James Mhangwa
JF-Expert Member
- Feb 3, 2017
- 609
- 513
Enzi hizo walipewa mamlaka ya kutucharaza fimbo halafu mimi na fimbo ni maji & moto! hata nikiona anachapwa mwingine hasira zinanijaa kama koboko! Nikipiga kelele naandikwa ila nikigundua nitafanya kila njia Yale majina yasimfikie ticha, class kulikuwa uwanja wa vita[emoji61]Basi unaonyesha ulikuwa mtukutu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] dahhh!Barua yangu ilishawahi kufikia mikononi mwa mama mkwe, demu kaisoma kisha kaificha kwenye daftari, kufika home mama kamwambia lete daftati nikague, mbaya zaidi mama ananifahamu na kwenye barua nimeandika jina langu, kilichofuata demu alikula bakora za kutosha kisha akaletwa home na kidhibiti mkononi, sitaisahau siku hiyo, ila baada ya siku2 demu kaja mwenyewe geto kumaliza hasira za kupigwa huku akisema"nifanye unavyotaka ili nimalize machungu ya kupigwa".
Kizazi cha digitalSiku hizi vinaanzia insta, fb na whatsapp vinaishia guest tena siku hiyo hiyo mloanza kuchat.......
Ndiyo maana.enzi hizo walipewa mamlaka ya kutucharaza fimbo halafu mimi na fimbo ni maji & moto! hata nikiona anachapwa mwingine hasira zinanijaa kama koboko! nikipiga kelele naandikwa ila nikigundua nitafanya kila njia Yale majina yasimfikie ticha, class kulikuwa uwanja wa vita[emoji61]
Hahaha! Hongera sana Mkuu. Ila unatakiwa umtafute sasa umuoe maana nikizihesabu hizo jumamosi kwa mwaka mzima ni kama ulioa bila kutoa mahariDu mm enz hy nyimbo ya mb dog inatoka ya Latifa nipo moshi kipindi hch kuna dem alikua anasoma shule nyingine rafiki yake tunasoma nae siku akaja nae kwny graduu shulen kwt enz nilikua kdg mjanjamjanja siunajua ukiwa mjanja lzm madem wakushibokee akawa amenielewa yule dem aliniandikia huo wimbo mzima kwny barua mwsh akanambia mm Amina unaambiwa barua niitunza mby na dem kila jmos nilikua lzm nile
HahahaahRudi utotoni, usipotembea utabebwa mgononi............
Wasichana wengi wakipigwa na wazazi kwa ajili ya mtu fulani ambaye ni mpenzi wake, ujue ndo umemchochea azidi kumpenda jamaa tena ndo anampelekea yt.hahahahhahaha ila hapo mwisho umeongezea chumvi bana... kwa kipigo lazma alikukwepa sana shule ... !!!
Yaani binti alikuwa anasema kwa jinsi nilivyopigwa kwa ajili yako, sitakuacha kamwe na ukiniacha najinyongaHahahaaaa,kwa hiyo mama alikusaidia bila yeye kujua
Wasichana wengi wakipigwa na wazazi kwa ajili ya mtu fulani ambaye ni mpenzi wake, ujue ndo umemchochea azidi kumpenda jamaa tena ndo anampelekea yt.
Ulikuwa bado hujaonjeshwa dyudyu, binti aliyeonjeshwa mara nyingi huwa haelewi chochote, huyu bint wakati namchombeza alikuwa anaenda kunishtaki kwa mama yake, ila nilivyokata utepe ikawa yupo tayari muda wwt hata ukimwambia usiende shule tukutane sehemu, yupo tayari. Hata mida mingine ile alfajr anawahi kuamka anaondoka kama anaenda shule anapita geto anapata ki1 ndo anakwenda shule.aaa basi mie tofauti.. nilikua nawakwepa hatari na hvyo nilitishiwaga mwanaume akikugusa tu hata mkono unapata mimba..weee pata picha!!! ila nikaishia kua tom boy mpk nilivyokua nikaacha
Sahv yuko na hamsin zake hua tunacht WhatsApp nikitaka napiga mana kaolewa ila anapenda kunikumbushiaHahaha! Hongera sana Mkuu. Ila unatakiwa umtafute sasa umuoe maana nikizihesabu hizo jumamosi kwa mwaka mzima ni kama ulioa bila kutoa mahari
[emoji15] [emoji23] [emoji23] enzi zetu izo mkuuHahahahhahaha, hatari sana..!! Nilikua na Counter book quire 3 nilikua nimeijaza mistari ya haja, lyrics za nyimbo..Nilikua nalitunza kuliko kitu choochote..!!
Lilinisaidia sana kuwa na mistari ya kuwang'oa warembo..!!
Aiseee!! Hyo ya ray c ilikuaWa ushuani mnaonekana tu!
Watoto wadogo mnawajua hata akina mariah Carey wakati si huku kwetu dedication ilikuwa RayC- uko wapi au afande sele -mkuki moyoni(ingawa ulikua haihusiani na mahaba ila unaweka hivo hivo)