Enzi zetu: Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati

Jaman zaman rahaaa mm kuna dem aliniandikia barua ya mahaba sasa na mm nikawa naiandaa mistari ya kumjibu my love dah.. Bahati mbaya barua yangu na ya my wangu nilikua nimeziweka katikati ya counter book j mosi mm cpo home mama kachukua begi kukagua notice c ndo akakutana na barua aiseee hicho kichapo nilicho pewa huwa simsahaau grace maana mama alikua ananipiga huku anacheka haaamin km navesi kali namna ile
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hii thread nimecheka sana hadi nashindwa nimquote nani maana nyote mmetishaaa.

BTW zamani hiyo mnazungumzia ipi? Mimi mwaka 2009 nikiwa form 3 ndio nilianza kuandika haya mavitu.

Lazima niende stationery nikanunue zile karatasi za mauwa,kichwani nimekariri nyimbo zote za kizungu forever and for always,when you kiss me,my love,Soledad n.k

Nakumbuka barua yangu ya kwanza kujibu ombi niliandika wiki nzima,nilipomaliza kuiandika nikapulizia perfume ya Red Rose [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah!
 
Halafu kuna zile karatasi zenye maua na harufu nzuri ukutupia hayo maneno na haki kaharufu kakitoka demu anajisikia yuko mbinguni hahahahaha mapenzi hayajawahi kumwacha mtu salama
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hii thread nimecheka sana hadi nashindwa nimquote nani maana nyote mmetishaaa.

BTW zamani hiyo mnazungumzia ipi? Mimi mwaka 2009 nikiwa form 3 ndio nilianza kuandika haya mavitu.

Lazima niende stationery nikanunue zile karatasi za mauwa,kichwani nimekariri nyimbo zote za kizungu forever and for always,when you kiss me,my love,Soledad n.k

Nakumbuka barua yangu ya kwanza kujibu ombi niliandika wiki nzima,nilipomaliza kuiandika nikapulizia perfume ya Red Rose [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Shikamoo mapenz
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hii thread nimecheka sana hadi nashindwa nimquote nani maana nyote mmetishaaa.

BTW zamani hiyo mnazungumzia ipi? Mimi mwaka 2009 nikiwa form 3 ndio nilianza kuandika haya mavitu.

Lazima niende stationery nikanunue zile karatasi za mauwa,kichwani nimekariri nyimbo zote za kizungu forever and for always,when you kiss me,my love,Soledad n.k

Nakumbuka barua yangu ya kwanza kujibu ombi niliandika wiki nzima,nilipomaliza kuiandika nikapulizia perfume ya Red Rose [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah!

Are you for real???? 2009 form 3

Na bado ulikua unatumia barua wakati huo extreem zimechanganya au mlikua seminary

Hii zamani inayoongelewa ni 2003 kurudi nyuma hata 2005 sidhani kama haya mambo yalikuwepo
 
Jamaa anachora ua la love anaandika mwandiko wa kufa mtu, anadondosha na machozi kwenye barua halafu anaandika ona machozi yamelowanisha barua, pafyum kali hadi maticha wanashtukia, yaani zamani raha sana
 
Umenikumbusha kipindi nimeandikiwa barua na dedication za maana aiseee
 
Jamaa anachora ua la love anaandika mwandiko wa kufa mtu, anadondosha na machozi kwenye barua halafu anaandika ona machozi yamelowanisha barua, pafyum kali hadi maticha wanashtukia, yaani zamani raha sana
Hyo ya mauwa na kadi nilizipata sana aiseeeeeee
 
ENZI ZETU

Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati.

Salamu nyingi sana zikufikie huko ulipo. Utakapo kujua khali yangu mie ni bukheri kabisa. Hofu na mashaka ni juu yako ewe mpenzi wangu uliye mbali na upeo wa macho yangu.

Dhumuni la barua yangu ni kutaka kukusabahi na kukushukuru kwa barua yako niliyoipata leo mchana. Ahsante sana kwa barua yenye maneno matamu kweli mpenzi wangu. Ama hakika moyo wangu ulijawa shauku kubwa niliposikia jina langu likiitwa pale assemble wakati barua zikigawiwa. Wajua ni namna gani nakupenda ewe kidani cha moyo wangu, chakula cha ubongo wangu, na tulizo la nafsi yangu.

Umeniambia kuwa shuleni kwenu huwa wanafungua barua wakiona ina mwandiko wa kiume. Safari hii nitamwomba monitress wetu aniandikie juu ya bahasha ili nisikuponze mpenzi wangu ukafukuzwa shule. Najua jinsi baba yako alivyo mkali mithili ya mbogo asije akakuchapa bure kishtobe wangu nikupendaye kiasi cha kukosa usingizi kwa ajili yako hadi naiona taswira yako kwenye bilauri ninywapo maji.

Mwezi ujao shule yetu itakuja shuleni kwenu kwenye debate. Ingawa mimi sijui mambo hayo ya debate nitafanya mchongo na msela wangu kiongozi wa debate aniandike jina ili nami nije. Nimekukumbuka sana. Nakumbuka wakati wa likizo tulivyokuwa tunakaa juu ya jiwe lile pembeni ya mto huku nikivichezea vidole vyako nawe ukiniimbia nyimbo za taratibu. Yaani sauti yako ni tamu utadhani kinanda. Kila siku huwa naisikia sauti yako ikiniimbia kwa mahaba ya dhati.

