kama ilivyo leo, tunaiona nyota hii kama ilivyokuwa miaka 16,308 iliyopita. Ikitoweka leo yetu ya hapa, hatutajua mpaka mwaka wetu 18,332.

Sasa, kuiona nyota hii mubashara leo hakumaanishi ipo leo. Tutajua nyota hii ilikuwepo leo yetu mwaka wetu wa 18,332.

Kwa hivyo, ukiondoa jua, nyota zote zingine unaziona kama zilivyokuwa mwaka 2019 au zamani zaidi. Hakuna nyota unayoiona kama ilivyokuwa mwaka 2020. Na kuna nyota nyingine unaziona kama zilivyokuwa maelfu ya miaka iliyopita.

Jua lenyewe unaloliona kila siku, na kufikiri unaliona mubashara, mwanga wake unachukua dakika 8 na sekunde 20 kutufikia.

Maana yake ni kwamba, unapofikiri unaliona jua kama lilivyo sasa hivi, hulioni kama lilivyo sasa hivi, unaliona kama lilivyokuwa dakika 8 na sekunde 20 zilizopita. Jua likizimika ghafla sasa hivi, hatutajua limezimika kwa dakika 8 na sekunde 20.

Sasa, unaposema mambo ya kuona kitu mubashara kama uthibitisho kuwa kitu kipo, unaweza kufikiri kitu kipo kwa sababu unakiona mubashara, wakati hakipo.

Mimi sijawahi kutaka kumuona Mungu kama uthibitisho kuwa Mungu yupo, kwa sababu najua inawezekana ukakiona kitu halafu hicho kitu kikawa hakipo, na kuna vitu vingine vipo lakini havionekani.

Ninachotaka ni angalau ushahidi wa maelezo ya kimantiki yasiyo na mkanganyiko, logic isiyo na contradiction.

Hujaweza kutoa maelezo ya Mungu yanayopangua contradictions zilizopo katika hoja za kuelezea uwepo wa Mungu.
 
• Asante sana mkuu, Kuamini ni kuipa roho uhuru kwa kuitumikia.... Lakini kwa sasa nipo kwenye utafiti kwanza wa kujua hawa manabii wa kizazi kipya wamekuja kwa njia gani???

• kama utanijibu swali langu hapo juu, nitaungana na wewe kwenye hiyo ibada 🙏🙏.
Nyafwili nikuambie kitu. Benki kuu inapotokea changamoto ya fake notes, wao hawajikiti kwenye maelezo mengi kwamba fake notes zikoje; bali hujikita kwenye kuelezea features za noti halali.
Vivyo hivyo mm ninachoweza kukusaidia ni kukuelezea kuwa ndacha ana feature zote za kuwasaidia wakristo kuitetea biblia na kuwasaidia waislam kubaini uongo uliojikita kwenye Quran na hiyo kuwaleta kwenye nuru ya Mungu Muweza yote kupitia Kristo
Pale PTA, Saba Saba siyo ibada ile bali ni Elimu ya kukusaidia
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwapo, ulimwengu wenye kuwezekana kuwa na mabaya usingekuwapo.

Huyu Mungu sifa zake zinamfanya asiwe mchoyo wa mazuri kiasi cha kuruhusu ulimwengu ambao unaweza kuwa na mabaya uweze kuwapo wakati angeweza kirahisi tu kuufanya usiwezekane kuwapo.

Kwa hivyo, ama Mungu huyu yupo, na ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya haupo, ama ulimwengu unaoruhusu mabaya upo, na Mungu huyu hayupo. Viwili hivi ni mutually exclusive. Kikiwapo kimoja, kingine hakipo.

Tunaona ulimwengu unaoruhusu mabaya upo.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.

Ni wa hadithi za kutungwa na watu tu.
Mabaya yasinge kuwepo ungeweza kuthibitisha kuwa yupo?
 
Naomba unitajie hayo mabaya.
Kama unaamini Mungu anayehukumu watu kwa mabaya wanayofanya, hayo mabaya ni kwa nini Mungu karuhusu yawepo?

