Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Nimepata na kukujibu. Check it.Naona PM inakataa mkuu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepata na kukujibu. Check it.Naona PM inakataa mkuu..
1. Logical consistency kwa maana ya kuwepo kwa mantiki isiyojikanganya wala kupingika kwa kuonekana ina uongo. Kwa mfano, tukijua kuwa square root ya 2 ni kazima iwe ndogo kuliko 2, ukioewa jibu lolote lililo kubwa kuliko 2 kama square root ya 2, jibu hilo litakosa logical consistency na kanuni hiyo ya kwamba square root ya 2 ni kazima iwe ndogo kuliko 2.
😄😄, Inafikirisha sana, lakini binadamu hatutaki kuelewa kabisa kuhusu hao wanaojiita manabii... Kila kukicha makinisa yao yanazidi kufurikaNafuu wangetumia mababu zao katika kuomba labda ningeamini. Huyu Mungu wa Israeli na mwafrika haingii akilini.
Sawa, naelewa hilo. Nimesoma Godel's Incompleteness Theorems. Baically kila uthibitisho utahitaji assumptions ambazo haziwezi kuwa ndani ya mfumo huo wa uthibitisho, na msururu huo hauna mwisho, ukienda level moja deeper, utakutana na tatizo la kuthibitisha assumptions mpya upya, hivyo hivyo, ad infinitum, ad nauseam.. Huwezi kupata maneno yasiyo jichanganya kutoka kwenye utafiti wa binadamu, labda uazishe Mwenyewe huo uthibitisho, hata Ukifanya uthibitisho wewe Mwenyewe karne hii, miaka ijayo binadamu watakao zaliwa, watapinga uthibitisho wako...
Maneno yako tu yanaonyesha huyo mungu ni wa mchongo.Tengeneza chungwa tule akusaidie na babaako acheni jeuri za kuvuta bangi huku unaharisha!! [emoji32]
Sawa, naelewa hilo. Nimesoma Godel's Incompleteness Theorems. Baically kila uthibitisho utahitaji assumptions ambazo haziwezi kuwa ndani ya mfumo huo wa uthibitisho, na msururu huo hauna mwisho, ukienda level moja deeper, utakutana na tatizo la kuthibitisha assumptions mpya upya, hivyo hivyo, ad infinitum, ad nauseam.
Ndiyo maana watu wakamtengeneza Mungu ili awe chanzo cha yote, asiyehitaji uthibitisho, asiyeweza kuthibitishika. Hii ni "Deus Ex Machina", hadithi ya "Mungu kamaliza kila kitu" ya kusimamisha uchunguzi bila kuumaliza, wakati habari hatujaimaliza na Mungu hayupo.
Watu kutoweza kuwa na narrative yoyote ambayo iko fully logically consistent ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo. Angekuwepo, angeumba ulimwengu wenye kueleweka na kutupa logically consistent explanation ya ulimwengu ambayo ingetuonesha uwepo wake bila contradiction yoyote, popote, kwa yeyote.
Hilo tatizo ulilolitaja, kutoweza kupata maneno yasiyojichanganya kutoka kwenye utafiti wa watu, huo nao ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Angekuwepo, asingekuwa mkatili hivyo kutuumba katika ulimwengu ambao hatuwezi kupata kitu kilicho fully logically consistent.
Biblia inasapoti slavery,Huo nao unasema ni utakatifu?Mambo ambayo yanaweza thibitisha kuwa ni vitabu vya mungu :-
• Mafundisho: Ujumbe wa Biblia na mafundisho yake, kama vile maadili, amri za Mungu, na maelezo ya historia ya kidini, unaweza kuifanya ionekane kama kitabu takatifu.
• Historia na Utamaduni: Katika jamii nyingine, Biblia inaweza kuonekana kuwa takatifu kutokana na umuhimu wake wa kihistoria na kiutamaduni, hata kama haichukuliwi kama Neno la Mungu.
• Uthibitisho wa Kiroho: Baadhi ya watu wanaweza kusema kwamba wamepata uzoefu wa kiroho na maelezo yanayopatikana katika Biblia, na hivyo kuiona kama kitabu takatifu kwao
• Swali la kama Biblia inaunga mkono utumwa, na ikiwa hilo linakwenda sambamba na utakatifu, limejadiliwa kwa kina na wasomi na watu wenye imani tofauti. Ni muhimu kuelewa kwamba muktadha wa utamaduni, historia, na tafsiri unahusika katika kuelewa maandishi matakatifu.Biblia inasapoti slavery,Huo nao unasema ni utakatifu?
Sasa umeniandikia nini hiki!!Mambo ambayo yanaweza thibitisha kuwa ni vitabu vya mungu :-
• Mafundisho: Ujumbe wa Biblia na mafundisho yake, kama vile maadili, amri za Mungu, na maelezo ya historia ya kidini, unaweza kuifanya ionekane kama kitabu takatifu.
• Historia na Utamaduni: Katika jamii nyingine, Biblia inaweza kuonekana kuwa takatifu kutokana na umuhimu wake wa kihistoria na kiutamaduni, hata kama haichukuliwi kama Neno la Mungu.
• Uthibitisho wa Kiroho: Baadhi ya watu wanaweza kusema kwamba wamepata uzoefu wa kiroho na maelezo yanayopatikana katika Biblia, na hivyo kuiona kama kitabu takatifu kwao
Dhana ya uthibitisho ipo kwa vitu vilivyopo.🤔🤔, Nikisema na wewe unipe uthibitisho kuwa Mungu hayupo utatoa..?
Kwanza kabisa, siongelei imani, imani kila mtu ana au hana yake, hiyo ni haki ya kikatiba, ni haki ya utu imeandikwa katika Universal Declaration of Human Rights tangu December 10 1948.Kumuaminisha mtu kuwa kuna Mungu halafu yeye na misingi yake hairuhusu kuamini kuhusu Mungu ni jambo gumu sana tena sana ....ni Bora ubaki na unacho kiamini kaka
Dhana ya uthibitisho ipo kwa vitu vilivyopo.
Wewe ukisema mimi namiliki bunduki kinyume cha Sheria, you've burden of proof, kuithibitisha kwamba ni kweli namiliki bunduki kinyume cha Sheria.
Sasa Mungu asiekuwepo mimi nathibitishaje kuwa hayupo, wakati hayupo?
Hapa duniani hakuna kitu chenye uthibitisho au uthibitisho wa mungu kuwepo ndiyo haupo hapa duniani?. OK, Uthibitisho wa namna hiyo huwezi ukaupata hata iweje....
. Kumbuka hapa duniani, hakuna kitu chenye uthibitisho.