Nisikuchoshe kwa barua ndefu mpenzi wangu. Ila fahamu kuwa mwenzio juu yako sina hali. Nakupenda hadi nimepitiliza maana yenyewe ya neno kupenda. Daima umo mawazoni mwangu.

Msalimie sana yule rafiki yako uliyekuwa naye siku ile. Kuna rafiki yangu anampenda sana. Nitakuja naye kwenye debate.

Ndimi nikupendaye daima,
Mahabuba wako.

HD Wako peke yako

UJUMBE:
If you love three, you are not free,
If you love two, you are not true,
Love only one, that one is ME.

DEDICATION:
(1) Always Be My Baby - by Mariah Carey
(2) I Swear - by All 4 One.

#Zamani_raha_sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Ahaaaaaaaaa
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!!!!!!!!!!!!!! Umenikumbusha mbali saaaaaaaaana.... Wakati mapenzi yakiwa mahaba....Leo kwa vocha ya 200 umeopoa mupenzi????? What the hell????
 
Me mtoto wa pastor kuna likizo moja nilitumia S.L.P ya kanisa aisee si mzee kaifungua nakumbuka mama aliponisimulia nilianza kukwepa mzee mpaka likizo ikaisha sasa msala ukaja kwenye kumuomba pesa ya shule coz mama alinambia mzee kasema nimwombe mwenyewe wakat so kawaida.
Daaah mapenz ya zamani yalikuwa matamu lakini ukikamatwa msala wake so poa
 
Nakumbuka niliandikiwa barua na demu class ilikuwa barua kweli ile naisoma jamaa mmoja mwenye kiherehere alikuwa anaitwa anord karume akaikwapua akaisambaza kwa watu ikawa kama soo flani nkambadilikia demu nkampa kichapo cha kuzugia ila badae nilijutia maana hata mimi nilikuwa nampenda
 
ENZI ZETU

Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati.

Salamu nyingi sana zikufikie huko ulipo. Utakapo kujua khali yangu mie ni bukheri kabisa. Hofu na mashaka ni juu yako ewe mpenzi wangu uliye mbali na upeo wa macho yangu.

Dhumuni la barua yangu ni kutaka kukusabahi na kukushukuru kwa barua yako niliyoipata leo mchana. Ahsante sana kwa barua yenye maneno matamu kweli mpenzi wangu. Ama hakika moyo wangu ulijawa shauku kubwa niliposikia jina langu likiitwa pale assemble wakati barua zikigawiwa. Wajua ni namna gani nakupenda ewe kidani cha moyo wangu, chakula cha ubongo wangu, na tulizo la nafsi yangu.

Umeniambia kuwa shuleni kwenu huwa wanafungua barua wakiona ina mwandiko wa kiume. Safari hii nitamwomba monitress wetu aniandikie juu ya bahasha ili nisikuponze mpenzi wangu ukafukuzwa shule. Najua jinsi baba yako alivyo mkali mithili ya mbogo asije akakuchapa bure kishtobe wangu nikupendaye kiasi cha kukosa usingizi kwa ajili yako hadi naiona taswira yako kwenye bilauri ninywapo maji.

Mwezi ujao shule yetu itakuja shuleni kwenu kwenye debate. Ingawa mimi sijui mambo hayo ya debate nitafanya mchongo na msela wangu kiongozi wa debate aniandike jina ili nami nije. Nimekukumbuka sana. Nakumbuka wakati wa likizo tulivyokuwa tunakaa juu ya jiwe lile pembeni ya mto huku nikivichezea vidole vyako nawe ukiniimbia nyimbo za taratibu. Yaani sauti yako ni tamu utadhani kinanda. Kila siku huwa naisikia sauti yako ikiniimbia kwa mahaba ya dhati.

Nisikuchoshe kwa barua ndefu mpenzi wangu. Ila fahamu kuwa mwenzio juu yako sina hali. Nakupenda hadi nimepitiliza maana yenyewe ya neno kupenda. Daima umo mawazoni mwangu.

Msalimie sana yule rafiki yako uliyekuwa naye siku ile. Kuna rafiki yangu anampenda sana. Nitakuja naye kwenye debate.

Ndimi nikupendaye daima,
Mahabuba wako.

HD Wako peke yako

UJUMBE:
If you love three, you are not free,
If you love two, you are not true,
Love only one, that one is ME.

DEDICATION:
(1) Always Be My Baby - by Mariah Carey
(2) I Swear - by All 4 One.

#Zamani_raha_sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Daaaaaa ilikuwa raha sana, unasubiri wiki mbili kupata mrejesho wa barua
 
Hahahahhahaha, hatari sana..!! Nilikua na Counter book quire 3 nilikua nimeijaza mistari ya haja, lyrics za nyimbo..Nilikua nalitunza kuliko kitu choochote..!!

Lilinisaidia sana kuwa na mistari ya kuwang'oa warembo..!!
Umenikumbusha mbali sana! nikinywa maji nakuona haaaaaaa!
 
Back
Top Bottom