Pia, majanga ya kiasili ni mabaya, kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote karuhusu ulimwengu uweze kuwa na majanga ya kiasili yanayoua na kuumiza watu wengi?

Ujinga, umasikini, maradhi ni mambo mabaya, kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote anaruhusu mabaya haya?

Mwaka 2015, Papa Francis wa Wakatoliki alitembelea Ufilipino. Msichana mmoja mdogo akamuuliza. Papa Mtakatifu, hapa Ufilipino kuna wasichana wadogo wengi wana maisha magumu sana, inawabidi wajiuze miili yao kujikimu maishani, kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote karuhusu maisha yawe magumu hivi?

Papa alijiumauma tu na kushindwa kujibu swali. Kimsingi alisema swali halina jibu.

Badala ya kujibu swali, akaendelea kuhubiri dini.

Huyo ni msomi wa theolojia kawa Cardinali mpaka kawa Papa, anaijua Biblia na theolojia. Kimsingi kakubali hana jibu.

Francis struggles to answer crying girl's question about suffering​

Manila, Philippines — January 18, 2015
Share on FacebookShare on TwitterEmail to a friendPrint

Tearfully recounting a young life as yet spent forced to forage for food from garbage and to sleep outside on cardboard mats, 12-year-old Glyzelle Palomar had a simple but profound question for Pope Francis.

"Why did God let this happen to us?" the young Filipino asked, covering her face with her hands as she sobbed.
Speaking on a stage in front of some 30,000 young people as part of a meeting between Francis and Filipino youth Sunday, Palomar's intense query visibly affected the pontiff.

Putting aside a text he had prepared for the occasion in order to respond directly to the young woman, Francis answered her with a 40-minute reflection on the nature of suffering, love, and service.

"The nucleus of your question almost doesn't have a reply," the pontiff said at first, pain clearly etched on his face as he mentioned that he had seen her tears.

"Only when we too can cry about the things that you said are we able to come close to replying to that question," Francis continued.

"Why did children suffer so much?" he asked. "Why do children suffer?"
"Certain realities in life we only see through eyes that are cleansed through our tears," Francis said.
Addressing the thousands of youth in the crowd, he continued: "I invite each one of you to ask yourselves: 'Have I learned how to weep, how to cry when I see a hungry child, a child on the street who uses drugs, a homeless child, an abandoned child, an abused child, a child that society uses as a slave?'"

"Let us learn how to weep, as she has shown us today," said Francis. "Let us not forget this lesson. The great question of why so many children suffer. She did this crying. And the response that we can make today is let us learn, really learn, how to weep."

Francis' remarks Sunday came in a meeting with Filipino youth organized as part of his visit to the country Thursday-Sunday and held at Manila's Dominican-run University of Santo Tomas.

Palomar was one of four young people who gave testimonies about their lives during the event. Rescued from living on the streets by a foundation in Manila dedicated to helping such children, she and a young man helped by the same foundation spoke of the intense poverty faced by many Filipino children.

A nation of some 100 million, more than one-quarter of the population of the Philippines is estimated to live below the poverty line. A 2009 study by the Philippine Institute for Development Studies found that 36 percent of Filipino children live in impoverished conditions.

In answering Palomar, Francis also said that Jesus cried often in the stories of the Gospel.
"If you don't learn how to cry, you can't be good Christians," said the pope. "This is a challenge."
Francis spoke extemporaneously Sunday in his native Spanish, with the help of a priest translating his remarks into English for the crowd.

Beginning his talk, Francis first asked the youth at the meeting to offer prayers for the young woman who died at the end of a Mass the pontiff celebrated Saturday in Tacloban, an area about 500 miles southeast of Manila.

Kristel Pasadas, a 27-year-old staff member for Catholic Relief Services, was killed when scaffolding holding a speaker used for the amplification system during the Mass fell on her.

"I have very sad news today," the pope said Sunday, before asking that those assembled take a minute of silence in prayer. "Let us also pray for her father and mother," Francis added. "She was the only daughter."
Francis then addressed the fact that besides Palomar those that gave testimonies at the youth event were young men.
There was "only a very small representation of women among you," he said, adding: "too little."

