Enyi wake za watu, tulieni kwenye ndoa zenu, mnasababishia vijana wadogo matatizo.

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
4,095
Reaction score
13,016
Wake za watu tulizeni nyapu zenu kwa waume zenu, mnajirahusisha kwa vijana wadogo, wanawapelekea moto mnapagawa, waume zenu wakigundua vijana watu wanaingia kwenye matatizo makubwa.

Nanyi vijana wa kiume, waepukeni wake za watu, ukidakwa mo safi ni halali yako.
 
Hivi wameshafikia hatua ya kuwalazimisha? Kutomber mke wa mtu ni maamuzi hasa zaidi ya upande wa mwanaume.

Kutomberna Raha sana.
 
Wake za watu tulizeni nyapu zenu kwa waume zenu, mnajirahusisha kwa vijana wadogo, wanawapelekea moto mnapagawa, waume zenu wakigundua vijana watu wanaingia kwenye matatizo makubwa.

Nanyi vijana wa kiume, waepukeni wake za watu, ukidakwa mo safi ni halali yako.
Mke wa kujitafutia mwenyewe ni tofauti na Mke wa kupewa na Mungu.

Ukijitafutia mwenyewe jiandae kwa lolote wakati wowote!
 
Wake za watu tulizeni nyapu zenu kwa waume zenu, mnajirahusisha kwa vijana wadogo, wanawapelekea moto mnapagawa, waume zenu wakigundua vijana watu wanaingia kwenye matatizo makubwa.

Nanyi vijana wa kiume, waepukeni wake za watu, ukidakwa mo safi ni halali yako.
Huwa wanagawa hadi Nyashi
 
Madogo wa kutosha hapa mtaani wamepakwa mafuta, na kusokomezewa mtarimbo kisa wake za watu. Dhihaka yote ya nini? Ni kukaa nao mbali tu.
Hao vijana wamesema hawataki kufanyiwa hayo maana dunia imebadilika sana, isije ikawa unasemea watu ambao wanajua risk ni nini na hawana shida.
 
Back
Top Bottom