Enzi zetu: Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati

Enzi zetu: Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati

Dah those time when LOVE is real LOVE... barua unaupulizia pafyumu.. hatari sana!! Barua unaandika week mbili kama unatunga nyimbo ya bongo fleva!!
Haaaaaaa! Hakuna cha simu wala nini unasubiria majibu kwa barua lo!
 
Are you for real???? 2009 form 3

Na bado ulikua unatumia barua wakati huo extreem zimechanganya au mlikua seminary

Hii zamani inayoongelewa ni 2003 kurudi nyuma hata 2005 sidhani kama haya mambo yalikuwepo
Kweli mkuu ni hyo hyo 2003 Kurd nyuma dah nakumbuka Nikiwa form 1 RFK yngu Micky alinitumia barua kama 8 hvi afu dingi akazikamata jmn, but ckupgwa alijua ni utoto akanionya wakiwa na mom bas ya kakaisha tangu hpo nilikuwa makin mpka nakuja kumkubali nikiwa form 3!!!nammix sana nakikugugumiz chake!!!
 
Of course you I am.

Simu nilikuwa nayo lakini namba zangu angezipatia wapi?
Niliandikiwa barua nami nikajibu kwa barua.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hii thread nimecheka sana hadi nashindwa nimquote nani maana nyote mmetishaaa.

BTW zamani hiyo mnazungumzia ipi? Mimi mwaka 2009 nikiwa form 3 ndio nilianza kuandika haya mavitu.

Lazima niende stationery nikanunue zile karatasi za mauwa,kichwani nimekariri nyimbo zote za kizungu forever and for always,when you kiss me,my love,Soledad n.k

Nakumbuka barua yangu ya kwanza kujibu ombi niliandika wiki nzima,nilipomaliza kuiandika nikapulizia perfume ya Red Rose [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wewe ni mwanafunzi wangu kabisa...
 
Of course you I am.

Simu nilikuwa nayo lakini namba zangu angezipatia wapi?
Niliandikiwa barua nami nikajibu kwa barua.

Aiseeeee duuuh. Ninavyowasomaga na yule jamaa yako nilikufikiria umri tofauti na huo uliondika leo.

Ndo maana nimeshtuka. Anyway msalimu mwambie mi shabiki wako wa kimya kimya(namuongelea Avatar kutoa hotuba) kwa hisani ya Genta
 
Kweli mkuu ni hyo hyo 2003 Kurd nyuma dah nakumbuka Nikiwa form 1 RFK yngu Micky alinitumia barua kama 8 hvi afu dingi akazikamata jmn, but ckupgwa alijua ni utoto akanionya wakiwa na mom bas ya kakaisha tangu hpo nilikuwa makin mpka nakuja kumkubali nikiwa form 3!!!nammix sana nakikugugumiz chake!!!

Mi mi mi ndo ndo ndo Mic cc ky nini mefurara hii kukukupata(kigugumizi)

Njoo PM
 
wadogo zetu hao tumo nao na wako vzr pia kujenda ktk kujenga hoja

Kwakweli aiseee kwa mara ya kwanza nimemuheshimu huyu dogo. Yuko vizuri

Yani muda anaoongelea yeye form 3 mi bahasha za kaki na stempu mpaka soli inaisha.

Na kwa kufundisha kujitiloe inawezekana mi ndo yule ticha wake mnoko kijana pale shuleni kwao.

Saluti Nifah.....umenipiga tobo kwakweli
 
Aiseeeee duuuh. Ninavyowasomaga na yule jamaa yako nilikufikiria umri tofauti na huo uliondika leo.

Ndo maana nimeshtuka. Anyway msalimu mwambie mi shabiki wako wa kimya kimya(namuongelea Avatar kutoa hotuba) kwa hisani ya Genta
Hahaha zimefika mkuu,shukraan.
 
Mi mi mi ndo ndo ndo Mic cc ky nini mefurara hii kukukupata(kigugumizi)

Njoo PM
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chizi wewe we chako cha kuandika chake cha kuongea u failed bro[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Nilikuwa na mwandiko mzuri basi brother wangu alikuwa ananiambia nimwandikie barua Kwa mademu zake.
 
Mkuuu ume ni kumbusha mbaliii mambo kuandikiana barua na dedication...barua ili tumwa ns mchumba peramiho girls mwez wa kwanza kuja kuipata mwez wa nne....nilikuwa nikifungua barua muda wote na furah tu kwa sasa ame pigwa mimba ana karbia jifungua Regina
 
Mim nilikua nikiandikwa barua naenda somea chooni,maana ukikamatwa viboko vyake sio vya nchi hii,,,sasa mchuchu nae alikua akiandika barua anaandika karatasi mbili zile za kufanyia mtihani yaan kazi kweli
 
Ulkuwa unatumia dakika ngapi Kumaliza kusoma hizo Karatasi mbili
 
Back
Top Bottom