"Women have much to tell us in today's society," the pope continued. "Sometimes we are too machista ... and we don't allow room for the women."

"When the next pope comes, please more women among the number!" he asked.
The pope then addressed two other testimonies given by young men at the event, one focusing on the struggles young people face becoming overloaded with information in the internet age and the other speaking about volunteering to help survivors of 2013's Typhoon Haiyan.

Addressing the first testimony, Francis said there is so much information available now "but perhaps we don't know what to do with that information."
"We run the risk of becoming museums of young people, that have everything but without knowing what to do with it," he said.

"Which is the most important subject that you have to learn in university, that you have to learn in life?" Francis asked, answering: "To learn how to love. And this is the challenge that life offers you, to learn how to love."
The pontiff then said that in order to love, one has to use three languages: Of the mind, of the heart, and of the hands.
"What you think you must feel and put into effect," he continued. "Your information comes down to your heart and you realize it in real works."

Francis then said that love also requires being open to being loved and to surprises.

"Don't be frightened of surprises," he told the youth. "They shake the ground from underneath your feet and they make us unsure, but they move us forward in the right direction."

Reflecting on the example of St. Francis of Assisi -- who he said "died with empty pockets but with a very full heart" -- the pope said that "real love leads you to spend yourselves in life, to leave your pockets empty."

Responding to the man who volunteered after the Typhoon, one of the most devastating ever experienced in the Philippines, Francis told the young people they must not only learn to give of themselves but to receive from others.
"Jesus had to come to allow himself to feel compassion, to be loved," said the pope. "How many young people are there like this? You know how to give and yet you haven't yet learned how to receive."

"You lack only one thing, to become a beggar," he continued. "This is what you lack, to learn how to beg."
"To learn how to receive with humility," said Francis. "To learn to be evangelized by the poor, those that we help: The poor, the sick, the orphans, they have so much to offer us. Have I learned how to beg also for that?"

"Do you let yourselves be evangelized by those you serve?" he asked. "Or do I feel self-sufficient or I'm only going to offer something and think that you have no need of anything?"

Francis is visiting the Philippines, Asia's largest Catholic nation, Thursday-Sunday in the second visit of a two-part Asian voyage that first saw him visit Sri Lanka earlier in the week.

Later Sunday the pontiff will celebrate a public Mass in Manila's Rizal Park, an event the Vatican has called a "mega Mass" because of the expected crowds. Millions have converged since early Sunday morning on the streets of Manila, under pouring rain, to try and secure a place in the celebration.

In one sign of the massive operation to prepare for the event, officials from the Catholic Bishops’ Conference of the Philippines on Saturday night celebrated a Mass and consecrated 2.5 million hosts for distribution Sunday from 20 tents among the crowd.

Security for the papal visit has been extraordinarily tight. About 50,000 police and soldiers have been on patrol and authorities have been using jamming technology to prevent use of cellular networks in areas near where the pope is traveling.

As Francis traveled the some four miles Sunday between Manila's apostolic nunciature, where he has been staying during his visit, and the university for the youth meeting, crowds pressed in along the route, with some people coming so close as to almost touch the pope's hand.

Police were lined shoulder to shoulder along barricades lining the road, attempting to hold the crowd in.
[Joshua J. McElwee is NCR Vatican correspondent. His email address is jmcelwee@ncronline.org. Follow him on Twitter: @joshjmac.]
 
Nyafwili nikuambie kitu. Benki kuu inapotokea changamoto ya fake notes, wao hawajikiti kwenye maelezo mengi kwamba fake notes zikoje; bali hujikita kwenye kuelezea features za noti halali.
Vivyo hivyo mm ninachoweza kukusaidia ni kukuelezea kuwa ndacha ana feature zote za kuwasaidia wakristo kuitetea biblia na kuwasaidia waislam kubaini uongo uliojikita kwenye Quran na hiyo kuwaleta kwenye nuru ya Mungu Muweza yote kupitia Kristo
Pale PTA, Saba Saba siyo ibada ile bali ni Elimu ya kukusaidia
😐, nimekuelewa sana mkuu, kuja hapo siyo tatizo ndo maana niliamua kuuliza swali hili, ili nijue kwa ufasaha zaidi kuhusu manabii wa sasa, lakini mikanganyiko imekua mingi sana, ndo Nasema ngoja niendelee kutafuta ushahidi kwanza...
 
Mungu anaruhusuje mabaya waikati hayupo??
 
Mabaya yasinge kuwepo ungeweza kuthibitisha kuwa yupo?
Mabaya yasingekuwepo, ulimwengu huo usinge contradict uwepo wa Mungu.

Test ya kwanza ya kuangalia kama Mungu yupo ingekuwa successful.

Ni kama vile unatafuta square root ya 2 katika base 10 math.

Unajua kwamba square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2.

Ukipewa jibu la square root ya 2 ni 10 tu, hapo hapo unajua hili jibu si sahihi, kwa sababu square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2.

Hili jibu ni sawa na jibu la mabaya kuwepo.

Ulimwengu ambao umeumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, mabaya hayapo.

Ukishaona mabaya tu, unajua kuwa ulimwengu huo haujaumbwa na Mungu huyo.

Ukiambiwa namba yoyote iliyo ndogo kuliko mbili ni square root ya 2, test ya kwanza ni kuthibitisha kama namba hiyo ni ndogo kuliko 2 kweli, ikiwa ndogo kuliko mbili, hilo halimaanishi namba hiyo ni square root ya 2, hilo linathibitisha kwamba test ya kwanza ya kupima kama namba hiyo inaweza kuwa square root ya 2 imekuwa successful, test ya pili ni kui square hiyo namba kuona kama itakupa jawabu la 2.

Vivyo hivyo, ukiwa katika ulimwengu ambao mabaya hayapo, hilo halithibitishi ulimwengu huo umeumbwa na Mungu, lakini, mtihani wa kwanza wa kuangalia kuwa ulimwengu huo unawezekana kuwa umeumbwa na Mungu utakuwa umefanikiwa, ulimwengu ambao hauna mabaya hau contradict kuwepo kwa Mungu muweza yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote. Kuanzia hapo unaweza kwenda kwenye tests nyingine zitakazoweza ku establish kama Mungu yupo.

Kwa ulimwengu wetu wa sasa unaoruhusu mabaya, tukiiweka hoja ya kuwepo Mungu kwenye mizani, hoja inashindwa kupita mtihani wa kwanza kabisa, kwa sababu ulimwengu unaoruhusu mabaya una contradict uwepo wa Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote.

Ni kama vile, kwenye base 10 math, mtu anakuambia square root ya 2 ni 10, ukijua kwamba square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2, mtihani wa kwanza wa kuitest 10 kama ni square root ya 2 unafeli, kwa sababu 10 ni kubwa kuliko 2.
 
Mungu anaruhusuje mabaya waikati hayupo??
Mungu haruhusu mabaya, kwa sababu hayupo.

Nasema hivi, kwa wale wanaosema Mungu yupo, ni mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote, na ndiye kaumba ulimwengu huu unaoruhusu mabaya, habari yao ya kwamba Mungu huyo yupo na ndiye aliyeumba ulimwengu huu unaoruhusu mabaya ina contradiction.

Mungu huyo, kwa sifa zake hizo, angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao unaruhusu mabaya.

This is simple logical consistency.

Kwa utakatifu wa sifa za huyo Mungu, akiwepo, ulimwengu unaoruhusu mabaya hauwezi kuwepo.

Na ulimwengu unaoruhusu mabaya ukiwepo, Mungu huyo hayupo.

Mawili haya, Mungu huyo na ulimwengu unaoruhusu mabaya, hayawezi kuwepo pamoja. The two are mutually exclusive. Ukiwa na A, B hakipo, ukiwa na B, A hakipo, huwezi kuwa na A na B pamoja.

Ulimwengu unaoruhusu mabaya upo, hivyo, Mungu huyo hayupo.

Umeelewa?
 
Back
Top Bottom